TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.
Tumezoea kusikia Vijembe kila kukicha kutoka kwa Madam president.
Na vijembe hivi hu vidirect kwa watu wanaokosoa na kusema uongozi wake..
Najiuliza Je na la gwajima atajibu mipasho tena?
Baada ya Magaidi wa Hezbollah kulemazwa na majeshi ya Israel sasa hivi IDF inajipigia tu popote inapotaka bila hata upinzani wowote!!
Magaidi wa Hezbollah kabla ya Oct 07,2023 walikuwa wakisifiwa na kurambwa miguu na wengi ambao kwa ujinga wao hawakujua nguvu ya Jeshi la Israel. Baada ya...
Wengine wanasema "mawinga wanasaidia wateja wasiojua pa kwenda." Ndio upewe msaada kwa kuumizwa kiasi hiki ? Unapigwa block huwezi kununua bila wao na faida yao wanayoongeza ni kubwa sana, Huu sio msaada ni UHUNI !!
Kariakoo siyo tena Kariakoo ya zamani! Huko sasa ni uwanja wa mawinga...
bei
biashara
dukani
fisi
kariakoo
kauli
kichefuchefu
kuliko
kupata
kwenda
maana
macho
maduka
mali
mchina
sababu
sadaka
soko
tamaa
tena
tuna
unafuu
uwanja
wachina
wateja
wenye
wenyewe
winga
Pamoja na kwamba nilishalisema hili kitambo sana kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF msimu huu, siku hizi chache nilikaa kimya kuhusu hili ili kwanza nijihakikishie baadhi ya mambo.
Nimerudi tena nikiwa nina uhakika wa 100% kuwa Simba inaenda kuwa bingwa wa CAF Shirikisho msimu wa 2024-25...
Binafsi nimeshaandika mara kadhaa umuhimu wa kufufua kiwanda cha general tire Arusha kutokana na umuhimu wake kiuchumi. Sasa naona Makonda ameamua kupambana kufufua hichi kiwanda.
Sitaki kuamini kuwa itakuwa jambo rahisi ila naamini penye nia pana njia. Pambana Makonda, hata hili unaliweza.
Jamaa anapenda kudhalilisha sana marais wa mataifa madogo! Ila yale makubwa huwa na heshima sana!
Wednesday 21 May 2025 20:56, UK
https://news.sky.com/story/trump-ambushes-south-african-president-by-playing-video-alleging-genocide-in-south-africa-13372206
Wednesday 21 May 2025 20:45, UK...
.CHAUMMA INA UMA.
Kuna baadhi ya wanasiasa wanajidanganya na wengine kudanganywa kuwa CHAUMMA inaweza kuwa tishio kwa chama tawala leo au kesho, hii naomba wasahau kabisa.
Kwa taarifa tu, Vyama vyote vilivyoanzishwa kama matokeo ya migogoro havijawahi kufanya vizuri popote duniani tujiulize...
Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa..
Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka.
Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja...
Naomba ushauri niende au nikaushe
NIANZE kushukuru Mungu
Allah swbaahannah watalla
Mjaza Neema
Ndogondogo na KUBWA
Ndefu na fupi
Nene na nyembambaaaaa
NIMEONA mda huu viongozi WA TFF na BODI mtakuwa mmeshaongia OFISIN kama hamna emergency yoyote kama magonjwa wagonjwa ama misiba ya karibu
NDUGU ZANGU mgutthooo na karia na...
Msaada tafadhali, nahitaji kucheki series za kikorea ila ndio hivyo tangu dramacool waamue kushut down site zao zote, nimekosa mbadala. Nipeni mautundu niburudike....
Netanyahu aidhinisha kurejeshwa mara moja kwa misaada ya kibinadamu huko Gaza
Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu ameidhinisha kurejeshwa mara moja kwa msaada wa kibinadamu huko Gaza wakati wa mkutano wa baraza la mawaziri la usalama mapema leo jioni.
Katika taarifa ya kuthibitisha uamuzi huo...
Mimi huwa sio muumini sana wa yanayoitwa makosa ya uchochezi lakini huyu sheikh ni dhahiri anachochea chuki ya wazi kabisa.
Itashangaza kama vyombo vya dola havitashughulika naye kisheria mtu kama huyu.
Houthi wa Yemen wanaoungwa mkono na Iran wamesema wamefyatua makombora mawili ya masafa marefu (ballistic missiles) kuelekea Uwanja wa Ndege wa Ben Gurion usiku wa kuamkia leo.
Jeshi la Ulinzi la Israel (IDF) limesema kombora moja la masafa marefu lililolengwa kuelekea Israel liliingiliwa kati...
Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka.
Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
Waganda huwaambii kitu kuhusu Mzee Yoweri Kaguta Museveni.
Na mzee baada ya kuina hilo anataka apewe mitano tena hapo mwakani 2026 kwenye Uchaguzi Mkuu.
Mzee atakuwa na miaka 81 na hali ya afya yake inazido kudorora, huku mrithi wake akionekana ni Jenerali Muhoozi Kainerugaba ambaye Waganda...
Magaidi wa Houthi wanaendelea kuchezea shurubu za SIMBA kwa kurusha kombola la Balistic nchini Israel na limepopolewa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Israel.
Wametangaziwa donge la majimbo 30 na m. 200 kila jimbo. Mtiti ni pale watakapoanza kutoana macho kugombea majimbo na mbaya zaidi watakapokosa ubunge na pesa walizoahidiwa ndipo tutakapomjua steringi ni nani. Njaa mbaya sana huwa haifichiki hasa inapokimbilia kichwani, tutaona kila rangi yetu macho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.