SP Mwaija, mkuu wa intelijensia polisi mkoa wa Kilimanjaro awanyanyasa na kuwatesa wafanyabiashara mkoa wa Kilimanjaro

peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
525
500
Kilio cha wafanyabiashara kifanyiwe kazi, IGP mkuu wa kitengo cha intelijensia polisi mkoa wa kilimanjaro SP MWAIJA amekuwa kero kwa wafanyabiashara kwenye mkoa wa kilimanjaro.

SP Mwaija amekuwa akiwapatia vitisho pale ambako anakuomba rushwa na kutompatia.Mara nyingi amekuwa akuwaita ofisini kwake au kuwapigia simu wafanya biashara kwa lengo la kuomba na kulazimisha kupewa rushwa.wakimlalamikia kuwa hali ni mbaya anasema wafanyabiashara wote ni wapinzani na atatukomoa na kusema taarifa zote za wafanyabiashara anazo na atazipeleka mbali ambapo huko mbali wafanyabiashara hawapajui na asemi ni wapi na ni taarifa gani anazo.

Wafanyabiashara wamekuwa na hofu kubwa kwani anasema atawabambikia wafanyabiashara kesi kwani kila mara anawaambia wafanyabiashara kuwa yeye ni under carpet na atawamaliza kama hawatampatia pesa.

Kila mara analalamikia wafanyabiashara kuwa kitengo chake hakina mafungu ya fedha hivyo ni lazima kupewa fedha .
Mateso wanayo yapata wafanyabiashara kilimanjaro ni makubwa na kufikia mahali kushindwa kulipa kodi za serikali TRA kisa SP Mwaija.

Tunaiomba serikali yetu tulivu ta awamu ya tano, kumuhamisha huyu askari kwani wafanyabiashara wameteseka kwa muda mrefu na wameshindwa kutambua pa kupeleka kilio chao,jana alitembelea mojawapo ya hotel maafuru ya kitaliii iliyopo shanty town mjini moshi akidai mmliki waa hotel hiyo ampatie rushwa ya tsh 500,000 vinginevyo atatoa taarifa vyombo vya juu kuwa kuna mgeni amelala kwenye hotel hiyo mwenye dalili za ugonjwa wa corona, jambo ambalo sio la kweli kwamba wamempokea mgonjwa wa corona aliyekuwa ametoka kupanda mlima kilimanjaro.

Pili sakata la kukutwa kwa shamba la bangi eneo la njia panda ya himo alikuwa analijua na kila mara alikuwa anafika eneo husika na kupewa fedaha ili asitoe taarifa za kuwepo kwa shamba hilo hivyo amekuwa pia akishirikiana na wahalifu na wananchi wasitaka kuitendea nchi yetu mambo mema.wa na Mh. Dr John Josefu Magufuli. SP MWAIJA amekuwa akishirikiana na baadhi ya watu wasio waaminifu kwenye ubadilishaji wa fedha za kigeni mfano fedha za kenya kwenye mpaka wa holili na baadhi ya vijana wanaoijiita forex boy mjini moshi kwa ajili ya kujipatia fedha haramu kwa njia haramu.

Ni matumaini yetu kuwa kilio chetu kitasikilizwa na kufanyiwa kazi mapema kwani wafanyabiashara wanateseka sana . IGP na waziri wa mabo ya ndani tuna imani nawe pamoja na serikali yetu tukufu inayoongozwamna Mh. Dr John Joseph Magufuli.
 
Ryaro wa Ryaro1233

Senior Member
Jan 7, 2020
168
500
Majungu at work.. ukioona hivyo wafanyabiashara na Wafanya haramu wanabanwa vilivyo. IGP ni msomi na mweledi kwenye taaluma hiyo so utafanya au hata hataangaika na majungu. siyo wewe umpe maelekezo ya kumtoa ofisa wake sehemu ambapo yawezekana anatimiza wajibu wake kisawasawa. Tulia lipa Kodi Mangi na achana na haramu, pia huu si wakati wa kudeal na majungu bali Corona kwa mstakabali wa Taifa ....Thanks..
 
King Easy

Member
Aug 11, 2013
37
125
Wafanyabiashara Kilimanjaro mbona ni too general hebu weka wazi wafanyabiashara zipi? Hebu iza source yako kunyanyaswa kwako kukoje? Washawahi kukamatwa ikawaje? Afu kwanini wanataka ahamishwe sio achukuliwe hatua kulingana na Ushahidi utakaopatikana. W
Au wameshikwa pabaya?
 
Chrismoris

JF-Expert Member
Oct 27, 2017
13,208
2,000
Majungu at work.. ukioona hivyo wafanyabiashara na Wafanya haramu wanabanwa vilivyo. IGP ni msomi na mweledi kwenye taaluma hiyo so utafanya au hata hataangaika na majungu. siyo wewe umpe maelekezo ya kumtoa ofisa wake sehemu ambapo yawezekana anatimiza wajibu wake kisawasawa. Tulia lipa Kodi Mangi na achana na haramu, pia huu si wakati wa kudeal na majungu bali Corona kwa mstakabali wa Taifa ....Thanks..
Majungu ni sawa na ma hot pot ?
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
5,166
2,000
Kilio cha wafanyabiashara kifanyiwe kazi, IGP mkuu wa kitengo cha intelijensia polisi mkoa wa kilimanjaro SP MWAIJA amekuwa kero kwa wafanyabiashara kwenye mkoa wa kilimanjaro.

SP Mwaija amekuwa akiwapatia vitisho pale ambako anakuomba rushwa na kutompatia.Mara nyingi amekuwa akuwaita ofisini kwake au kuwapigia simu wafanya biashara kwa lengo la kuomba na kulazimisha kupewa rushwa.wakimlalamikia kuwa hali ni mbaya anasema wafanyabiashara wote ni wapinzani na atatukomoa na kusema taarifa zote za wafanyabiashara anazo na atazipeleka mbali ambapo huko mbali wafanyabiashara hawapajui na asemi ni wapi na ni taarifa gani anazo.

Wafanyabiashara wamekuwa na hofu kubwa kwani anasema atawabambikia wafanyabiashara kesi kwani kila mara anawaambia wafanyabiashara kuwa yeye ni under carpet na atawamaliza kama hawatampatia pesa.

Kila mara analalamikia wafanyabiashara kuwa kitengo chake hakina mafungu ya fedha hivyo ni lazima kupewa fedha .
Mateso wanayo yapata wafanyabiashara kilimanjaro ni makubwa na kufikia mahali kushindwa kulipa kodi za serikali TRA kisa SP Mwaija.

Tunaiomba serikali yetu tulivu ta awamu ya tano, kumuhamisha huyu askari kwani wafanyabiashara wameteseka kwa muda mrefu na wameshindwa kutambua pa kupeleka kilio chao,jana alitembelea mojawapo ya hotel maafuru ya kitaliii iliyopo shanty town mjini moshi akidai mmliki waa hotel hiyo ampatie rushwa ya tsh 500,000 vinginevyo atatoa taarifa vyombo vya juu kuwa kuna mgeni amelala kwenye hotel hiyo mwenye dalili za ugonjwa wa corona, jambo ambalo sio la kweli kwamba wamempokea mgonjwa wa corona aliyekuwa ametoka kupanda mlima kilimanjaro.

Pili sakata la kukutwa kwa shamba la bangi eneo la njia panda ya himo alikuwa analijua na kila mara alikuwa anafika eneo husika na kupewa fedaha ili asitoe taarifa za kuwepo kwa shamba hilo hivyo amekuwa pia akishirikiana na wahalifu na wananchi wasitaka kuitendea nchi yetu mambo mema.wa na Mh. Dr John Josefu Magufuli. SP MWAIJA amekuwa akishirikiana na baadhi ya watu wasio waaminifu kwenye ubadilishaji wa fedha za kigeni mfano fedha za kenya kwenye mpaka wa holili na baadhi ya vijana wanaoijiita forex boy mjini moshi kwa ajili ya kujipatia fedha haramu kwa njia haramu.

Ni matumaini yetu kuwa kilio chetu kitasikilizwa na kufanyiwa kazi mapema kwani wafanyabiashara wanateseka sana . IGP na waziri wa mabo ya ndani tuna imani nawe pamoja na serikali yetu tukufu inayoongozwamna Mh. Dr John Joseph Magufuli.
Huyo mshughulikieni wenyewe hadi akimbilie alikotoka.
 
UCD

JF-Expert Member
Aug 17, 2012
7,151

Lipa kodi wewe Mangi acha majungu!
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
5,166
2,000
Nenda kamshughulikie wewe! Kama hatutakusahau duniani kweli.
Wewe ni mfia magu mmezoea kunyanyasa watu kwa udhalimu wenu ndio maana hamuoni shida kutesa na kuua watu kama mnavyofanya kwa ng’ombe.
 
Masanjaone

JF-Expert Member
Nov 15, 2019
849
1,000
Haya ni majungu bila kupepesa macho.
Anaomba rushwa ww hujui takukuru!
Kwani jf ni takukuru? Jamaaunamuongezea manyota tu, maana hii inaonekana kawabana vzr.
Kirimanjaro mnauza na kusafirisha bangi na mihadarati sana from kenya.
Nahapo alitakiwa mtu km huyo.

Hongera yke
 
Nyie ni wale wale wafiamagu.
 
Una mawazo mazuri Ila hujasoma na kuelewa hoja ya msingi.IGP wetu ni msikilizaji na mfuatiliaji mzuri wa malalamiko ya wananchi wake.Tuna Imani na serikali ya awamu ya tano,tunaomba kilio chetu kicuatiliwe na kifanyiwe kazi
 
Masanjaone

JF-Expert Member
Nov 15, 2019
849
1,000
Una mawazo mazuri Ila hujasoma na kuelewa hoja ya msingi.IGP wetu ni msikilizaji na mfuatiliaji mzuri wa malalamiko ya wananchi wake.Tuna Imani na serikali ya awamu ya tano,tunaomba kilio chetu kicuatiliwe na kifanyiwe kazi
IGP hata kama ataamua kusoma huu uzi nahisi atakomea katikati! Akisoma wte atakuwa amejitahidi.

Mi namshauri IGP km ndo shutuma hizi basi ampandishe cheo.
 
Mau Mau

JF-Expert Member
Dec 30, 2012
660
500
Huyu Dada Lazma Atakuwa Mchapa Kazi Mzuri. Na hili ni Sokomoko tu ili Aondolewe Waizi Wapumue
 
peno hasegawa

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
525
500
IGP hata kama ataamua kusoma huu uzi nahisi atakomea katikati! Akisoma wte atakuwa amejitahidi.

Mi namshauri IGP km ndo shutuma hizi basi ampandishe cheo.
Baada ya SP MWAIJA kusoma Uzi huu,kakimbia ofisi kaenda likizo.na wafanyabiashara wamepata haueni hawasumbuliwi Tena na kuomba rushwa,Wala kutishiwa kubambikiwa makesi yasiyo eleweka. Tunaomba Likizo ikifika mwisho apangiwe mkoa mwingine ili apimwe utendaji wake na afuatiliwe kwa umakini mkubwa. Tuna Imani naIGP na mpendwa Rais wetu mtetezi wa wanyonge na serikali yake tukufu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom