tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania Sifa za Urais wa TFF zitazamwe vizuri zimetungwa kimkakati zaidi ili kuhujumu ushiriki mpana wa wadau

    Ukizitazama sifa za urais wa TFF kwa juu juu utaona mbona ni sifa nyepesi tu za kawaida.... Ni kweli, lakini sio rahisi kwa candidate mmoja ku-meet sifa zote kwa asilimia 100. Hebu zisomeni hapa chini: 1. Awe Raia wa Tanzania. 2. Asiwe na hatia yeyote ya kosa la jinai na asiwe amewahi...
  2. Labani og

    JamiiForums Tanzania Tafsiri ya kauli ya rais TFF ni kuwa Simba lazima walete timu tar 25 June,2025

    Kuna kolo walianza kujificha kwenye kivuli Cha kauli ya FIFA Kwamba hata wasipocheza Juni 25. Watabebwa na uchunguzi wa FIFA ila Kwa kauli ya karia ni kuwa fifa hawawezi tufungia[emoji23][emoji23][emoji23] So any janja janja from makolo Will be faced with strong punishment NB: jaribio la Simba...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Aloyce Komba: Uchaguzi wa TFF hauwezi kuwa huru, kunahitajika reforms

    Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] linaendelea, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili Msomi Aloyce Komba anasema kuna namna Kamati ya Uchaguzi inaweza isiwe huru na kuainisha sababu...
  4. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Amri Kiemba: Huu ndio wakati sahihi Karia kuachia uongozi TFF

    Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga na Simba, Amri Kiemba, ameweka wazi maoni yake kuhusu uongozi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akieleza kuwa huu ndio wakati muafaka kwake kuachia ngazi ili kutoa nafasi kwa viongozi wapya kuendeleza mchezo huo...
  5. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ally Mayayi atangaza kugombea Urais TFF

    Nyota wa zamani wa Yanga Sc na timu ya Taifa,Taifa Stars, Ally Mayay Tembele ametangaza nia ya kushiriki uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu kama mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, 2025 Jijini Tanga. Mwakilishi wa nahodha huyo wa zamani wa Stars atamchukulia...
  6. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

    Wakuu ===== Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa? FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi. FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Twendeni na Ally Mayay kwenye urais wa TFF

    Mimi napenda sana soka. Kuna uchaguzi wa TFF mwezi Agosti, 2025. Nawashauri wajumbe watakaomchagua Rais wa TFF wamchague Ally Mayay ili awe Rais kwa kipindi kijacho. Rais anayemaliza muda wake amevuruga sana soka la Tanzania, na anatuhumiwa kwa upendeleo na ameshindwa kusimamia fedha za TFF...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Hersi Said: Wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia

    🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇 🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Murtaza Mangungu: Atakaechukua fomu ya Urais wa TFF atakuja kutueleza atafanya jambo gani kubwa

    MANGUNGU KUHUSU KARIA 👇 🗣"Kwa ambae atakaechukua fomu ya Urais wa TFF atakuja kutueleza atafanya jambo gani kubwa ambalo wewe Wallace Karia umeshindwa kulifanya, lipi ambalo yeye atakuwa ametoka nalo huko aliko kuja kulileta, hoja yangu ya msingi ni wajumbe kumpitisha tena Rais Wallace Karia"-...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Kiungo Yacuoba Sogne awashtaki Tabora United, hajalipwa mshahara miezi minne

    Kiungo mshambuliaji Yacuoba Sogne amefungua kesi TFF kuwashitaki Tabora United baada ya kuwa anadai mshahara miezi minne na pesa zilizobaki za usajili. Yacuoba Sogne Yupo Dar Es salaam.
  11. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TFF kujiuzulu kwa Wallace Karia ni taarifa za uwongo

    Shirikisho la mpira wa miguu TFF imekanusha taarifa za kujiuzulu kwa rais wa shirikisho hilo Wallace Karia,taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii leo asubuhi zilidai kuwa rais ameachia ngazi.
  12. kavulata

    JamiiForums Tanzania Ally Mayai kugombea Urais wa TFF, nakupendekeza

    Ally Mayai Tembele amenyooka, ni msomi , ni mwanasoka na hana usimba na uyanga. Chukua form ukahombee nafasi ya ukaria. Wengine ambao Nina Imani nao ni Dominic Salamba, Hans Raphael, Maestro, na mbwaduke kwenye nafasi ya utendaji na bodi ya Ligi. Nawasilisa...
  13. N

    JamiiForums Tanzania TFF tunawaomba na sisi tuje na mabango ya wanasiasa na vyama tunavyovipenda kwenye dabi June,25 maana mabango ya mama yatakuwepo uwanjani

    Habari ndugu. Bila ya kupoteza muda habari za uhakika kabisa timu za Simba na Yanga kupitia kwa mashabiki wao zitakuja na mabango ya mama kwenye dabi ya tarehe 25/06/2025. TFF nawaomba msituzuie kuingia na mabango ya vyama vyetu vya siasa na viongozi wetu pendwa. Kwa nchi hii ilivyo na upuuzi...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Nani unamtabiri kuwa Rais mpya wa TFF katika uchaguzi wa mwezi wa nane ?

    Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea. kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena. Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
  15. ngara23

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba

    Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan Hasanoo na watu wengine walioonekana sio viongozi wa Simba. Tukumbuke Yanga waliwakilishwa na viongozi sahihi wa club ya Yanga ikiwa ni pamoja na Arafat Haji ambaye ni Makamu wa Rais wa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya mechi ya tarehe 25 Tff itawarejesha Almas Kasongo na M/kiti

    Hii ya Mwenyekiti wa Bodi ya ligi kuwasilisha barua ya kujiuzulu na kusimamishwa kazi kwa Almas Kasongo ni geresha tu kwa Yanga ili waone hoja zao zimezingatiwa. Ninaamini baada ya game mbili za Yanga Vs Simba na Yanga Vs Singida hao jamaa watarejea kwenye majukumu yao tu. Nimekaa paleeee
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Steven Mguto amewasilisha barua ya kujiuzulu. Kwa upande mwingine Rais wa TFF amemsimamisha kazi CEO Almasi Kasongo

    Taarifa Kutoka Shirikisho la mpira wa miguu TFF imeeleza kuwa mwenyekiti wa Bodi ya ligi Steven Mnguto amewasilisha barua ya kujiuzulu nafasi yake. Aidha Kwa upande mwingine Rais wa TFF Wallace Karia amemsimamisha kazi Ofisa mtendaji wa Bodi ya ligi TPLB, Almas Kasongo.
  18. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania Yanga SC itoe taarifa kwa umma kama matakwa yao kwa TFF yamepata ufumbuzi

    Salaam Members! Ninasikitika sana kitendo cha Yanga kupost rasmi kwenye ukurasa wao kuhusu derby ilihali matakwa yao yale manne hawajasema yamefikia wapi. Yanga wamekubali Busara zitumike kwenye madai yao. Huo ni udhaifu sana Yanga wameonyesha. Yanga elezeni kwa umma kuhusu matakwa yenu kama...
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Rais wa TFF Wallace Karia chanzo cha Haji Manara Kuitwa Polisi

    Rais wa TFF Wallace Karia,amemshitaki Haji Sunday Manara,kwa tuhuma za kuchapisha maandiko mbali mbali kwenye mitandao yake ya kijamii ya kumtaka Rais huyo ajiuzulu kwa tuhuma za TFF kudaiwa na Yanga. Manara alikuwa Polisi leo saa 4 asubuhi,ila tayari umeondoka baada ya kupata dhamana.
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania TFF ya kanusha kuahirishwa kwa Dabi ya Kariakoo

    TFF imekanusha taarifa iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ya kuahirishwa kwa mchezo kati ya Yanga na Simba June 15 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
Back
Top Bottom