Bila kupepesa macho na kupindisha maneno
Mimi ni CCM damu damu ambaye nimeanza kuwa Mwana chama wengi wenu hamjazaliwa, tokea Niko Pugu Mwaka 1979 na baadae tukasoma kupewa kadi ya CCM siyo zinazogawiwa Kama njugu!
Baada ya hapo nina machache tu ya kusema
1. Vetting ni ama haipo au...
Nitatumia utenguzi na uteuzi wa huyu DC kama mfano ktk uzi wangu.
Huyu alikuwa DC wa Temeke, akatenguliwa 02 June 2023. Na leo 23 Septemba 2023 ameteuliwa tena kuwa DC wa Mtwara.
Ndiyo kusema mwanamama huyu alipoteza sifa ya kuwa DC mpk kufikia hatua ya kutenguliwa 02/06/2023 lkn siku 90...
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshutumiwa kwa upendeleo baada ya kumteua mwanawe katika baraza jipya la mawaziri kufuatia kuchaguliwa tena kwa uchaguzi wenye utata mwezi uliopita.
Bw. Mnangagwa Jumatatu alimtaja mwanawe, David Kudakwashe, kama naibu waziri wa fedha kama sehemu ya mgawo...
Siku hizi kumekuwa na teuzi nyingi ambazo hazionyeshi, kuwa zimetokana na uwezo au weledi wa aliyeteuliwa. Chanzo kikuu kikiwa ni katiba inamruhusu mteuzi kufanya huo uteuzi, na matokeo yake tunaona kwamba mifumo ya utendaji na kauli za baadhi au wengi ya viongozi hao kuwa ni za magomvi na...
Kichwa cha Habari Chajieleza , Uongozi wowote wa Umma Duniani kote ni dhamana ya muda mfupi sana , tena ni dhamana ya kusaidia kuboresha maisha ya jamii husika (BOTTOM UP) , ni fursa kwa aliyechaguliwa kuongoza kuonyesha Uwezo wake wa kuisaidia jamii yake .
Maana yake ni kwamba viongozi wa...
Wakati Tunakaribia uchaguzi mkuu 2025, Dream team imeanza kupangwa, Captain amepewa captain msaidizi {kapten kapunguziwa madaraka kijanja} huku mabeki wakipewa wanasheria.
Kapten kashtuka, ameamua kukaa kimya, naye anajipanga anataka namba 2025, wacha inyeshe tujua pavujapo.
Kanda ya Ziwa...
Ndio ukweli huo.
Katika taifa la watu milioni 60 bado nafasi chache na nyeti zinazohitaji akili iliyochangamka na energetic lakini bado anateuliwa mstaafu anayetakiwa kukaa na wajukuu nyumbani ale jasho la ujana wake.
Rais Samia amekua mlalamikaji sana hivi karibuni kuhusu utendaji wa watu...
Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar
Anne Semamba Makinda, Spika Mstaafu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Amani Abeid Karume, Rais Mstaafu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuwa Mkuu wa Chuo (Chancellor) cha Sayansi...
Kuna tabia ya vijana bila hata kupewa chochote huibuka na kusifia viongozi hata ambavyo hastahili. Hii imekuwa kero kwa baadhi ya viongozi ambao hawana hulka ya kutaka sifa wamekuwa wakijitenga nao.
Katika kitabu kimoja cha uongozi nilikisoma kwa uzuri sana. Kinasema kiongozi mzuri hujipambanua...
Sheria kandamizi ziko vile vile
Teuzi za Watoto wa vigogo Kama kawaida
Nchi Ina vimfumo lundo ambavyo hata yeye mwenyewe hajui chochote
Mikataba mibovu ni Kama maji ya kunywa
Matumizi mabovu ya Pesa za umma kununua magazeti, media n.k
Masuala ya katiba yamekufa kifo Cha mende .Ni kanyaga twende...
1. DAS wa wilaya anateukiwa na Mh Rais.
2. Je anapofanya mabadiliko DAS akaachwa anapangiwa kazi ingine?
3. Kama alikuwa public servant atarejea kwenye kazi yake?
4. Na kama hakuwa mtumishi wa umma atapotezewa na maisha yaendelee?
5. Na kwanini hakuna teuzi zinazowachukua walimu?
Naomba kupandiaha barua ya Ikulu mnamo mwezi January 23 ambayo ilitoa taarifa ya kufukuzwa kazi wakurugenzi kadhaa,soma jina namba 2 na jina namba 5 halafu pitia majina namba 80 na jina namba 115 kwenye teuzi zilizofanyika jana.
Katibu Mkuu kiongozi na wizara ya utumishi wanahitaji kumsaidia...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa.
Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
Uteuzi mpya wa viongozi na mabadiliko ya viongozi Tanzania mwaka 2022/23 yamekuwa chachu kubwa katika kuimarisha uongozi bora na uwajibikaji. Mabadiliko haya yameleta matumaini mapya kwa wananchi na kuleta mabadiliko chanya katika nyanja mbalimbali za utawala nchini. Katika muktadha huu...
Msikubali Teuzi , zitakazowasababisha mpoteze nafasi ya awali siku mkitenguliwa mkakosa vyote.
Nawashauri sana, msikubali teuzi zitakazowavua nafaso zenu za awali mlizokuwa nazo ili mtumikie teuzi (nafasi mpya) siku mkija tenguliwa katika nafasi hizo mtajikuta nmekosaa vyote na mtaalazimishwa...
Niendelee kung'ang'ania ubara kwanini wakati uraia wa Zanzibar unarahisisha maisha?
Wazanzibar wamebahatika zaidi kupata uwanja mpana tena wa kipendeleo kabisa katika nafasi za uongozi, ajira, vyeo, teuzi, n.k.
JKT wengi kama sio wote huwa wanabakizwa kujiunga na Jwtz, Polisi, Usalama, n.k na...
Teuzi za raisi samia zinavyoakisi dhamira njema aliyonayo kwa Watanzania.
Kassim mpingi
Rufiji -pwani
Duniani kote teuzi za kisiasa huwa na kazi kuu mbili, kazi ya kwanza ni shukran kwa kiongozi kwa waliomsaidia ushindi na kazi ya pili kudhibiti mamlaka ya...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amemteua Bw. Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri na Uwekezaji wa Mfuko wa Mafuta na Gesi (Portfolio Investment Advisory Board).
Aidha...
Usiri uliopo kwenye ajira Tanzania unatokana na usiri uliopo katika mfumo wa uteuzi. Kama wakubwa wanapatikana Bila kuwepo mfumo rasmi basi hata wadogo nao watapatikana Kwa usiri mkubwa.
Kama tunataka uwazi katika ajira na kama tunataka ajira ziwe by merits basi tumshauri Mhe. Rais afanye...