teuzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar ateua Wakurugenzi katika Wizara ya Habari

    Rais wa Zanzibar Dkt. Hussen Mwinyi amemteua Dkt. Saleh Y. Mneno kuwa Mkurugenzi wa ZBC. Nasriya M. Nassor ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Utumishi na Uendeshaji. Khamis Siasa ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mipango, Sera na Utafiti. Shaib I. Moh'd ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa...
  2. Mpinzire

    JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mabalozi 23 leo, Hakuna aliepangiwa kituo cha kazi au mimi sijaelewa?

    Leo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya kazi? Kwanini? Anafanya alimradi abadili ama ye anateua wakati akisubiri wa kumtoa?
  3. J

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hayati Magufuli alikuwa anateua watendaji bila kuwahusisha VP na PM?

    Nauliza tu kwa wenye uzoefu na mambo ya teuzi Naelewa kwamba kila zama na kitabu chake lakini naona kama mama anapata kazi ya ziada kuteua tena. Kazi Iendelee! Kesho ni Pentecoste.
  4. F

    JamiiForums Tanzania Tunaweka divai mpya kwenye viriba vikuukuu, viongozi wengi wa zamani wanateuliwa tena na tena kwenye awamu mpya

    Nafikiri tatizo kubwa la nchi yetu ni kukosa ubunifu na kutokuwa na mifumo imara na hivyo kupelekea kila kiongozi mkuu ajaye kuanza upya. Awamu iliyopita ilikuwa na viongozi ambao kama Tanzania ingekuwa nchi iliyokomaa kifikra na kidemokrasia basi viongozi wakuu karibu wote wangepaswa kuachia...
Back
Top Bottom