tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    Nijulishe, baada ya dramacool kufunga site zao, wapi tena naweza kudownload koreandrama for free?

    Msaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
  2. Waziri Mkuu wa Israel aruhusu tena misaada kupelekwa Gaza

    Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni. Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
  3. Huu sio uchochezi wa kidini wa wazi kabisa tena wa kiwango cha juu kabisa?

    Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa. Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
  4. Wahouthi wadai kufyatua makombora mawili kuelekea Israel.

    Houthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wamesema wamefyatua makombora mawili ya masafa marefu (ballistic missiles) kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion usiku wa kuamkia leo. Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema kombora moja la masafa marefu lililolengwa kuelekea Israel liliingiliwa kati...
  5. Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
  6. Mzee Kaguta Museveni akiwa na miaka 80 anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026

    Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni. Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu. Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda...
  7. P

    Msaada wa Kitaalamu

    Habari! DVD yangu moja imegoma kusoma/haisomi. Nifanye nini kuisoma tena?
  8. Magaidi wa Houth warusha kombola Israel tena!

    Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
  9. Q

    Msaliti ni msaliti tu haachi asili, hata wanapoenda wakikosa walichoahidiwa watasalitiana tena

    Wametangaziwa donge la majimbo 30 na m. 200 kila jimbo. Mtiti ni pale watakapoanza kutoana macho kugombea majimbo na mbaya zaidi watakapokosa ubunge na pesa walizoahidiwa ndipo tutakapomjua steringi ni nani. Njaa mbaya sana huwa haifichiki hasa inapokimbilia kichwani, tutaona kila rangi yetu macho.
  10. Wizara ya michezo; Mmetuambia uwanjaa utachezwa final.. Umekamilika asilimia 90+ sasa na hili la Zanzibar tutawaamini tena kweli aisee?

    Haya mambo ya kuingiza siasa mchezoni NGUMU sanasana Hivi majuzi tu tuliona viongozi WA WIZARA ya MICHEZO wakinukuliwa final UTACHEZWA kwa mkapa na wakasisitixa wananchi mnunue.tkt.kwa wingi Sasa tumesikia haya ya kuprlekana ZNZ Wapendwa sasa zile semi za tutachezea kwa mkapa ziko wapi...
  11. Wakomonisti wa JF walijua Trump anafeli hii vita ya makato wakati mwamba yupo Uarabuni anasaini deals tena kwa kuhumizwa

    Nyie muendelee kukubali kuchukuliwa tu vibanda vyenu vya umachinga na wakina jet li🤣
  12. Leo tena na The last Man Tanzania kurithi mikoba ya Roma

    Roma, kasaliti chama Nay wa mitego sasa hivi anasifia ngono. Haya Leo nimewaletea kazi mpya ya mrithi wa Roma tu. MpokeeTanganyika gusa ilo neno Tanganyika
  13. Mashabiki wa Simba SC tafadhali Siku zingine msirudie tena huu Ushamba ambao pia ni Hatari kama Ndege ikiwa Angani na hairuhusiwi

    Hairuhusiwi popote pale Ndege ikiwa Angani Watu (Abiria) kuanza Kucheza Dansi huku wengine Wakiruka Sarakasi katika Viti vyao na wengine wakirandaranda na Vinywaji vyao (Vilevi) kana kwamba Wote wako Baa wakati kumbe wako Futi 65,000 Usawa wa Bahari wakiitafuta Morocco. Na nimeshangaa sana tu...
  14. Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama wala utawala wa haki na sheria tena nchini

    Msameheni msajiri wa vyama ya siasa hajafanya kwa kumaanisha kwa sasa hakuna usalama tena nchini. Kama kungekuwa na utawala wa sheria na haki msajiri angekuwa huru kufanya maamuzi lakini kwa kuunganisha matukio ni wazi kuenguliwa kwa viongozi wa chama kama ilivyo kwenye kuwapa kesi za uhalifu...
  15. Adsense, Admob, Adsterra, Monetag na Medium ads Je Fursa imelala hapa tena?

    Fighters, wanajua kusaka fursa tu je Imani ya digital entrepreneur hasa kwa wale wanaotegemea content creation je still fursa imelala huku maana nahisi kumefifia mno.
  16. Hii jadi sasa hivi haina tena sekta. Zamani macho yalitazama kuanzia juu kuja chini, sasa yanaanzia chini kuja juu.

    Kuna vitu vingi vime conquer mind za wanaume miaka na miaka, moja wapo katika historia hio imekuwa issue ya makalio makubwa ya mwanamke. "THE BOOTY TAKE OVER"
  17. Ni hatua zipi za kufata ili namba ya NIDA iliyofungiwa iwe accessible tena.

    Je kwa zile namba ambazo Bashungwa amezizuia kutokana na kutochukua vitambulisho ni Nini Cha kufanya ili ziwe active tena.
  18. Vinara wa G55 wote wameshanufaika na CHADEMA. Hawana ndoto tena wala cha kupoteza

    Kwanza nikiri kuwa mimi nawafahamu vinara wote kwa uzuri, ubaya, madhaifu na skendo zao n.k. Kwa muda mrefu tangu 2017 niliandika humu kuwa Mh Mbowe amezungukwa na watu wasiokuwa na akili, wezi na wabinafsi. Waliokuwa wananifuatilia watakumbuka na niliwataja kwa majina mara zote Kinachoendelea...
  19. Freeman Mbowe kamwe usidhani kuwa wenye Akili Tanzania wamepungua au hawapo tena kabisa, bali jua ya kwamba wengine tupo na tumejaa tele tu

    Yote haya yanayoendelea sasa CHADEMA (hasa waliokuwa Viongozi Waandamizi na wale wa Kundi la G55) yana BARAKA zako kwa 100% na URATIBU wako kwa Kusaidiwa na Watu ambao WAMEKUTESA mno kwa Wao kukutumia na sasa KIMKAKATI zaidi umemua tena kuwa Kwao na wanakutumia katika hili. Freeman Mbowe wenye...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…