tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. Rasmi: Yanga yampa mkono wa kwaheri Saidi Ntibazonkiza

    Baada ya kusimamishwa kuitumikia Yanga kwa muda kutokana na utovu wa nidhamu, rasmi klabu hiyo imetangaza kuachana na kiungo mshambuliaji Saidi Ntibazonkiza 'Saido' kutokana na mkataba wake kufikia tamati. Yanga imesema kuwa Saido ambaye alisimamishwa wiki iliyopita baada ya kutoka kambini bila...
  2. Tangazo la nafasi za Kazi 1,904 kutoka Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Makatibu Wakuu wa Wizara, Watendaji Wakuu wa Idara Zinazojitegemea, Makatibu Tawala wa Mikoa, Wakurugenzi wa Halmashauri za Jiji/Manispaa/Miji na Wilaya anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa...
  3. Donbas itarudi tena kuwa Ukraine-Zelensky

    Rais wa Ukraine ndugu Zelensky katika taarifa zake za leo kwa njia ya mtandao amesema eneo la Donbas litarudi kuwa Ukraine kwa mara nyengine. Hii ina maana eneo hilo ambalo ni muunganiko wa mikoa miwili ya mashariki ya Ukraine limeshaangukia mikononi mwa Urusi baada ya mapigano makali ya wiki...
  4. Simba SC siku zingine msilirudie tena Kosa hili la Kiufundi na Binafsi mmenikera

    Watu tunaojua kuwa Kesho Kipa Aishi Manula hatocheza tunawashangaa kabisa Kutwa mnavyohangaika kututia Moyo. Yaani badala ya kutumia muda wenu mwingi kumjenga Kisaikolojia Kipa wangu bora Simba SC Beno David Kakolanya nyie mnahangaika na Aishi Salum Manula wenu kana kwamba ni mzuri kivile...
  5. U

    Mjadala wa kihistoria: Je, Ishmael na Mdogo wake Isaka Walionana tena baada ya Kifo cha Babayao Mzee Ibrahim?

    Wadau hamjamboni nyote? Naleta mjadala huu ambao naamini ni wa kihistoria na utachangiwa na Wasomi wetu lukuki waliojaa ndani ya Jamii Forum Inajulikana kuwa Ishmael na Mdogo wake Isaka walikutana pamoja kwa ajili ya Maziko ya babayao Mzee Ibrahim Baada ya hapo hakuna kumbukumbu ya maisha ya...
  6. L

    Mapambano makali kati ya jeshi la DRC dhidi ya kundi la M23 yaanza tena

    Msemaji wa FARDC Kanali Ndjike Kaiko amesema mapambano makali kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Kundi la waasi lijulikanalo kama “The March 23 Movement” (M23) yameanza tena mapema jana huko kaskazini mashariki mwa nchi hiyo. Kanali Kaiko amesema FARC ilianza kufanya...
  7. Marekani yafungua Ubalozi wao ndani ya Kyiv baada ya kuufunga takriban miezi 3 iliyopita

    Three months ago, we lowered our flag over the U.S. Embassy in Kyiv, Ukraine, just days before Russian forces streamed across Ukraine’s border to carry out President Putin’s unprovoked, unjustified war of choice. When we suspended operations at the embassy, we made the point clear: while we...
  8. TTCL hii chance mkiizembea hamtoboi tena, fanyeni hivi mpige hela mpaka vichwa viwaume

    Wasalaam Ni mimi C.T.U nimekuja tena kwa mara ya pili leo nimeota ndoto ambayo nafikiri ni ndoto fulani ambayo nimeamua nije kuzungumza na nyinyi ndugu zangu TTCL Ndoto yenyewe ni kuwa TTCL inatakiwa kutengeneza mabilioni ya fedha kutoka kwa watanzania na nafikiri ndio dhima kubwa ya Rais ...
  9. Huyu mdada na mambo yake; simtaki tena

    Siku za karibuni nilitembelewa na mpenzi (mchepuko) wangu, na ilipofika jana jioni nikaona nimtoe 'out' kidogo, tuende 'club' moja kusikiliza mziki pamoja na kuburudika. Mpenzi wangu akaomba, huku akinilazimisha; avae kikaptula kifupi, pamoja na tshirt ya nyuzi nyuzi, kwa sababu kuvaa kwake...
  10. Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  11. Nakubaliana na William; alikuwa sahihi kabisa. Nampongeza

    Ukiingia Jamhuri ya Twitter utakutana na Mwanamke Mmoja akilalamika kwenye chombo flani cha habari kuhusiana na suala lake la kuachwa siku ya Ndoa. Ukimsikiliza utagundua William alikuwa sahihi kabisa. Yule dada anaonekana kabisa ni kimeo. Kiukweli nampongeza William alijitahidi sana kumvumilia...
  12. P

    Chadema si wamoja tena? Ile live kutoka Ubelgiji haijaonekana, kuna error mahali

    Hakuna matamko tena kutoka kwa makamu Mwenyekiti Chadema Tundu Lissu Hakuna kikao alichoshiriki tena kama ilivyokuwa awali kipindi cha uchaguzi n.k Hakuna andiko lolote tena linaloihusu Chadema kutoka kwa M/kiti msaidizi, ni kiimyaaa!; kulikoni? Chadema mko salama huko? Inakuwaje wadau...
  13. Kitabu cha lawama kwenda kwa Mwendazake Kifungwe sasa. Kiongozi yeyote atakayelaumu tena afunguliwe mashitaka

    Wana JF Kumekuwa na lundo la viongozi wakitoa lawama nyingi kuzielekeza kwa mwendambinguni ikiwa ni sehemu ya kukwepea majukumu waliopewa wakashindwa kuyatimiza kwa wakati. Kwa sasa kila kukicha tunapata lawama mpya , jambo baya sana tangu JPM aondoke duniani yapata mwaka na miezi, hawa jamaa...
  14. N

    Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Nahisi kabisa kuna watu, wako nyuma ya kundi la hawa magaidi Lengo lao ni hii nchi isitawalike
  15. Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara?

    Kwanini wanawake hupenda kulala tena chini kabisa kwenye maeneo yao ya biashara? Unakuta katandika mtandio /kanga analala chini eneo la biashara Credit to 6Was9
  16. India: Adaiwa kubakwa alipoenda Polisi kuripoti tukio la kubakwa

    Msichana wa miaka 13 anaedaiwa kubakwa na wanaume wanne nchini India ,anadaiwa kubakwa tena na Askari Police wakati alipokwenda kuomba msaada wa police na kuripoti shambulio la kwanza Mamlaka ya Uttar Pradesh ilithibitisha Kwamba police huyo amekamatwa kutokana na kitendo chake hicho kilichozua...
  17. T

    Ndugai: Nasisitiza hakuna cha bure lazima tuvuje jasho

    Inaonekana Ndugai aliamini alichokisema pale alipopinga sera za taifa kuishi kwa kuomba omba misaada na kupelekea kujiuzulu uspika kwa shinikizo... amelirudia tena jambo lile kwa angle nyingine... Hili dhahiri ni jiwe limerushwa Ikulu, na natumaini wakubwa watapata ujumbe kwamba kuna sehemu...
  18. IKULU, Dar: Rais Samia na Freeman Mbowe wakutana na kufanya mazungumzo leo Mei 9, 2022

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya mazungumzo tarehe 09 Mei, 2022.
  19. PreGE2025 Job Ndugai: Sitagombea tena ubunge 2025!

    Job Ndugai aliyekuwa spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania amesema kuwa hatogombea tena nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kongwa Dodoma. Ndugai ameyasema hayo jana katika Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mpwapwa wakati wa ibada ya kuweka wakfu gari ya Pareshi ya Mtakatifu Michael...
  20. Profesa Shivji: Wasomi wanaogopa kukosoa Serikali ili wapate teuzi. Hawana msaada tena kwa jamii ya Watanzania

    Wasomi wapo kwa ajili ya matumbo yao tu. Hawana msaada wa kitaaluma kwa taifa letu tena. Hawakosoi kwa manufaa ya umma -- Mwanazuoni mkongwe nchini, Profesa Issa Shivji amesema sehemu kubwa ya wasomi nchini wameshindwa kulisaidia Taifa kwa kutoa ushauri unaofaa huku wakisubiri kuteuliwa kwenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…