mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,395
- 9,228
Nikweli Yanga sc tunadai haki zetu , nikweli TFF amekua akiipendelea mbumbumbu FC, ni kweli makolo walitukimbia tarehe 8 march.
Ila Taarifa ya club yetu iliyosema hatutoshiriki kivyovyote vile mchezo mwingine wa dabi kwa msimu huu 2024/2025 ilijitosheleza na hatukuhitaji kuendelea kulizungmzia hili jambo Tena , isipokuwa tulipaswa kukaa kimya na kufanya utekelezaji wa msimamo wetu Siku ya 15 June kwa kutopeleka timu uwanjani.
Ila kwa kinachoendelea sasa baina ya Yanga sc na TFF , hasa utupianaji wa maneno Kila muda kupitia taarifa zao kwa umma huko mitandaoni ,kinanipa hisia za sinema iliyoratibiwa kimkakati na wenye mamlaka za kisiasa.
Nina mashaka makubwa kuwa jambo hili lililoanzishwa na wanayanga kwa lengo la kukomesha uozo wa Tff na bodi ya Ligi limeshatekwa na wanasiasa kwa lengo lakudidimiza kelele za Watanzania wapenda mabadiliko.🤔