temeke

Temeke District is a district in southern Dar es Salaam, Tanzania, with Kinondoni to the far north of the city, and Ilala in the downtown of Dar es Salaam. To the east is the Indian Ocean and to the south and west is the coastal region of Tanzania. The 2002 Tanzania National Census reported that the population of Temeke District was 768,451. The area is 786.5 km².

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Asante Mambosasa na RC wa Dar kwa juhudi zenu za Ulinzi; bado Temeke, Ilala na Ubungo

    Wilaya hizo ulinzi wake umelala sana. Watu wanataka nusu usingizi huku wakijilinda kea wasiwasi. Ifike kipindi wezi wawe wanaiba vitu ambavyo wenyewe hawaviihitaji. Letengenezeni Mazingira muwasaidie wananchi. Matukio ya wizi ni mengi mno. Tembeleeni vituo vya polisi mujionee orodha ya wizi...
  2. JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu awatumbua Mkurugenzi wa Temeke (Mwakabibi) na Mkurugenzi wa Sumbawanga (Msemakweli)

    Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewasimamisha kazi Wakurugenzi wawili. Wa kwanza ni Nyangi Msemakweli wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga. Huyu katumbuliwa kwa ubadhirifu wake na usimamizi mbovu wa miradi ya Maendeleo pia alikuwa hana maelewano na...
  3. JamiiForums Tanzania Kesi ya Ubakaji Temeke: Mtoto atoa ushahidi jinsi Ostadhi Shabani alivyomuingizia dudu la kukojolea kwenye bibi yake

    MWANAFUNZI wa Darasa la tatu mwenye umri wa miaka tisa( jina linahifadhiwa), amedai amekuwa akibakwa na mwalimu wa madrasa mara nyingi baada ya mafunzo ya dini. Amedai amekuwa akiingizwa dudu lake la kukojolea kwenye uchi wake wa kukojolea (kwa bibi) na mwalimu huyo kisha anampatia biskuti ili...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan, geuka nyuma uone anachofanya DED wa Temeke, aibu!

    Enyi wana wema mliojirani na Rais Samia Suluhu Hassan mstueni bega ageuke nyuma aone kwa macho yake mawili, asikie kwa masikio yake mawili then atumie ile rula ya kupima mabega ya wateule alivyoahidi. Mkurugenzi huyu amelewa chakari fedha za umma kana kwamba TAKUKURU wako likizo au wanamuogopa...
  5. JamiiForums Tanzania Wizara ya habari kuchunguza tukio la DED wa Temeke kuwaweka chini ya ulinzi waandishi kwa kufika kwenye kikao chake bila mwaliko

    Wanahabari Christopher James wa ITV&RADIO ONE na Dickson Billikwija wa Island TV waliwekwa chini ya ulinzi kwa saa 3 kwa maagizo ya Mkurugenzi Manispaa ya Temeke Lusabilo Mwakabibi, baada ya wanahabari hao kufika kwenye kikao cha wafanyabiashara wa soko la Mbagala Rangi Tatu na Mkurugenzi huyo...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Temeke, Mwakabibi awasweka ndani waandishi wa habari ili wasihudhurie kikao chake na wafanyabiashara

    Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, Dkt. Mwakibibi leo aliwaweka chini ya ulinzi waandishi wa habari waliofika ofisini kwake kuripoti yanayojiri katika kikao cha mkurugenzi huyo na wafanyabiashara. Waandishi hao walifika ili kupata ukweli wa madai ya wafamyabiashara hao kwamba Dkt. Mwakibibi...
  7. JamiiForums Tanzania Meya wa Temeke aomba Temeke iwe jiji

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Temeke Mhe Abdallah Mtinika amemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kuipa hadhi ya kuwa Jiji Manispaa ya Temeke. Mstahiki Meya ametoa ombi hilo leo mbele ya vyombo vya habari wakati wa baraza la Madiwani lililoketi kikao cha robo ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Lusubilo Mwakibibi, Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, huyu ni adui namba moja wa demokrasia nchini

    lusubilo Mwakibibi, Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke, huyu ni adui namba moja wa demokrasia nchini. Ameshiriki katika matukio mengi sana ya kuchezea uchaguzi na anaweza kuitwa mchochezi, mhaini anayetaka kuvuruga amani ya nchi yetu kwasababu ya kujipendekeza na kutumika na Chama tawala...
  9. JamiiForums Tanzania Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  10. JamiiForums Tanzania DC wa Temeke, Godwin Gondwe hayuko sahihi katika kufukuza wanafunzi, watu wa haki za watoto na Haki Elimu nategemea sauti yenu katika hili

    Gazeti la Mwananchi liliripoti kuwa shida ya Shule ya Msingi Toangoma ni uchache wa madrasa na wingi wa wanafunzi ambao automatically inakuwa ngumu kwa walimu kudhibiti tabia za wanafunzi. Since tatizo ni wingi wa wanafunzi kwa upande mmoja ambapo, mwanafunzi sio mkosaji in the first place...
  11. JamiiForums Tanzania Kufika 2030 miji hii itakuwa mikubwa na iliyopangwa vizuri sana

    1. Kigamboni: kuna kampuni nyingi sana zinapima na kuuza viwanja huko, ukiona ramani zao ni za kuvutia na kupangika vizuri tofauti na DSM. 2. Bagamoyo na Kibaha Pwani: hii kuna upimaji mkubwa na uuzaji wa haraka na bei ni chee kuliko Kigamboni, kwa sasa upimaji bado kidogo ufike mji mdogo wa...
  12. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki, barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana

    Tetesi za Raisi Magufuli kutembelea Temeke zazua taharuki barabara zaanza kutengenezwa usiku na mchana nyingi zilikuwa mbovu na midimbwi kibao nimepita leo Tandika nikashangaa nikaambiwa kuna tetesi Rais atatembelea Temeke. Watendaji ofisini hawaonekani wanashinda site kusimamia kazi. Raisi...
  13. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Temeke, chunguza kampuni ya Wachina inayojenga Mtaro Mkubwa wa Maji ya mvua

    Nimekuona ukipambana na Wachina wanaojenga barabara ya Mwendokasi huko Mbagala , sasa Wachina wale wa Mwendokasi wana nafuu mno kuliko hawa wanaojenga mtaro wa maji ya mvua kuanzia kule kwenye kiwanda cha bia cha Serengeti, haifahamiki walipataje kazi kubwa hivi kwa viwango vyao duni...
  14. JamiiForums Tanzania Nimevuna nazi takriban 8000, natafuta madalali wa nazi soko la Ilala na Temeke Stereo

    Wakuu naomba mwenye contacts za madalali wa nazi katika soko la ILALA na Temeke stereo. Asanteni sana Hello wakuu, nina shamba la minazi huku Kilwa nimevuna takribani nazi 8000, kama kuna dalali ambaye yupo serious tuwasiliane ili tuweze fanya biashara. Thanks
  15. JamiiForums Tanzania Kama bado haujatoboa kimaisha epuka kuishi Temeke au Kigamboni

    Habari wadau..! Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo. Facts 1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo. 2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulani asitoboe 3.Wizi wa kurudishana nyuma...
  16. JamiiForums Tanzania Madiwani wa Temeke: Mkurugenzi alitumia ubabe kununua gari la milioni zaidi ya 400

    Kauli ya Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa, kuzitaka Halmashauri zilizonunua mashangingi ya bei mbaya mkoani Mwanza, kujieleza, imeendelea kuungwa mkono. Baadhi ya madiwani wa Manispaa ya Temeke Jijini Dar es Salaam, wameibua madai mazito wakidai sheria ya manunuzi ya umma haikuzingatiwa...
  17. JamiiForums Tanzania Yule Mkurugenzi wa Temeke aliyemtolea maneno ya kuudhi Mwandishi wa Habari aliyetaka kupata ufafanuzi dhidi ya mgogoro wa ardhi mbona hawajibishwi?

    Sina mengi lakini suala la utawala bora nchi hii bado sana. Hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa Manispaa ya Temeke alitoa maneno ya kuudhi dhidi ya Mwandishi wa Habari wa Kituo cha Television cha ITV, Shaka lililotafsiriwa kama ukiukwaji mkubwa wa maadili kwa kiongozi Huyo wa Umma. Lakini pia...
  18. A

    JamiiForums Tanzania Wito: Waziri Jafo tumeona maelekezo ya Geita na Mpanda ni maamuzi mazuri, Temeke je?

    Kupitia vyombo vya habari kwa siku za hivi karibuni tumeona Mh Jafo akimsimamisha Mkurugenzi wa Geita kupisha uchunguzi na pia ametoa maelekezo kama hayo kwa Halmashauri ya Mpanda. Lakini Mh. Jafo watu wengi wanajiuliza kuna lile Gari la Mkurugenzi wa Temeke ambalo limenunuliwa 400M mwaka...
  19. J

    JamiiForums Tanzania DC Godwin Gondwe awaomba radhi waandishi wa habari kufuatia DED wa Temeke kumkemea Richard wa ITV

    Mkuu wa wilaya ya Temeke mh Godwin Gondwe amesimamisha ujenzi wa Shule ya Lumo hadi pale kesi iliyopo mahakamani itakapotolewa maamuzi. Kiwanja cha Shule hiyo kina mgogoro kati ya Wananchi wa eneo hilo na Manispaa ya Temeke. Kadhalika Godwin Gondwe amewaomba radhi waandishi wa habari kote...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke aache kutisha na kufedhehesha Waandishi wa Habari

    Jana wakati nafuatilia taarifa ya habari ITV saa mbili usiku niliona mgogoro ulipo katika kiwanja mojawapo kilichopo Yombo wilaya ya Temeke lakini wakati mwandishi wa habari anatafuta ukweli wa jambo hilo alipojaribu kumpigia simu Mkurugenzi wa Manispaa ya Temeke ajulikanaye kwa jina la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…