tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    Kimeumana! Wakili Kibamba ataka kulipwa Bilion 2 kwa mawakili waliomchafua sakata la uchaguzi wa TFF

    Mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi TFF Wakili Kiomoni Kibamba akizungumza n kuhusu malalamiko dhidi yake kwenye mchakato wa uchaguzi TFF. amesema mawakili wote walimdhalilisha atawapeleka mahakamani na kuwataka wamlipe Bilion 2 Ilivyokuwa awali... Wakili Doris Kafuku akizungumza kwa niaba ya...
  2. JanguKamaJangu

    Mawakili wajibu hoja kwamba wametumwa na Yanga!! Watangaza kuwashitaki TFF na BMT Mahakamani

    Wakili msomi mwandamizi Alloyce Komba ambaye ni momoja kati ya Mawakili Watano ambao waliungana kupeleka barua Baraza la Michezo Tanzania kuomba kusitishwa kwa mchakato wa uchaguzi wa TFF ameibuka na hoja nyingine ya kikanuni akidai kwamba Mgombea pekee wa urais aliyepitishwa amepitishwa nje ya...
  3. Daraja2

    Kifo cha DIOGO JOTA kuleta Sheria mpya TFF

    Habari waungwana, Napenda kutoa pole kwa wapenzi wote wa soka ulimwenguni ( hasa familia na klabu yake) kwa kuondokewa na kipenzi chao. (Mwenyezi mungu ampe pumnziko la milele - RIP). Kama mdau nimeona Kuna mambo ya kupitia kuona ni changamoto gani walizopitia/wanazopitia "familia" za wachezaji...
  4. K

    MTIFUANO WA UCHAGUZI WA TFF

    Leo nimesikia maelezo ya Mawakili watano waliomuwekea pingamizi Rais anayemaliza muda wake Ndugu Karia. Binafsi maelezo yao yana mashiko. Hivi kweli Rais anayeheshimika kwa nini asifuate taratibu na kanuni. Kama ilivyo sheria na taratibu za TFF mgombea wa Urais wa TFF sharti ni kuwa...
  5. kavulata

    Kwanini kamati ya uchaguzi TFF imetupilia mbali rufaa ya Yanga kupinga Karia kugombea?

    Yanga waliweka pingamizi Karia kugombea uchaguzi kwasabu ya karia kumaliza muda wake. Lakini kamati ya uchaguzi imetupilia mbali rufaa hiyo kwasababu CEO wa Yanga ndiye aliyesaini pingamizi na aliyekwenda kusikiliza hatima ya shauri la pingamizi ni mwanasheria wa Yanga. Hivyo, kamati imelitupa...
  6. DuaZaMama

    Mgombea nafasi ya Urais TFF Mshindo Msolla kufanyiwa usahili na kamati ya uchaguzi

    Mgombea wa nafasi ya Urais wa TFF, Dkt. Mbete Mshindo Msolla leo Julai 2 atafanyiwa interview na Kamati ya Uchaguzi pale kwenye ofisi za shirikisho la soka nchini TFF. Interview yake ya uchaguzi itafanyika leo julai 02 saa nne asubuhi pale TFF.
  7. NALIA NGWENA

    Kwa Nini Wallace Karia Hastahili Kuwa Rais wa TFF?!, hizi hapa Sababu kuu

    Wallace Karia, ambaye amehudumu kama Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa vipindi kadhaa, amekuwa akitajwa mara kwa mara kama kiongozi aliyeshindwa kuleta mabadiliko makubwa katika soka la Tanzania. Kuna sababu kadhaa ambazo zinamfanya kuonekana hastahili kuendelea kushikilia...
  8. Mganguzi

    Yanga wqnachotaka ni kuhakikisha kwamba pale tff wanapandikiza watu wao !

    Hizi chokochoko zote juu Wallace karia ni kutaka ama kujaribu kuipindua tff na kuweka watu wao
  9. ngara23

    Yanga yamwekea pingamizi Rais wa TFF Wallace Karia

    Yanga kama mbabe wa mpira wa Tanzania imedhamiria Kwa dhati kusafisha pale TFF na bodi ya ligi, Sasa nguvu time imehamia Kwa Wallace Karia CEO wa Yanga Andre Mtine ameandika barua kwenda kamati ya uchaguzi TFF kumwekea pingamizi Wallace Karia Yanga wameitaka kamati ya uchaguzi TFF kumwondosha...
  10. NALIA NGWENA

    Hongera TFF na TPLB kwa Hatua ya Kuleta Marefa wa Kimataifa

    Napenda kuipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Bodi ya Ligi (TPLB) kwa uamuzi mzuri na wa kizalendo wa kuwaleta marefa wa kimataifa kusimamia baadhi ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara na Si nyingine ni kariakoo dabi Hatua hii imeongeza uaminifu, haki uwanjani, na kuimarisha...
  11. KakaKiiza

    TFF Na Bodi ya Ligi hili limepita msimu ujao fanyeni ligi kuwa bora na yenye heshima

    Kutokana na mapungufu mengi ambayo yalitokana na Waamuzi, Bodi ya ligi na kamati zake,basi TFF unapewa lawama kubwa sana kealuyafumbia macho hasa kama msimamizi wa mpira nchini. Kwa musimu ujao fuateni kanuni rekebisha kasoro zote zilizojitokeza ili ligi yetu iwe ligi bora Barani Afrika...
  12. evangelical

    Uchaguzi wa TFF na uchaguzi mkuu wa Tanzania usanii ni ule ule

    Ila sisi watu weusi sijui tumelaaniwa yaani watu na akili zao wanaamua kuweka mfumo wa uchaguzi wa kinafki . Halafu wanashupalia kichwa kwamba uchaguzi ni wa uhuru wa haki na kidemokrasia. Yaliyofanyia TFF ni mambo ya ajabu sana , napo kuuli mbiu ya No Reforms No Election ifanyike haraka kwenye...
  13. SankaraBoukaka

    Simba ikiifunga Yanga tarehe 25.06.2025 basi walimwengu tukaongeze Elimu

    🔮 Final Prediction: 🟢 Young Africans Sports Club is favored to win or draw, based on: Match and name numerology (4) Capricorn Moon (structure, defense) Astrological support from Venus and Saturn positions Strong advantage amplified by Sun in Cancer Likely Score (intuitive reading): Young...
  14. Zanzibar-ASP

    Uchaguzi huru na haki hauwezi kamwe kufanyika TFF ikiwa Karia atakuwa anagombea

    Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka. Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi cha urais wa Tenga ambao kwa makusudi kabisa ulianza upya kwa kujenga misingi imara ya uongozi wa...
  15. kavulata

    Kuungwa mkono (Endorsement) kwenye uchaguzi wa TFF inalenga nini?

    Kamati ya uchaguzi ya TFF bilashaka inaundwa na watu wa mpira nchini, na watu wanaowania kugombea uongozi wa TFF ni watu wanaofahamika CV zao, hii kanuni ya endorsement kwa watia nia Iko kwa sababu gani? Je, wanaotoa endorsements wanawafahamu zaidi watia nia kuliko walioko kwenye Kamati ya...
  16. GENTAMYCINE

    Ali Mayai nakuheshimu mno, ila Kitendo cha Kufiwa na Baba yako na bado ukawa 'busy' na Urais wa TFF kumetufanya tuanze kukuona Mswahili Mswahili nawe

    Na nina uhakika hata huko Msibani na Mazishini ulikokuwa Tabora Akili zako zote zilikuwa ni Karume Ilala na Urais wa TFF.
  17. Chibike

    Ukitaka kua Rais TFF ama uongozi wa juu, lazima uwe na PESA pole sana ndugu yangu Ally Mayay

    Asalaam Aleykum TUSIDANGANYANE hapa ama kuzungukazunguka, kwenye uongozi wetu wa mpira wa miguu nchini umejaaa figisu na tumeshaamza kuziona ila ukweli ni kwamba kama huna PESA huwezi kukalia hivyo viti, bila pesa hizo endorsement utazipata vipi? Pole sana kaka yangu Mayay Ally, ni pesa tu huna...
  18. mdukuzi

    Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya FIFA.mpira ni mali ya FIFA sio serikali

    Kila alichofanya au anachofanya mwamba Karia kina baraka za Fifa, Katiba ya TFF ni copy n paste na katiba ya wenye mpira wao. Mpira ni mali ya nani? Wa kumtoa Karia ni Fifa only guys wake up
  19. The Humble Dreamer

    Special Thread: Yanayojiri Uchaguzi TFF 2025

    Salaam Members: June mwaka huu TFF walitoa tangazo la kuwepo kwa uchaguzi kwa nafasi ya Urais na nafasi za Wajumbe 6 wa kamati ya utendaji. Hapa utazipata updates za hatua zote za awali hadi uchaguzi mkuu utakaofanyika Tanga tarehe 16/08/2025. Pia kama una updates zozote unaweza share nasi...
  20. JanguKamaJangu

    Ally Mayay: Nimerejesha Fomu ya Urais TFF lakini nimekosa endorsement

    Mchezaji wa zamani wa Klabu ya Yanga, Ally Mayay, leo Juni 20, 2025 amerudisha fomu ya kugombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF). Mayay amegusia suala la baadhi ya wagombea kukosa endorsement na akasema kuwa hizo zote ni changamoto ambazo hujitokeza hasa nyakati kama hizi...
Back
Top Bottom