tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tunahitaji Ufunguo mwingine wa Mafaniko, Elimu haifanyi kazi tena

    Zamani wakati tunasoma tulikuwa na Kauli mbiu kuwa "Education is a Key To Success" au "Education is a key to life" Ikiwa na maana ya Elimu ni ufunguo wa Maisha au ufunguo wa mafaniko. Lakini cha kushangaza tena Elimu sio tena ufunguo wa mafaniko ya maisha au kitasa cha mafanikio...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa UFUPI MAFWELE the Killer, hatoonekana tena as long as Mh Polepole, Mdude na wengineo walotekwa wataendelea kushikiliwa

    Hii inaitwa ya DUNIANI tumalizane wenyewe hapahapa DUNIANI. Hawa Wasenge wameua sana watu , wameua , tena wanaua huku wanajiamin na kutoa vitisho. No way , potelea mbali !!!. Mtasubiri sana MAFWELE ajitokeze ila holaaaaaaa !!!
  3. JamiiForums Tanzania Unadhani ni kwanini wafuasi wa Tundu Lisu hawajai tena mahakamani, kuzua vurugu na kuchochea fujo kwenye viwanja vya mahakama kama ilivyozoeleka?

    Nini kimewachosha mapema hivyo na kuwafanya kukata tamaa? Au ni kwasababu ya nanma kibaraka lisu navyojitetea kilezy na kuashiria wazi kabisa kwamba hatoboi? Ni wazi muungwana amechoka kimwili na kiakili, na kabisa nae amekata tamaa na anaona wazi kutiwa hatiani. Gharama za ubinafsi zinamtesa...
  4. JamiiForums Tanzania Trafiki Kawe/na polisi kanzu wanahitaji kubadilishwa haraka kwa tuliowaona leo tena mbele ya kituo

    Inasikitisha sana sana anyway Mnamu saa tano asbh tar 18 feb Traffic mmoja mwembamba akishirikiana na wenzie watatu wakiwa mbele ya kituo cha polisi kawe walianza kukamata pikpik.. toyo... na bajaji Hatujakataa kukamata njia walizotumia ni hatarishi mh rto hata rc wetu aliepita alipiga...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Responded Mrejesho: Barabara ya Mtaa wa Isevya – Muhimbili imerekebishwa, sasa hatulii na vumbi tena. Tunawashukuru JamiiForums

    Mwezi Januari niliandika kuhusu changamoto ya Barabara kwa sisi Wakazi wa Mtaa wa Isevya, Muhimbili – Ilala, Dar es Salaam, nilieleza kuwa kipande cha barabara kimefukuliwa kwa zaidi ya miezi miwili na kutelekezwa baada ya kumwaga kokoto mara moja tu, tangu hapo hakuna kilichofanyika. Tulikuwa...
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu nimerejea tena kutoka sayari ya mbali baaya kupotea kwa mda wa miaka miwili

    Kama kichwa Cha habari kinavyo SEMA,pia nimewakumbuka sana ndugu zangu w kina jinuni wanawasalimia sana wakina maimuna na sharifu. Nambie una jambo gani linalo kutatiza nikusaidie mara Moja🙏🏽
  7. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Wizara Mbili na UTEUZI, Februari 6, 2026

    YAH: MABADILIKO YA MUUNDO WA WIZARA MBILI NA UTEUZI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya muundo wa Ofisi ya Rais - Mipango na Uwekezaji na Wizara ya Nishati kwa Wizara hizo kuwa na Makatibu Wakuu wawili kwa kila Wizara, kuteua na kufanya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Baada ya maafa ya maandamano ya MO29, sidhani kama watanzania wana nguvu ya kuandamana tena kwa miaka 20 ijayo, watu wanaogopa sana maandamano

    Wengi wetu tulidhani maandamano yatatulizwa kwa mabomu ya machozi , virungo na vipigo, vifo vilitbiriwa kuwepo kakini vichache sana visivyozidi 20. Lakini kilichotokea ni tofauti kabisa, risasi zilimiminwa kama njugu. Watu wengi walipoteza maisha wakiwemo wengi zaidi ambao hawakuandamana na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Taharuki yaibuka Bunda mkoani Mara, wananchi waambiwa wapishe upanuzi wa eneo la hifadhi, uvuvi wasitishwa, risasi zafyatuliwa

  10. JamiiForums Tanzania Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa

    Taharuki yaibuka tena Nyatwali-Bunda baada ya uvuvi kusitishwa, risasi zapigwa, wananchi waeleza kilichotokea.
  11. JamiiForums Tanzania Mkiniona nazungumzia masuala ya mpira tena kwanzia leo mnifunge mdomo na gundi

    Sitajihusisha tena na mpira kwa kipindi cha miaka 10
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kiroho; Simba na Yanga haziwezi tena kufanya vizuri kwa jina la Tanzania, nchi ina laana

    Tangu tarehe 29.10.2025 ,Tanzania ilipata doa ,nchi ilichafuka ,Taifa limelaaniwa. Hatuwezi kupata chochote kama Taifa tuka toboa .Iwe mpira, muziki ,biashara na uwekezaji . Tunahitaji toba ya kweli kutoka hapa. Simba na YANGA mwambieni Rais wenu aombe toba Kwa Mungu
  13. JamiiForums Tanzania "Acha watafune, tutachanga tena" ni kauli inayohuzunisha toka kwa baadhi ya wanaCHADEMA

    “He Killed My Ma, He Killed My Pa… I'll Vote for Him” Hiyo ilikuwa slogan ya wafuasi wa dikteta Charles Taylor wa Liberia mwaka 1997 kwenye uchaguzi mkuu baada ya kuisha kwa vita vya kwanza vya wenyewe kwa wenyewe mwaka 1996. Vijana walijitoa ufahamu na kudai hata kama Taylor aliwaua baba na...
  14. JamiiForums Tanzania Mwendokasi bado shida , Kimara/Gerezani , Maji nalo jipu

    Pamekua na magari machache ya Kimara Gerezani na Mbezi Gerezani tofauti na tunavyo aminishwa kwa picha za mabasi mtandaoni. Hali ya usafiri ni Mbayaaaaa, Mbezi Kimara hali ya Maji ni Mbayaaaaa. MAANDAMANO yanayofuata ni juu ya HUDUMA ZA JAMII wala sio wizi wa kura CCM
  15. JamiiForums Tanzania Shujaa Lissu achangiwe tena. Waliokwapua fedha zake wamefanya vibaya sana.

    Watanzania mil 7 kila mmoja akitoa bukubuku inatosha kabisa kupata fedha za kumashika mkono Shujaa Lissu ambae yupo gerezani kawa bila makosa
  16. JamiiForums Tanzania Je, tukishamaliza kuuza Dhahabu, tutauza nini tena?

  17. JamiiForums Tanzania Hii Nchi kama unaweza kuhama haama. Na kamwe usirudi tena

    Yani ni Bora ukajipoteza kabisa Msikilizeni hapa Mwigulu alivyojibu swali hili la msingi kabisa. Nimechoka.😓😓
  18. JamiiForums Tanzania Exclusive documentary!... TUNDU LISSSU shujaa. Karibu tena Uraiani baada ya takribani miezi 10 gerezani kwa kesi ya uongo wa kubumba..!

    https://youtu.be/85bP-YM4ynQ?si=NANNLo0GT5vnfQt_ HAKI huchelewa tu lakini kamwe haijawi kushindwa na dhuluma Tujiandae kumpokea uraiani shujaa na mpigania HAKI asiyeyumba wala kutikisika, mwana wa Ikungi, Singida... Ni TUNDU ANTIPHASY MUGHWAY LISSU, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, mpigania HAKI...
  19. JamiiForums Tanzania 2030 na baada ya hapo, kuna uwezekano wa kuundwa Chama kipya chenye ushawishi au serikali ya mseto

    Salam wanajamvi, kwa namna mambo yalivyo ni wazi ushiriki na imani ya wananchi kwenye mambo ya siasa umepungua, nikiwa na maana ni ngumu kwa mwananchi wa kawaida kuamini nini viongozi wanacho eleza wakiwa kwenye majukwaa na hii ni kutokana na timing ilio fanyika katika mambo yalio tokea hapo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Nina haki kama binadamu ya kupenda tena

    Wana jamii Forums hamjambo, hapa ni mahali pekee ambapo naweza kuongea kwa uwazi na bila kuficha chochote. Kuna muda nakuwa na mawazo nashindwa wapi pa kusemea. Iko hivi kwa sasa nina miaka 44 sijaolewa na sina mwenza ila nina watoto ambao nilipata na mpenzi wangu, mahusiano hatufanikiwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…