Tigo (Yas) jana mmetoa hizo gb 2 kwa watumiaji, Je wafanyabiashara wote wenye Lipa namba zenu walioshindwa kupokea malipo mnawafidia vipi?

Teslarati

JF-Expert Member
Nov 21, 2019
2,387
9,564
Eti ndugu zanguni YAS?

Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online?

Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
 
Hawa jamaa mimi wamenipa hasara ya fedha na muda. Nilienda kwa wakala kutoa fedha. Fedha ikatoka kwenda kwa wakala lakini sikupata message ya kutoa fedha na wakala hakupata message ya kupata fedha na salio la wakala halioneshi kupata fedha. Nikapiga simu ya huduma kwa mteja wakasema nimuulize wakala kama salio limeongezeka lakini wakala haoni pesa. Ikabidi wakala awapigie cha ajabu simu hawapokei. Hiyo ilikuwa alhamisi hadi Leo sijapata jibu.
 
rudisha muamala.
Simple
 
Ni hatari sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom