thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ntahakikisha thamani ya fedha ya Tanzania inakua chini na dhaifu

    Kama mtu mwenye nia ya kuwa Rais wa Tanzania na muumini wa uchumi wa viwanda ni vizuri thaman ya fedha ya Tanzania kuwa chini sana ili ipunguze gharama za uzalishaji viwandani
  2. JamiiForums Tanzania Boni Yai katuvuruga, katuharibia, katushusha thamani. Ni nani alimtuma kutufanyia hivi, G55 Waanza umbuana

    Hii text kanitumia jamaa yangu ame screen shoot mazungumzo yake na mmoja ya G55. Huyu jamaa yangu alianza kuingia mkenge kuungana na hawa jamaa. Amekuja shtuka anasema hakujua wanatumika na Mfumo na Baadhi ya Viongozi CCM.
  3. JamiiForums Tanzania Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi

    Katika kipindi cha Julai 2024 hadi Aprili 2025, Mfuko wa Utamaduni na Sanaa Tanzania umetoa mikopo yenye thamani ya Shilingi bilioni 2.69 kwa miradi 143 ya utamaduni na sanaa.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Waziri Mavunde azindua taarifa ya chambuzi uongezaji thamani Madini muhimu Tanzania

    Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde ameeleza kuwa, Serikali ya Tanzania imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuelekea mageuzi ya kweli ya Sekta ya Madini hapa nchini kwa kuanza rasmi mkakati wa kuongeza thamani ya madini muhimu yanayopatikana nchini. Alieleza hayo Mei 8, 2025 wakati...
  5. JamiiForums Tanzania Matajili wote mnaopenda kuvaa vito vya thamani, kuweni makini.

    Matajiri wote mnaojijua mnavaaga vito kama vile saa, pete mikufu ya almasi au dhahabu na vitu vingine vya thamani na ni mtu wa watu, mtu wa mitandao (public figure), basi fanyeni harakati zenu kimachale...kaeni chonjo. Ikiwezekana kwa kipindi hiki tengeneza Pete saa au mikufu bandia, na ile...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mtu hafai atakutesa sana na kufanya usione thamani yako

    1.Ambaye muda wote anakukosoa kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kupatia hii ni dalili kuwa wewe sio yule akutakaye 2.Muda wote anakulaumu tu kana kwamba hakuna hata siku moja umewahi kuwa mwema kwake hii ni dalili HANA MUDA NA MAZURI YAKO 3.Mara nyingi anakutishia kuwa kuna watu...
  7. JamiiForums Tanzania Thamani ya Kura Yako: Je Wajua Wewe Ndiye Mwajiri wa Rais wa JMT kwa Kura Yako na Kumlipa Mshahara Wake Yeye na Serikali Yake Yote kwa Kodi Yako?.

    Wanabodi Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa October, from time to time nitakuwa nafanya makala fupi za uelimishaji umma elimu kwa kujitolea kusaidia kuelimisha umma umuhimu wa kujiandikisha kupiga kura na kujitokeza kupiga kura siku ya kupiga kura. Somo la kwanza ni kuijua thamani ya kura yako. Kitu...
  8. JamiiForums Tanzania Kama unataka pesa hupaswi kutafuta pesa bali unapaswa kutafuta kitu kitakachoongeza thamani yako. Hicho kitu kitaleta pesa mifukoni mwako.

    Mtu anayeamka usiku wa manane kwenda kutafuta pesa atateseka mpaka siku analazwa chini kaburini bila kuzipata hizo pesa na yawezekana akazipata huku akiwa na ugonjwa utakaomlia pesa zake zote huko uzeeni. Hawa unaowaona wanaamka saa tisa alfajiri na kulala saa 6 usiku kutafuta pesa katu...
  9. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli sarafu za zamani zina thamani kubwa sasa?

    Naomba kuuliza ukweli kuhusu sarafu za Kitanzania na nchi zinginezo kama kweli zina thamani kubwa sasa. Mtaani wengi wanazitafuta kwa matumizi mbalimbali. Upi ukweli?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kama Uislam/Quran na Ukristo/Biblia vingekuwa vya thamani wazungu na waarabu wasingevileta kwa Waafrika na wangeenda wao mbinguni kwanza

    Habarini, Ni kiasi cha kufikiri kidogo tu na wala haihitaji nguvu nyingi au muda mwingi juu ya ukweli. Kama waarabu wanatuuzia mafuta kwa bei kubwa na waliwauza WAAFRIKA kama bidhaa hivi kweli mtu mwenye akili zako unaweza kusimama na kupiga kelele kuwa watakupeleka mbinguni? Kama wazungu...
  11. JamiiForums Tanzania Orodha ya bidhaa Anazonunua Marekani toka Russia na thamani

    List of items US imported from Russia 🇷🇺💪
  12. X

    JamiiForums Tanzania China vs U.S Trade War: China yazuia uuzaji wa bandari zenye thamani ya $ 23 billion zilizo Panama Canal kwa kampuni ya Marekani ya BlackRock

    Tunakumbuka Trump alipoingia madarakani moja ya jambo alitaka ni kuona Panama Canal itumike kwa kuinufaisha Marekani. Changamoto ipo kwenye kumiliki bandari 2 za kimkakati zilizo karibu na Panama Canal zinazomilikiwa na kampuni binafsi ya Hong Kong. Bandari hizi zimekaa eneo zuri sana...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania The Bar was Low - vitu gani ulivumilia kwenye mapenzi zamani ambavyo ukikumbuka unajilaumu sana kujishusha thamani

    Haya walioko kwenye mapenzi The bar was soo low ndio habari ya kuulizana Tuambie kama uzi unavyouliza
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge wa Geita Mjini, Constantine Kanyasu, atoa msaada wa kumpyuta zenye thamani ya milioni 9 Shule ya Sekondari Ihanamilo

    Mbunge Kanyasu Akabidhi Kompyuta zenye thamani ya Tsh Mil 9. Geita - Mbunge wa Jimbo la Geita Mjini, Constantine Kanyasu, ametekeleza ahadi yake kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Ihanamilo kwa kukabidhi kompyuta tano zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni tisa. Akizungumza wakati wa...
  15. JamiiForums Tanzania Watu wanaweza wasielewe thamani ya matendo yako leo, lakini watatambua umuhimu wako ukishaondoka!

    Nyani na tumbili walipojua kwamba mkulima aliyewafukuza kutoka kwenye shamba la mahindi amekufa, walisherehekea kwa furaha. Lakini mwaka uliofuata hakukuwa na mahindi tena. Hapo ndipo walipogundua kwa uchungu kwamba mkulima waliyemdhania kuwa adui yao ndiye mkulima aliyelima mahindi. Watu...
  16. JamiiForums Tanzania Thamani ya TSH imeshuka huu ndio msosi wa buku nne

    Wakuu mjini pagumu
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega: KM 1,366 za barabara zenye thamani ya tsh trilioni 2.7 zimekamilika, huku madaraja makubwa yakijengwa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe Deogratius Ndejembi pamoja ba Waziri wa Ujenzi Mhe Abdallah Ulega muda mfupi kabla ya Mhe Rais kuwahutubia wananchi wa Wilaya ya Pangani Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa...
  18. JamiiForums Tanzania Uliye nae siku atakapoondoka ndo utajua thamani yake

    Note; Mwanamke mheshimu sana huyo mwanaume Umeolewa naye,haijalishi yeye ni Nani. Kuwa mnyenyekevu na acha kuonesha kwamba unajua Kila kitu. Asilimia 90 ya wanawake wanaojua haki zao hawapo katika nyumba za wanaume zao Leo. Wengi wao wanathibitisha haki zao kwa kutoka kitanda kimoja Hadi...
  19. JamiiForums Tanzania Rais Samia kuzindua Mradi wa Kihistoria wa Bwawa la Mkomazi wenye thamani ya Bil 18. Mradi uliobuniwa zaidi ya miaka 50 ilopita

    Ningependa kutoa taarifa rasmi kuhusu hafla muhimu ya kuweka jiwe la msingi katika ujenzi wa Bwawa la Mkomazi na utiaji saini wa mikataba miwili (2) ya ujenzi wa Skimu za Mkomazi na Chekelei Wilayani Korogwe, mkoani Tanga ambayo itafanyika tarehe 24 Februari 2025, ambapo Mheshimiwa Dkt. Samia...
  20. JamiiForums Tanzania Clatous Chota Chama pole sana na hao ndiyo Yanga SC ambao ulidhani kwenda Kwao ungetukomoa Simba SC iliyokujenga na kukupa Thamani Kubwa

    Ikifukie ya kwamba..... 1. Chama kafuta Picha zote za Yanga SC alizopiga 2. Chama kawabloku Waandamizi wa Yanga SC 3. Chama kazibakisha Picha zile tu alizopiga akiwa anachezea Simba SC 4. Chama sasa haongei sana na Wachezaji wenzake wa Yanga SC 5. Chama amekuwa Mpweke 6. Chama muda wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…