thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kiwango cha Usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

  2. JamiiForums Tanzania Mambo yanayo shusha thamani ya mwanamke katika jamii(Duniani)

    Haya ni mambo kadhaa yanayo mfanya mwanamke thamani yake ishuke katika jamii. 1. Mahari 2. Ndoa 3. Kutegemea mwanaume kumhudumia( wenyewe wanaita kucare) 4. Haki sawa( wenye wanaita 50/50) 5. Kukosa akili timamu (kwa wanawake wa kisasa) Note: kutakuwa na nyongeza ( update ipo stay stunned )
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge Edward Lekaita akabidhi Vifaa Tiba vyenye thamani ya Shilingi Milioni 136

    Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa tiba kituo cha Afya cha Engusero (Milioni 100), Zahanati ya Ngipa (Milioni 18) na Zahanati ya Nchinila (Milioni 18) vyenye thamani ya shilingi milioni 136. Edward Ole Lekaita amekabidhi vifaa vya michezo kwa timu ya Vijana...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Majukwaa zaidi ya ushirikiano kati ya China na Afrika yasaidia kuongeza thamani ya biashara kati ya pande mbili

    Wakati wa maonyesho ya 3 ya kimataifa ya Uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika kati ya Juni 29 na Julai 2 mjini Changsha China, wataalamu wa uchumi walipitia takwimu za thamani ya biashara kati ya pande hizo mbili, ambayo imeonekana kuongezeka kutoka Yuan Bilioni 100 kwa mwaka...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Sekta ya kuchakata, kusindika na kufunga bidhaa itatoa mchango mkubwa katika kuongeza thamani ya bidhaa za Tanzania

    Kwenye maonyesho ya tatu ya uchumi na biashara kati ya China na Afrika yaliyofanyika hivi karibuni katika mji wa Changsha mkoani Hunan, bidhaa nyingi kutoka Afrika zilioneshwa na kuvutia wateja wengi wa China. Licha ya kuwa waonyesha bidhaa hizo walipata wateja wengi na kuuza bidhaa zao, moja ya...
  6. JamiiForums Tanzania Klabu kukubali Kualikwa kwa Kushtukizwa na Kukubali ni dalili ya Ushamba, Njaa na Kutojua Thamani yako

    Tunaojitambua na tusiopenda Mialiko ya kishamba na isiyo na Utaratibu hao Pre Season Ulaya ya Mbali Uturuki huko. Kudadadeki.
  7. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Madini ya thamani yaliyofichwa duniani

    Katika miaka ya hivi karibuni, kumeibuka mijadala kuhusu viumbe vya ajabu visemekavyo ni vyenye akili nyingi kuliko wanadamu ambavyo vinasaidia watu wa mataifa makubwa kufanya mambo makubwa wanayoyafanya. Swali ni je! NENO LA MUNGU LINASEMAJE? "MUNGU Akasema, Na Tumfanye mtu kwa MFANO WETU...
  8. JamiiForums Tanzania Je, ni kweli huyu Declan Rice ana thamani ya paundi milioni 100?

    Man city wamejitoa katika kinyang’anyiro cha kumuwania kiungo wa kiingereza anayekipiga West Ham Declan Rice. Sababu kuu ya kujitoa ni baada ya West Ham kutaka paundi milioni 100 ili iweze kumuachia kiungo huyo wa ulinzi. Kujitoa kwa Man City kunawaacha Arsenal peke yao katika kuwania sahihi ya...
  9. JamiiForums Tanzania Yanga: Thamani ya Mayele ni bilioni 2.

    " ...why not! Brother mwenye yake bilioni 2 aje na tutamuuzia Mayele mchana kweupe!" Duru.
  10. JamiiForums Tanzania Bajeti yapendekeza kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege

    Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba leo June 15,2023 amewasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 Bungeni Jijini Dodoma ambapo moja ya mambo aliyoyapendekeza kwenye hotuba yake ni kusamehe Kodi ya ongezeko la thamani kwenye uuzaji na ukodishaji wa ndege, injini...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanamke ameumbwa na mali ndani yake ila sio mwanaume

    Siku hizi vijana wengi wa kiume wanaona ni haki yao kusaidiwa na mwanamke kwenye mambo ya kiuchumi, yaani mwanamme atafute na mwanamke atafute. Kuna wengine ndo wanataka walelewe kabisa yani wao ndo watafutiwe na mwanamke wapewe. Ila nawakumbusha. Mwanamke analetwa duniani akiwa na mali ndani...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Kushuka thamani kwa TZS dhidi ya USD ni speed ya 7G

    Habari wana JF, Naomba kuuliza: Hivi hii speed ya TZS kushuka thamani dhidi ya USD kuna maanisha nini kiuchumi? Asanteni
  13. JamiiForums Tanzania Lofa hawezi kumiliki kitu cha thamani, Ukitaka kujua kuwa wewe si lofa tazama miliki zako utapata majibu.

    Hii ndio nature ya ulimwengu kwamba lofa au mpumbavu asimiliki kitu chenye thamani. Hata kama uvunguni mwako kuna lulu nyingi za aina tofauti, dunia ikijua tu kuwa wewe ni lofa itatumia gharama yoyote ili tu kukunyang'anya ile lulu. Ni wakati sasa tuache kuomba utajiri kwa Mungu badala yake...
  14. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

    Habarini za asubuhi wapendwa natumai mpo poa. Leo naomba niseme hivi kuna baadhi ya sisi wanaume tumekuwa na tabia ya kujifanya mwanamke yaani ni mshikaji kabisa anakuja PM anajifanya mwanamke ananza kukuomba pesa na virungu vya hapa na pale. Thamani yetu wanaume ni kubwa sana tubadilike...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Mambo ya kuzingatia ili kupandisha uchumi wa nchi na wananchi pamoja na kupandisha thamani ya pesa ya Tanzania

    Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee. Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau jinsi ambavyo thamani ya pesa yetu itakavyoweza kupanda na kuwa moja kati ya pesa zenye thamani...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Thamani ya Kazi na Uwekezaji: Njia Bora ya Kupata Fedha Zaidi

    THAMANI YA KAZI NA UWEKEZAJI: NJIA BORA YA KUPATA FEDHA ZAIDI Imeandikwa na: Mwl.RCT Picha | Kwa hisani ya money(dot)com UTANGULIZI Thamani ni dhana muhimu sana katika maisha yetu. Inahusiana na jinsi tunavyothamini na kupima mambo na watu katika maisha yetu. Katika Makala hii, nitazungumzia...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 Thamani ya kijana nchini Tanzania

    Tumeaminishwa kwa kipindi kirefu sana juu ya umuhimu wa kijana katika taifa linaloendelea. Tumeambiwa kuwa kijana ni nguvu ya taifa la sasa na lijalo, na kuwa ni juu ya kijana kuendeleza taifa lake. Zaidi ya asilimia 70 ya watanzania ni wa umri chini ya miaka 45, nchi hii imejaaliwa vijana wengi...
  18. F

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ukivurunda CHADEMA utasahaulika ungali hai!

    Mheshimiwa Tundu Lissu kufanya siasa bila kuungwa mkono na watu (popular support) ni kazi bure. Siasa ni watu. Tundu Lissu tambua kuwa tofauti kati ya watu zipo lakini sio lazima ziwe sababu ya migawanyiko na mafarakano. Kila wakati jaribu kukwepa mitafaruku hata kama sababu za mitafaruku...
  19. JamiiForums Tanzania Ukiwa na pesa ya kigeni ambayo muda wake umeishapita kimatumizi, naweza ipeleka mahali gani niweze itumia katika kurefund thamani yake!

    Habari wapambanaji, Mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha, nauliza kuna uwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhali.
  20. JamiiForums Tanzania Katavi: Mbaroni kwa kukamatwa na meno ya tembo yenye thamani ya milioni 247

    Polisi Mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Hiifadhi ya Taifa ya Katavi, wamewakamata watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na vipande 13 vya meno ya tembo vyenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 247. Kamanda wa Polisi, Mkoa wa Katavi, Ali Hamad Makame, alisema hayo mkoani hapa mwishoni mwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…