Nahitaji heshima, thamani na tusitukanane najisikia vibaya

Marry Diana

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,419
Reaction score
4,111
Shikamooni wakubwa wote humu ndani.

Siku ya kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu, ambaye ndiye boss wangu. Alinielekeza mengi, hasa kuhusu majina na picha, akanambia kuwa si vema kuweka picha na majina halisi. Lakini haikuniingia akilini kwanini nijifiche, nijibane?

Lakini hata humu nikakutana na majina ya ajabu pamoja na picha nyingi feki.

Nilikereka siku za mwanzo watu wakiniita malaya, sijui natumia mkorogo, mara nimekaa kienyeji, lakini niwaambie ukweli mimi sijiuzi, najiamini, nahitaji thamani, nahitaji heshima. Ujinga wenu pelekeni hukooo. Lol
 
Shikamooni wakubwa wote humu ndani.

Siku ya Kwanza kujiunga na mtandao huu nilifundishwa na dada yangu,ambaye ndiye boss wangu.alinielekeza mengi,haswa kuhusu majina na picha,akanambia kuwa si Vema kuweka picha na majina halisi.lakini haikuniingia akilini kwann nijifiche,nijibane ?

Lakini hata humu nikakutana na majina ya ajabu pamoja na picha nyingi feki.

Nilikereka siku za mwanzo watu wakiniita Malaya,sijui natumia mkorogo,mara nimekaa kienyeji,lakini niwaambie ukweli mm sijiuzi, najiamini,nahitaji thamani nahitaji heshima.ujinga wenu pelekeni hukooo.lol
Lipia tangazo
 
Rabaika
20250804_212056.jpg
 
Usiwaze Marry Diana kila mtu ana majanga yake humu wala usijisikie vibaya kuvunjiwa heshima, kusifiwa kwa kila kitu ni dalili ya kudharauliwa Kiuhalisia.
 
Kama ni wewe upo kwenye avatar hapo naweza nikaungana na wachache wanaosema unatumia mkorogo
Labda unakataa hutumii kwasababu haukudhamiria kujichubua

No offense

Ety Selikavu Razorblade na Intelligent businessman na nyie si mnaona?

Kuhusu kujiuza ngoja kidogo
Nyie hamuoni kama huu uandishi unafanan na Kijana Maskini Aka Tajiri sina baya😃😃😃

Hapa michezo tunachezewa... Eniwei ngoja abadilishe Id aje na povu
JamiiForums-1051809086.jpeg
 
Una Heka Heka nyingi.
Umekuja humu serious wenzio wapo kimizaha ...nawe unaumia kichwa
Unataka wawe serious kama wewe mywangu?
Unataka Kila mtu akubali vile unavyofikiria ama kutenda?
Utafanyaje Sasa Kwa watu zaidi ya elfu humu waamini kwamba hujiuzi?

Wakikujua wachache wanaokujua inatosha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom