tena

TENA is a Swedish-based brand of Essity that specializes in products for adults with urinary or fecal incontinence, such as pads and diapers. TENA also produces a youth diaper brand for teenagers and larger children. The company has offices in all of North America, most of Europe, in Australia and New Zealand, and some parts of Asia and Central America. TENA has specific lines for retail and health care. They can be found at grocery, drug and discount stores, in aisles where other bladder control products are sold.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashindwa Tanzania!

    Tulia Ackson hatakiwi tena kuongoza IPU wakati kashidwa Tanzania! https://www.ipu.org/about-ipu/structure-and-governance/president Tuandike barua atolewe huko na kuacha unafiki
  2. Mr Kipara

    JamiiForums Tanzania Baada ya October 29 tusitarajie Nchi kuwa Sawa tena.

    Naandika huku nikiwa na huzuni kubwa kwa Taifa letu kupoteza nguvu kazi kubwa (vijana), inakadiriwa zaidi ya vijana elfu 20+ waliuawa kwenye kile kilichoitwa Uchaguzi. Itakuwa nikujidanganya kwa kudhani mambo ni shwari kama ilivyokuwa kabla ya hicho kilichoitwa Uchaguzi, ukweli nikwamba Taifa...
  3. sizzya007

    JamiiForums Tanzania “Mungu Ibariki Afrika” haifai tena kuwa Wimbo wa Taifa la Tanzania 🇹🇿 (na Afrika kwa ujumla)

    “Mungu Ibariki Afrika” ilitungwa kama wimbo wa matumaini. Wito wa umoja, amani, na hekima miongoni mwa Waafrika waliokuwa wakipigania ukombozi. Lakini leo, zaidi ya nusu karne baadaye, maneno hayo hayana uhalisia katika bara letu. Tunaimba “Hekima, Umoja na Amani” huku viongozi wetu wakiongoza...
  4. M

    JamiiForums Tanzania ushindi wa vita ya Kagera hauna thamani tena kama ni kweli waganda tuliowahi kuwapiga vitani na wenye visasi walipewa nafasi kumwaga damu

    ni kosa kubwa sana kumleta adui uliewahi kumtwanga aje kusimamia ulinzi hata kwa siku 1 tu, Ni kosa kubwa sana.
  5. K

    JamiiForums Tanzania Makosa kwa CCM-Mama Samia: Wapinzani sasa ni Mamilioni ya Wananchi na sio vyama tena!

    Makosa kwa CCM-Mama Samia: Wapinzani sasa ni Mamilioni ya Wananchi na sio vyama tena! Yaani walivyo wazito kuelewa bado wanahangaika kuwashika Heche na Lissu bila kujua kwamba wamesha chelewa tena sana. Elimu tayari imeingia Wananchi wa kawaida kuhusu HAKI na bahati mbaya uzembe wa serikali...
  6. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Rekodi zinaonyesha Spika atakuwa mpya sio tena Dr. Tulia

    Tangu alipoingia hayati Samwel Sitta kushika Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kila Spika alishika kwa term moja tu. Sitta 2005 - 2010 Makinda 2010-2015 Ndugai 2015-2021 Tulia 2021 - ?? Kwa rekodi hizo hapo juu, nikiwa natembea kifua mbele huku nikibubujikwa na machozi...
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Sikujui wala haunijui ila popote ulipo embrace na kuwakumbatia very passionate tena kwa nguvu wana familia wako.

    Uhai ni zawadi, pumzi ni ya kuazima, ipo siku tuitarudisha. WISH U THE BEST GUYS🕊️🕊️🕊️
  8. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Nimeacha rasmi kusikiliza radio station za Tanzania, sitasikiliza tena radio za Tanzania

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kwa siku tano mfulilizo watanzania wakiuwawa kwa kupigwa risasi na Abdul na mama yake Samia lakin hakuna hata radio station moja iliyosema wala kutangaza Nchi ilikuwa gizani zaid ya Burundi Mtangazaji mwenzao kafariki kwa kupigwa risasi...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Umekuaje tena?

    Mbona TikTok haifunguki tena? na Facebook pia bado hawajaridhika?
  10. A

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hivi ili tukio kama hili lisitoke Tena ni vizuri tuondoe chanzo

    Kumekuwa na taarifa mbalimbali juu ya chanzo cha maandamano na vurugu zilizotokea. Wengine walio serikalini wakiwashutumu wahuni na watu wa nje kuwa ndio chanzo. Na wale walioandamana wanaona kwamba labda serikali na baadhi ya wanasiasa walio madarakani na nje ya madaraka kama ndio chanzo cha...
  11. technically

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuanzia Sasa hakuna tena dharau kwa Watanzania

    Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa . Iwe kwenye huduma au siasa au chochote. Kuanzia Leo uchawa utakoma Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua. Hakutakuwa na utekaji tena Wala watu kuuawa ovyo tena. Tanzania itapitia mabadiliko makubwa ambayo...
  12. sumu-ya-panya

    JamiiForums Tanzania Umelaaniwa Kwa Kuuza nafsi za ndugu yako

    Ile pesa uliyopokea kwenda shangilia CCM na kujaza idadi nikukumbushe ile 5000, na 10000 ndio imeruhusu ardhi inywe damu za ndugu zako,ardhi na mbingu zimeshuhudia ,umekubali kuvaa kijani , na uifunike uchi wa ardhi kwa damu za ndugu zako ,UMELAANIWA,,,,UMELAANIWA ,,,,UMELAANIWA....kwa kafara...
  13. M

    JamiiForums Tanzania She started it all, Hakuna hoja ya kuvunja katiba tena.

    Tanzania haina kiongozi Mkuu wa Nchi tena, Ni kundi la watu wachache waliokimbilia Dodoma na kufungia mkoa mzima, wakaamua kuchagua Tarehe 29 kupora Madaraka ya Nchi ya wananchi. Ni wazi shairi Samia, Nchimbi na Kamati kuu ya CCM iliyojificha Dodoma, imetangaza Uasi na uvunjifu mkubwa wa...
  14. Dimitri Medvedev

    JamiiForums Tanzania I had a second dream, nimeota tena tukichelewa tunaweza kuchukua miaka kuliponya Taifa

    Ni asubuhi tena iliojaa ndoto mithili ya uhalisia sijui kama naota au nilichokuwa naona ni uhalisia wa tukio bado najiuliza hadi asubuhi hii ya leo nimeota tena kuna kundi la watu vijana kwa wazee wa makamo wakiwa kwenye harakati nzito kana kwamba ni vurugu zilizo anza watu hawa hawasikii...
  15. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania CCM Wakubali Ukweli... Nchi haitawaliki tena

    Kama pamoja na nguvu kubwa inayotumika kuwatisha wananchi bado wananchi wanatoka kila kukicha maana yake ni kuwa risasi hazijawavunja mioyo. Nakumbuka maneno ya mwandamanaji mmoja miaka ile kule Morogoro.. "Polisi wanajifunza kuua na sisi tunajifunza kufa". Watanzania sasa wamehitimu...
  16. C

    JamiiForums Tanzania Imetosha: Chama Tawala, CCM, haking'ati tena (Mwisho Panya amepata ujasiri kumvisha Paka Kengele)

    Pamoja na madudu ya wazi na unyanyasaji ambao umekuwa sehemu kubwa ya legacy ya CCM, wamejificha kwenye kichaka cha kuwa chama kilichoikomboa nchi na historia ya Mwalimu Hayati Julius Kambarage Nyerere kunufaisha wachache na kutumia nguvu kutisha wananchi na rushwa kununua wasanii wakubwa ili...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania GE2025 Je, Maandamano yamefeli mpaka sasa? Barabara nyeupe, mikwara yote kwisha

  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais wa Cameroon Paul ameshinda tena urais kwa awamu ya nane

    Rais wa Cameroon, Paul Biya mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni mkuu wa nchi mzee zaidi duniani, ameshinda tena uchaguzi wa urais kwa muhula wa nane, kwa mujibu wa matokeo rasmi yaliyotangazwa leo Oktoba 27, 2025 na Baraza la Katiba Soma pia Rais Paul Biya anaongoza kwa 53% Matokeo ya awali...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jumuiya ya wanataaluma wa chuo kikuu cha Dar es salaam (UDASA) watoa tamko kali hali ya kiusalama nchini wagusia Utekaji

    Hii ndio inavyotakiwa sasa, licha mmekaa sana kimya inawezekana mmesukumwa kusema. Ila sio mbaya walau nanyi mmesema hali ilivyo nchi. ============ Ndugu, Watanzania Wote, Mabibi na Mabwana, UDASA ni Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Kama sehemu ya watanzania na...
Back
Top Bottom