Wewe ni Mfugaji Lakini huwa unasahau Chanjo na Inakusababisha Kuchanja baada ya Ugonjwa Kuingia ,Fuga App inakusaidia kukumbuka Chanjo zako Zote na itakutumia SMS kukumbusha Siku moja kabla na Siku ya Chanjo, Kuku wako wasiumwe tena kwa kusahau kuchanja
Pakua Fuga App Kutoka Playstore Ufurahie...