thamani

Gorgasia thamani is an eel in the family Congridae (conger/garden eels). It was described by David Wayne Greenfield and Sean Niesz in 2004. It is a marine, tropical eel which is known from Fiji, in the western central Pacific Ocean. It is known to dwell at a depth range of 14 to 15 metres (46 to 49 ft). Males can reach a maximum total length of 119 centimetres (47 in).The species epithet "thamani" was given in honour of Randolph R. Thaman, of the University of the South Pacific in Fiji.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TAHOSSA MKOA WA MARA NAWASHAURI MZINGATIE YAFUATAYO ILI KUIPA THAMANI MITIHANI YA MOCK KIDATO CHA PILI,CHA NNE NA CHA SITA.

    Wasaalam wanajamvi, Ombi langu nalipeleka moja kwa moja kwa Tanzania Heads of Schools Association (TAHOSSA) au kwa Kiswahili 'Umoja wa wakuu wa shule za Sekondari Tanzania.Hapa nilielekeze kwa wakuu wa shule za Sekondari Mkoa wa Mara. Kwa muda mrefu kumekuwepo na mitihani ya kuwaandaa...
  2. JamiiForums Tanzania Hivi ni mimi sijui Hesabu au Mabeberu Wana Hela? Apple Pekee ina Thamani Sawa na Bajeti ya Tanzania ya Miaka 200?

    Ni either mimi hesabu za Kihasibu sijui au Hawa jamaa waheshimiwe! Makala inaniambia kampuni la Marekani Apple, wenye iPhone, Mac, na iPads zao, wana net-worthy ya zaidi ya US$4.5 trillion tunavyoongea. Hapo hapo budget yetu kwa mwaka ni US$24 billion. Kwahiyo ukigawa hapo si kwamba Apple...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Zitto: Sasa hivi Kura ya Mwananchi thamani yake ni Sifuri, anayeamua nani awe Mbunge ni DSO

    "Turudi kwenye misingi. Polisi wajibu wenu ni huu, Jeshi wajibu wenu ni huu, Idara ya Usalama wajibu wenu ni huu. Siasa ni kazi ya wanasiasa. Wanasiasa wakifanya makosa mtawakamata, mtawashtaki kwa taratibu za kawaida. Msingilie siasa. Sasa hivi kura ya mwananchi nyinyi wote hapa, wote hapa...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Sera ya ushuru sifuri ya China yapiga jeki mnyororo wa thamani wa maparachichi nchini Kenya

    Katika eneo la mashambani lililotanda rangi ya kijani katika Kaunti ya Murang'a katikati mwa Kenya, Jeff Ngigi Mburu alifurahia sana miparachichi yake aina ya Hass, huku akistarehe kwa upepo mwanana wa alasiri. Mkulima huyo kijana alifurahia kuzungumza na wafanyakazi kadhaa kutoka vijiji jirani...
  5. JamiiForums Tanzania China yaisaidia Afrika kuongeza thamani ya madini yake muhimu

    Lithiamu inajulikana kama “mafuta meupe” katika zama ya nishati safi ya karne ya 21. Hivi karibuni shehena ya kwanza ya bidhaa za lithiamu sulfate zilizosindikwa kutoka Afrika ilisafirishwa kutoka mgodi wa Acadia karibu na Harare, mji mkuu wa Zimbabwe. Mafanikio haya ya kihistoria yanamaliza...
  6. JamiiForums Tanzania DSE 1,2,3.. : Kampuni zenye thamani kubwa katika Soko la Hisa

    Ushawahi kujiuliza ipi ni kampuni kubwa hapa nchini...? Japo msemo "Kampuni kubwa ni tungo tata" lakini mara nyingi huangazia ukubwa wa Thamani ya kampuni katika soko la hisa Thamani ya Kampuni/Market value hupatikana kwa kuzidisha idadi ya hisazilizopo sokoni za kampuni husika kwa bei ya hisa...
  7. JamiiForums Tanzania Thamani na nidhamu ya muda Japan ni maajabu kwingine duniani

    Anaandika BSAT Properties katika ukurasa wake wa X Nilikuwa kwenye treni huko Tokyo. Tulisimama katikati ya vituo. Tangazo kwa Kijapani, kisha kwa Kiingereza: “Tunaomba radhi kwa kuchelewa. Tutaendelea safari muda mfupi.” Kuchelewa kulikuwa kama dakika tatu hivi. Hakukuwa jambo kubwa. Treni...
  8. JamiiForums Tanzania Ongeza thamani yako; Sio unahangaika kuomba kazi kumbe kazi yenyewe hata ukipata utaishia kulipwa laki 3

    ONGEZA THAMANI YAKO; SIO UNAHANGAIKA KUOMBA KAZI, KUMBE KAZI YENYEWE HATA UKIIPATA UTAISHIA KULIPWA LAKI 3. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Binti na kijana wangu. Umri wa miaka 10-25 ni umri wa kujijenga hasa kiujuzi, kielimu, kiuzoefu na kimaarifa. 2. Umri wa kuongeza value yako. Utu...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Heshima, Thamani na namna unavyojiweka katika jamii

    Habari JamiiForum. Hope mko poa ladiz (ladies) & Gentlemen. Waungwana , Kila mmoja wetu anahitaji kuheshimiwa na kuthaminiwa,iwe Kwa namna yeyote ile tajiri au masikini,mfupi Kwa mrefu,mweusi na mweupe n.k. Kila mtu hujiona anapaswa kuheshimiwa,lakini je heshima na Thamani inakujaje? Ni...
  10. JamiiForums Tanzania Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako(value)

    Tumia mitandao ya kijamii kujenga thamani yako. Vijana wengi wanatumia mitandao ya kijamii kufutilia thamani za wengine kuliko kujenga za kwao hili nao wafutiliwe na wengine wajifunze maisha kutoka kwao. Kama kijana kitu cha kwanza badili mtazamo juu ya maisha yako, unataka kujenga kitu gani...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Swali lenye akili: Grace Samia ana thamani kuliko yule Mama wa Arusha aliyepigwa risasi akiwa na uja uzito?

    Eti Grace Samia Suluhu! Eti mtoto hujui kesho yake? Vipi yule mama ambae aliuliwa kule Arusha ili tu Samia abaki madarakani?
  12. JamiiForums Tanzania Elimu ya kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa wafanyabiashara

    ELIMU YA KODI YA ONGEZEKO LA THAMANI (VAT) KWA WAFANYABIASHARA https://hiltonhotelrental.com/register?pId=KOHLYC ~Wamiliki wengi wa biashara ndogo husikia kuhusu VAT lakini hawaelewi kikamilifu jinsi inavyofanya kazi. Kuelewa kodi hii ni muhimu kwa sababu inaathiri upangaji wa...
  13. JamiiForums Tanzania Shamba nililonunua kwa Tsh laki 3 mwaka 2009 leo hii thamani yake imevuka Tsh 40m

    Wakuu wiki hii kwa mara ya kwanza nimepata uhakika wa bila kuhadithiwa na mtu umuhimu wa kumiliki ardhi au nyumba. Ninakumbuka nilikuwa bado niko chuo, mzee wangu akaniambia nimtumie Tsh 50,000/= kuna mchongo wa shamba eka 1 anichukulie. Sehemu yenyewe ilikuwa porini ambapo sikuwahi kuota...
  14. JamiiForums Tanzania Kuna mtu ananiuzia pixel 6a mpya kwa 450,000. Ni sahihi thamani hii au napigwa?

  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ni kiumbe wa thamani sana! Mwanaume anayelilia mapenzi ni mpumbavu

    Kuzaliwa mwanaume ni balaka kubwa sana inabidi umepewa thamani kubwa sana umepewa hazi ya kiongozi umepewa hazi ya mamlaka Mwanaume ata akikaa siku tatu bila kuoga hanuki ila mwanamke siku 1 tu akishinda bila kuoga ni kimbembe Mwanaume kukaa bila mwanamke anatoboa vizuri ila mwanamke hawezi ata...
  16. JamiiForums Tanzania Sikuwahi kujua kama Watanzania ni watu wanaojidharau kiasi hiki, wanaamini Mataifa mengine ndiyo Paradiso, wageni ndio wenye thamani bali si wao

    Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
  17. JamiiForums Tanzania Dhahabu ya bei mbaya yamkwamisha Burna Boy uwanja wa ndege Morocco

    Mkudha: Rais wa CAF asema Burna Boy alizuiwa katika uwanja wa ndege wa Morocco kwa sababu ya thamani ya vito vyake vya dhahabu Rais wa CAF, Patrice Motsepe, anasema Burna Boy alizuiwa kwa muda mfupi katika uwanja wa ndege wa Morocco baada ya maafisa kuhoji kiasi cha vito vya dhahabu alichokuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Hivi kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?

    Wadau wa madini kati ya madini ya Tanzanite, Ruby, Green Tourmaline yapi Yana thamani kubwa? Na bei zake zipoje sokoni kwa Sasa?
  19. JamiiForums Tanzania Mwaka unaisha, ni kitu gani cha thamani umefanikiwa kununua mwaka huu?

    Twende kazi, mwaka huu umenunua kitu gani cha thamani zaidi?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Eusebius Nzigirwa: Ukichezea thamani ya Binadamu Kanisa litapinga kwa sauti kubwa

    Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Mpanda Eusebius Nzigirwa amesema katika kusherekea sikukuu ya Christmas siku hiyo inawakumbusha watu thamani na hadhi ya utu wa mwanadamu na kanisa limekuwa likisimama kukemea kwa sauti kubwa wale wanaojaribu kuuchezea utu wa mwanadamu. Askofu Nzigirwa amesema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…