tff

TFF 2. Lig (Turkish Football Federation Second League) or TFF 2. Lig (in Turkish), is the third level in the Turkish football league system. It was founded in the 2001–02 season with the name of Turkish Second League Category B as a continuation of the then second level division. In the 2005–06 season the name of the league was changed to Lig B. Since the 2007–08 season the league's current name is used along with sponsor names.
Turkish Second Football League (in Turkish: Türkiye İkinci Futbol Ligi or shortly İkinci Lig or 2. Lig) is a defunct football league in Turkey. It was the second level division in Turkish football since its foundation in 1963–64 until the formation of the new league system in 2001–02. The Second Football League was divided into two categories in the 2001–02 season: Category A and Category B. Since 2007–08 Category A has continued as the TFF First League and Category B has continued as the TFF Second League.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ukubaliane na Yanga kulipwa madai yako watakapochukua ubingwa? TFF ni wahuni, Je Yanga isingechukua ubingwa?

    Kwani mchezaji wa kigeni anapaswa alipiwe ada na timu yake kwa TFF kwa kipindi gani tokea asajiliwe? Haiingii akilini TFF ikubaliane na Yanga eti italipia wachezaji wake wa kigeni inapochukua ubingwa, TFF walijuwaje kwamba Yanga itakuwa ikichukua ubingwa na kwamba isiwe na wasiwasi dhidi ya Ada...
  2. ngara23

    JamiiForums Tanzania Udhamini wa CRDB Kwa TFF ni billion 3.759, inakuwaje bingwa anapewa milion 50?

    Tuliambiwa mkataba wa udhamini wa CRDB Kwa TFF una thamani yabillions 3.759 kwa miaka 3 ina maana Kwa mwaka inatakiwa itoke billion 1.3 Kwanini bingwa anapewa pesa kiduchu hivi? Yaani bingwa wa msimu mzima ni milion hamsini, sawa na mshahara wa Mukwala pale Simba Kwa mwezi? Au mshahara wa Aziz...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge Amina Mollel asema Karia hafai kuwa Rais wa TFF

    Ukurasa wake rasmi wa Facebook: ":Huyu Karia ni WA hivyo kabisa na hafai kuwepo TFF, kukiri kwako tayari unaonyesha udhaifi mkubwa sana kwa nafasi uliyonayo. Hata kama unawadai Yanga SI ungewaeleza kwanza kabla ya kuwakata na kwakuwa TFF inafanya KAZI Kwa maandishi ulipaswa kuwaandikia barua...
  4. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Yanga SC: Hatujalipwa pesa yoyote ya ubingwa wa Shirikisho kwa misimu mitatu mfululizo

    Wakuu hii vita ni mbichi Kuna mambo mengi kwenye mpira wetu hawa yanga mbona kama wanajua mambo mengi kuhusu TFF? === Tumeona taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF kuwa inaidai Klabu ya Young Africans SC bila kutoa ufafanuzi wa deni lenyewe. Tunapenda kuujulisha Umma, kuwa...
  5. ngara23

    JamiiForums Tanzania TFF: Zawadi ya CRDB kwa Yanga ilikatwa kufidia madeni yao kwetu kama walivyoomba. Sisi ndio tunaidai Yanga

    Taarifa kutoka TFF -- TAARIFA Tunapenda kuuthibitishia umma kuwa Benki ya CRDB ndiyo Mdhamini Mkuu wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la TFF, na inatekeleza ipasavyo majukumu yake ya kimkataba. Kwa msimu wa 2023/2024 wa mashindano ya Kombe la Shirikisho la Benki ya CRDB (CRDB Bank...
  6. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa ndo wenye msemo wa mwisho,,, Injinia na Arafat wanawaza Ubunge huku watu wanasema hatuchezi

  7. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi, inaeendelea kujidharirisha baada ya CRDB kuijibu Yanga SC kuwa pesa walishatoa

    Haya CRDB wamemwaga mboga Baada ya Ally kamwe kumwaga ugali TFF na Bodi ya Ligi kuna changamoto Kubwa sana, haya njooni miwape majibu Yanga SC pesa mmepeleka wapi? Pia soma > Ali Kamwe: Hatutacheza mchezo wa kombe la Shirikisho CRDB mpaka tulipwe pesa zetu za Msimu uliopita --- TAARIFA KWA...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Yanga ni kama kitinda mimba mkiwaendekeza watawapanda kichwani; TFF na bodi Msiogope; wasipocheza kateni point sheria itajitetea yenyewe mbeleni

    Yanga ni miongoni mwa timu nzuri Tanzania bara! Lakini uongozi wa Yanga una utoto mwingi sana! Ukipitia historia ya maamuzi ya Yanga hutaacha kuona utoto ndani yake! Hawahawa Yanga WALIKIMBIA CHAMAZI COMPLEX kama uwanja wao wa nyumbani NBC league kwa sababu za kitoto, uwanja ulikuwa mzuri...
  9. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Tunaenda AFCON TFF Tafuteni kocha mwenye CV

    Tanzania hatujawahi kushinda mchezo wowote katika kushiriki kwetu afcon. Kwa ufupi nimiongoni mwa timu dhaifu sana katika mashindano ya AFCON zilizopita. Pamoja na unyonge huo tunatakiwa kujitutumua kwenye maandalizi , TFF tafuteni mwalimu mwenye uwezo mkubwa na hili halihitaji kupepesa macho...
  10. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania TFF na bodi ya ligi kuwa makini sana na kutoyumbishwa na Yanga. Lolote watakalofanya Juni 15 msigeuke nyuma mtageuka jiwe la chumvi

    Kama nilivyo anza naomba niwajulishe ya kwamba katika siku mtakuja kujilaumu katika maisha yenu yote na kubaki hadithi ni siku ambayo mtashindwa kuchukua maamzi stahiki kwa klabu yoyote itakayoshindwa kuleta timu uwanjani siku ya tarehe 15-Juni-2025. Endapo ikatokea klabu yoyote ikasema aileti...
  11. Kitimoto

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa TFF na Bodi ya Ligi Wanahujumu Chama na Serikali Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka Huu 2025

    Wanachokifanya Chama cha soka nchini TFF na Bodi ya Ligi kuhusiana na mechi ya mkondo wa pili ya watani wa jadi Young Africans SC na Simba SC ni wazi wanatumika na baadhi ya wanasiasa kuhujumu uchaguzi mkuu wa mwaka huu. Ikumbukwe vilabu hivi vikubwa vina wanachama na mashabiki ambao wale wenye...
  12. ngara23

    JamiiForums Tanzania Ombi la Simba na TFF ni Yanga asilete timu, ili Simba apewe ubingwa wa mezani

    Viongozi wa matawi ya Yanga wataketi kesho 5 June, kujadili msimamo wao wa kutokucheza mchezo wa Derby Simba wakiwaza mziki wa Mzize, Dube, Pacome, Max 😅😂 na beki wao ndo Che maloni na Chamou na Tshabalala. Hapana kwakweli laZima tucheze ili tuwafunge Simba na TFF yake TFF wametafuta njia...
  13. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI TFF yavunja bodi ya ligi na kuteua bodi ya mpito

  14. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Unahisi Mwamba kazingua wapi Kabla sisi (Viongozi Wa Simba SC) hatujamchukulia hatuka Kali ya kumshitaki TFF na Bodi ya Ligi ?

    Mashabiki wenzangu semeni mapema ili tupeleke report kwa baba (TFF na Bodi ya Ligi) Hii siyo Bure kabisa binafsi naona kama tumehujumiwa kabisa Nawasilisha hoja
  15. Shakala

    JamiiForums Tanzania TFF tokeni zama za mawe za kati

    Wasalaam, Soka la Tanzania limekua kwa kasi sana hivi karibuni kiasi cha kuvutia watu kadhaa kuanza kuwekeza kwenye mpira wetu,Azam tv, Vodacom,nbc,sportpesa,GSM,MO na wengineo.watanzania wengi wamekua wakijipatia kipato kupitia soka;wachezaji,wauza jezi,watu wa usafirishaji,wenye nyumba za...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Msimu ujao TFF idhibiti vikali mechi za mipango katika ligi yetu

    Malalamiko ya mashabiki wa yanga ni mengi sana kwa sababu mipango yao ya kuwa mabingwa wanaona inakuwa migumu licha ya kuwekeza sana kwenye timu pinzani na kufikia kutengeneza baadhi ya timu za kuipa pointi kama ilivyo kwa Singida big stars. Malalamiko yamekuwa dhidi ya waamuzi hususan...
  17. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kwa jeuri hii bodi ya ligi na TFF hawako huru, hawako peke yao

    Bodi ya ligi na TFF hawajali timu na wadau wanasema nn kuhusu mechi zinavyochezeshwa. Nijuavyo mm bodi ya ligi na TFF hawana ubavu wa kuahirisha mechi ya derby kihuni namna ile. Timu hata za jeshi kuonewa uwanjani kwa kuchezeshwa kihuni hakuwezi kufanikishwa na bodi ya ligi pekee.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko TFF kufuatia mechi dhidi ya Simba SC

    Klabu ya Singida Black Stars imewasilisha rasmi malalamiko kwa mamlaka za soka nchini, ikiwemo Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa mchezo wao dhidi ya Simba SC uliochezwa jana Mei 28 kwenye Uwanja wa KMC Complex. Katika mchezo huo, Simba iliibuka na ushindi...
  19. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Muhogo mchungu kweli... Kama wizara mngekemea madudu ya TFF na bodi ya ligi kwa mechi na Simba mngejua hakuna lawama mechi ya jana

    Nimeshangazwa kama sio kusikitishwa na andiko la Naibu Waziri Kilocho nishangaza Naibu Waziri anashangaa na maamuzi ya mwamuzi , lakini katika Ligi yake ya ndani maamuzi kama hayo yamekuwa yakifanyika na Simba amekuwa amekuwa kimyaaaaa , Mechi ya mashujaa inatosha kabisa kuonesha kuwa huyu...
  20. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Serikali na TFF iangalie namna ya kuifidia Simba SC kwenye hili sakala la uwanja wa Benjamin Mkapa

    Baada ya shughuli za kupongezana na kunyoosheana vidole kuisha, nadhani kuna namna inabidi Simba SC ikae chini na Serikali pamoja na TFF waangalie namna ya kuifidia Simba kutokana na upotevu wa mapato yaliyotokana na kushindwa kuutumia uwanja wa Benjamin Mkapa katika hatua hizi za mwisho za...
Back
Top Bottom