TFF mpaka Sasa hawajatoa Tamko dhidi ya Bakhressa!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,183
Reaction score
26,548
Bos amepaniki, Kauli aliyotoa mmilikiwa Timu ya Azam ndugu bakhresa kwamba wanajitoa kwenye ligi na kuhamia Zanzibar ni kashfa kubwa sana.

Kashfa hii inaweza kukimbiza wawekezaji wa mpira na watu kuacha kuangalia soka la Tanzania.

Kasfa hii lazma ijibiwe vikali, sijui alitaka Feisali apewe pongezi kwa utovu wa nidhamu aliofanya?

Inasemekana aliuziwa mechi ya nusu fainali CRDB na yeye akauza mechi ya NBC, akaaminishwa kwamba atakuwa bingwa wa CRDB, Sasa Leo mambo yamekuwa tofauti fala Kawa Azam kauza halafu yeye kabaki na makopo, ndiyo maanah ata FEI amepaniki kwa sababu aliona mechi ya nusu fainali CRDB akacheza halafu mechi kubwa ya NBC aka-kaa mbao ndefu kitambala bench, Manula bench, kwa hiyo Fei alijua maboss wake wamezunguka mbuyu na yeye akaona isiwe tabu akatengeneza tukio na kupata red card na Ile kilikuwa lengo lake, kwa hiyo wasimfokee REFA Wala bodi ya ligi.​
 
Yaleyale kama ya Simai.
Mtu anatoa tuhuma nzito kiasi kile halafu Mwenezi wa CCM Taifa akakausha, Spika akakausha.

Wakati Mpina alitofautiana kidogo tu na Bashe kuhusu vibali vya kuingiza sukari alijibiwa na kila mtu....hadi Wasira na kamati ya nidhamu bungeni.

Gwajima alipishana kimsimamo na Dorothy Gwajima kuhusu Covid Vaccination, alijibiwa na bunge zima kwa hoja binafs
 
Bos amepaniki, Kauli aliyotoa mmilikiwa Timu ya Azam ndugu bakhresa kwamba wanajitoa kwenye ligi na kuhamia Zanzibar ni kashfa kubwa sana.

Kashfa hii inaweza kukimbiza wawekezaji na watu kuacha kuangalia soka la Tanzania.

Kasfa hii lazma ijibiwe vikali, sijui alitaka Feisali apewe pongezi kwa utovu wa nidhamu aliofanya?

Inasemekana aliuziwa mechi ya nusu fainali CRDB na yeye akauza mechi ya NBC, akaaminishwa kwamba atakuwa bingwa wa CRDB, Sasa Leo mambo yamekuwa tofauti fala Kawa Azam kauza halafu yeye kabaki na makopo, ndiyo maanah ata FEI amepaniki kwa sababu aliona mechi ya nusu fainali CRDB akacheza halafu mechi kubwa ya NBC aka-kaa mbao ndefu kitambala bench, Manula bench, kwa hiyo Fei alijua maboss wake wamezunguka mbuyu na yeye akaona isiwe tabu akatengeneza tukio na kupata red card na Ile kilikuwa lengo lake, kwa hiyo wasimfokee REFA Wala bodi ya ligi.​
Aende zake tu
 
Hizi blaa blaa za vijiwe vya kahawa peleka face book!
Au Unafikiri huyo Faizal ndiye anajipangia mechi gani acheze na ipi asicheze?
Siku zote mpira ni probability (Kamari) una weka coin pale unapohisi unauwezekano mkubwa zaidi wa kushinda ILA sio lazima kuwa utashinda?
 
Mjibuni na kumpa adhabu kwa mihemko mtajua hamna ligi kubwa bila pesa za Azam.
Akisema asitishe udhamini na matangazo nawaambia mtaumia zaidi ninyi.
Yeye ataendelea kuonesha waturuki wake na mapanga yao. Anavuta visarafu vya waswahili wenzie.
 
Kabla yake hakukuwa na Ligi?
Hakuna pengo lisilo zibika.
Hata yeye akifa wanaweza kuja waridhi wakaachana na mpira na Uwanja ukawa Yard ya makonten ambapo infact inalipa kuliko mpira kiingilio ni 2000.
 
Ligi ilikuwa na wafuatiliaji na wawekezaji kwenye timu mbalimbali kama sasa?
1. Hata Tanzania ilikuwa na watu milioni 30 sasa ni 70 milion.
2. Dar ilikuwa makao makuu sasa ni DODOMA.
3. Kulikuwa na Vituo vichache vya media
4. Hata asingekuwako bado mpira ungekuwako, wewe ni mmoja kati ya wanaiomba pambio "kama si wewe ... leo tungekuwa wapi, but elewa, maisha yanakwenda hata wewe usipokuwako!
 
Back
Top Bottom