tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. Waufukweni

    Shija Richard, mtia nia Urais TFF kumpeleka Rais wa TFF kamati ya maadili

    Shija Richard ambae ni mtia nia ya Kugombea nafasi ya Urais wa shirikisho la soka nchini TFF, amesema amerudisha fomu yake ya Urais wa TFF bila ya kupata Endorsement hata moja. Richard Shija ambae aliwahi kuja mjumbe wa kamati ya Utendaji Yanga SC amesema wakati anapambana kupata Endorsement...
  2. kavulata

    Uchaguzi TFF, usichukue fomu ya kugombea kabla ya kuwa na waungaji mkono, rushwa.

    Uchaguzi wa TFF una viashiria vya rushwa kwenye upande wa kupata endorsements kutoka kwa wajumbe. Mwenye fedha nyingi anaweza kununua endorsements zote na wengine kukosa hata moja. Uchaguzi umeharibika kabla haujafanyika. Ili mtu kugombea nafasi ya TFF mashariti ni kulipa TZS 500,000 na kupata...
  3. Mkalukungone Mwamba

    Eng. Himba: Tunataka kujua, Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF anawezaje kutuambia tuchukue fomu ilhali anajua hatutapata endorsement?

    Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi amekuja mbele kuudanganya Umma kuwa tuchukue fomu wakati wanajua Endorsement zote zimeshachukuliwa, Yani tunaochukua fomu tunatoa swadaka, mimi sitakubali kutoa laki tano yangu halafu iwe kama nimechangia mapato ya TFF."- Eng. Mustapha Himba. 🗣"Tunataka kujua...
  4. Nehemia Kilave

    Pamoja na mapungufu bado nitaungana na Eng. Hersi kwamba Wallace Karia kuendelea kuwa Rais wa TFF

    Habari JF , nadhani soka letu la Bongo limetoka mbali sana lakini binafsi naona katika uongozi wa Karia tumepiga hatua sana hasa katika mambo yafuatayo :- 1.Ligi imepanda viwango na umaarufu , hili limepelekea timu kuongezeka katika ushiriki kimataifa . 2.Timu zinadhamika , wadhamini...
  5. B

    Sifa za kugombea Urais TFF

    Habari.... Kwa mujibu wa Katiba ya TFF, pamoja na kanuni za uchaguzi zinazotambuliwa na FIFA, mtu yeyote anayetaka kugombea urais wa TFF lazima awe na: 1. Uzoefu wa Uongozi Mgombea anatakiwa awe amewahi kushika nafasi ya uongozi kwenye soka (TFF, vilabu, vyama vya mikoa n.k.) kwa angalau...
  6. B

    🇹🇿Je, Tanzania inaweza kufungiwa na FIFA kutokana na sakata la derby (Yanga vs Simba) na uchaguzi wa TFF?

    Habari.... 1. Sakata la Derby Mechi ya watani wa jadi (Yanga na Simba) imekuwa na mvutano mkubwa. Yanga wamepinga maamuzi ya Bodi ya Ligi (TPLB) na TFF, wakidai kuna upendeleo na hujuma. Waligoma kucheza baadhi ya mechi, na waliwasilisha malalamiko yao hadi kwa viongozi wa serikali. Hii...
  7. A

    Sifa za Urais wa TFF zitazamwe vizuri zimetungwa kimkakati zaidi ili kuhujumu ushiriki mpana wa wadau

    Ukizitazama sifa za urais wa TFF kwa juu juu utaona mbona ni sifa nyepesi tu za kawaida.... Ni kweli, lakini sio rahisi kwa candidate mmoja ku-meet sifa zote kwa asilimia 100. Hebu zisomeni hapa chini: 1. Awe Raia wa Tanzania. 2. Asiwe na hatia yeyote ya kosa la jinai na asiwe amewahi...
  8. Labani og

    Tafsiri ya kauli ya rais TFF ni kuwa Simba lazima walete timu tar 25 June,2025

    Kuna kolo walianza kujificha kwenye kivuli Cha kauli ya FIFA Kwamba hata wasipocheza Juni 25. Watabebwa na uchunguzi wa FIFA ila Kwa kauli ya karia ni kuwa fifa hawawezi tufungia[emoji23][emoji23][emoji23] So any janja janja from makolo Will be faced with strong punishment NB: jaribio la Simba...
  9. JanguKamaJangu

    Wakili Msomi Aloyce Komba: Uchaguzi wa TFF hauwezi kuwa huru, kunahitajika reforms

    Wakati zoezi la uchukuaji fomu za kugombea nafasi mbalimbali za uongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania [TFF] linaendelea, aliyewahi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi wa TFF, Wakili Msomi Aloyce Komba anasema kuna namna Kamati ya Uchaguzi inaweza isiwe huru na kuainisha sababu...
  10. Frank Wanjiru

    Amri Kiemba: Huu ndio wakati sahihi Karia kuachia uongozi TFF

    Mchezaji wa zamani wa timu za Yanga na Simba, Amri Kiemba, ameweka wazi maoni yake kuhusu uongozi wa Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia, akieleza kuwa huu ndio wakati muafaka kwake kuachia ngazi ili kutoa nafasi kwa viongozi wapya kuendeleza mchezo huo...
  11. Frank Wanjiru

    Ally Mayayi atangaza kugombea Urais TFF

    Nyota wa zamani wa Yanga Sc na timu ya Taifa,Taifa Stars, Ally Mayay Tembele ametangaza nia ya kushiriki uchaguzi mkuu wa TFF mwaka huu kama mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika Agosti 16, 2025 Jijini Tanga. Mwakilishi wa nahodha huyo wa zamani wa Stars atamchukulia...
  12. DuaZaMama

    TFF Kuchunguzwa na FIFA Migogoro ya Kiuongozi

    Wakuu ===== Itakuwaje kama itagundulika kuwa chanzo cha migogoro ndani ya TFF ni serikali tutakwepa kufungiwa? FIFA imeitaarifu rasmi TFF kuwa inatuma maafisa wake kufanya Uchunguzi kufuatia migogoro ya Kiuongozi Tanzania na muingiliano wa Kimaamuzi. FIFA pia itauangazia Uchaguzi Mkuu wa TFF...
  13. K

    Twendeni na Ally Mayay kwenye urais wa TFF

    Mimi napenda sana soka. Kuna uchaguzi wa TFF mwezi Agosti, 2025. Nawashauri wajumbe watakaomchagua Rais wa TFF wamchague Ally Mayay ili awe Rais kwa kipindi kijacho. Rais anayemaliza muda wake amevuruga sana soka la Tanzania, na anatuhumiwa kwa upendeleo na ameshindwa kusimamia fedha za TFF...
  14. DuaZaMama

    Hersi Said: Wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia

    🎙ENG. HERSI KUHUSU KARIA 👇 🗣"Nikuhakikishie sisi kama wadau wa soka tutaendelea kukuunga mkono Rais wa TFF Wallace Karia na Kamati ya utendaji, nipongeze wazo zuri ambalo kaka angu Mangungu amelitoa na mimi naliunga mkono kwa asilimia 100%, sisi wajumbe wa mkutano mkuu tumelipitisha."- Eng...
  15. DuaZaMama

    Murtaza Mangungu: Atakaechukua fomu ya Urais wa TFF atakuja kutueleza atafanya jambo gani kubwa

    MANGUNGU KUHUSU KARIA 👇 🗣"Kwa ambae atakaechukua fomu ya Urais wa TFF atakuja kutueleza atafanya jambo gani kubwa ambalo wewe Wallace Karia umeshindwa kulifanya, lipi ambalo yeye atakuwa ametoka nalo huko aliko kuja kulileta, hoja yangu ya msingi ni wajumbe kumpitisha tena Rais Wallace Karia"-...
  16. DuaZaMama

    Kiungo Yacuoba Sogne awashtaki Tabora United, hajalipwa mshahara miezi minne

    Kiungo mshambuliaji Yacuoba Sogne amefungua kesi TFF kuwashitaki Tabora United baada ya kuwa anadai mshahara miezi minne na pesa zilizobaki za usajili. Yacuoba Sogne Yupo Dar Es salaam.
  17. DuaZaMama

    TFF kujiuzulu kwa Wallace Karia ni taarifa za uwongo

    Shirikisho la mpira wa miguu TFF imekanusha taarifa za kujiuzulu kwa rais wa shirikisho hilo Wallace Karia,taarifa ambazo zimesambaa katika mitandao ya kijamii leo asubuhi zilidai kuwa rais ameachia ngazi.
  18. kavulata

    Ally Mayai kugombea Urais wa TFF, nakupendekeza

    Ally Mayai Tembele amenyooka, ni msomi , ni mwanasoka na hana usimba na uyanga. Chukua form ukahombee nafasi ya ukaria. Wengine ambao Nina Imani nao ni Dominic Salamba, Hans Raphael, Maestro, na mbwaduke kwenye nafasi ya utendaji na bodi ya Ligi. Nawasilisa...
  19. N

    TFF tunawaomba na sisi tuje na mabango ya wanasiasa na vyama tunavyovipenda kwenye dabi June,25 maana mabango ya mama yatakuwepo uwanjani

    Habari ndugu. Bila ya kupoteza muda habari za uhakika kabisa timu za Simba na Yanga kupitia kwa mashabiki wao zitakuja na mabango ya mama kwenye dabi ya tarehe 25/06/2025. TFF nawaomba msituzuie kuingia na mabango ya vyama vyetu vya siasa na viongozi wetu pendwa. Kwa nchi hii ilivyo na upuuzi...
  20. W

    Nani unamtabiri kuwa Rais mpya wa TFF katika uchaguzi wa mwezi wa nane ?

    Uchaguzi uliopita Karia aliweza kutwaa kiti cha urais kwa mara ya pili kwa kuengua wapinzani wote kisha yeye mwenyewe kubaki kugombea. kwa mujibu wa Katiba ya TFF, Karia kashamaliza muda wake wa mihula miwili, hawezi kugombea tena. Je ni nani atakuwa Rais mpya ?
Back
Top Bottom