Kama bado haujatoboa kimaisha epuka kuishi Temeke au Kigamboni

TheDreamer Thebeliever

JF-Expert Member
Feb 26, 2018
2,490
3,534
Habari wadau..!
Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo.
Facts
1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo.

2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulani asitoboe

3.Wizi wa kurudishana nyuma kimaendeleo n.k.
4.Temeke na Kigamboni mzunguko wa biashara upo chini sana nz wanao ishi wengi ni low income.

Ila km unataka kuja Dar na hauna pakufikia nenda kafikie Temeke- Mbagala utanikumbuka

Tujadili.

😂😂😂😂
 
2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulank asitoboe

Tujadili,uzi teyari hapa.Matusi ruksa ila sio ya nguoni.

Hata kama unaishi magogoni kama huna connection utasugua sana gaga au nasema uongo ndugu zangu ?
 
Habari wadau..!
Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo.
Facts
1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo.
2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulank asitoboe

3.Wizi wa kurudishana nyuma kimaendeleo n.k.
Tujadili,uzi teyari hapa.Matusi ruksa ila sio ya nguoni.

😂😂😂😂
Kigamboni ni uswahilini mno mno. Vijana wanafikiria kutongozana na kujamiina asubuhi mpaka jioni. Na mbaya zaidi wanazungukana. Utasikia mke wa fulani katembea na mume wa fulani, kesho wameachana, keshokutwa wamerudiana. Wanaendekeza sana ngono. Kuoa mwanamke aliyekulia Kigamboni na mwenye mindset za Kigamboni ni kujitatufita ufukara.
 
Hapa anazungumzia asilimia kubwa ya wakazi wa ile sehemu. Kwa mfano mtoto wa Kike anayekulia Kigamboni na Mikocheni ni tofauti mno.
Uko sahihi wa kike wa kigamboni anajua kupika vyakula vyote wa mikocheni hujui kupokea ni kula vyakula cha house girl na out mlimsni city nk

Pili wa kigamboni aweza ishi na watu wengi wa mikocheni ni mtoto wa Geri kila kutwa kuchexa game ndani n.a. kuchezea simu tu

Wa mikocheni uwezo wa kujitegenea zero wa kigamboni aweza pika maandazi vitumbua supu nk akiuza bila s

hida

Pia kwenye mapenzi mtoto wa kike wa mikocheni yuko zero wa kigamboni utamkoma sababu kafunzwa kwenye ngoma

Wa kigamboni aweza ishi popote bila shida wa mikocheni hata akipangiwa ukuu wa wilaya mafia aweza kataa kwenda anakuona sio hadhi yake
 
Habari wadau..!
Huu ni ukweli mtupu wengi watabisha najua.Epuka kuishi maeneo tajwa hapo.
Facts
1.Michongo mingi ipo Ilala,Kino kidogo sana Ubungo.

2.Hizi wilaya kuna uswahili sana mambo ya ajabu ajabu ,mixer ushirikina kulogana ili mtoto wa fulani asitoboe

3.Wizi wa kurudishana nyuma kimaendeleo n.k.
4.Temeke na Kigamboni mzunguko wa biashara upo chini sana nz wanao ishi wengi ni low income.

Ila km unataka kuja Dar na hauna pakufikia nenda kafikie Temeke- Mbagala utanikumbuka

Tujadili.

😂😂😂😂
Acha dharau umbwa wee
 
Uko sahihi wa kike wa kigamboni anajua kupika vyakula vyote wa mikocheni hujui kupokea ni kula vyakula cha house girl na out mlimsni city nk

Pili wa kigamboni aweza ishi na watu wengi wa mikocheni ni mtoto wa Geri kila kutwa kuchexa game ndani n.a. kuchezea simu tu

Wa mikocheni uwezo wa kujitegenea zero wa kigamboni aweza pika maandazi vitumbua supu nk akiuza bila s

hida

Pia kwenye mapenzi mtoto wa kike wa mikocheni yuko zero wa kigamboni utamkoma sababu kafunzwa kwenye ngoma

Wa kigamboni aweza dini popote bila shida wa mikocheni hata akipangiwa ukuu wa wilaya mafia aweza kataa kwenda anakuona sio hadhi yake
Aaaaah weee hapo kwenye ukuu wa wilaya tuache kidogo
 
Sasa mbona umaskini ndiyo umetamalaki huko kwa wenye hizo sifa? Ni ile ile dhana ya kufikiria nayekula ugali ana nguvu kuliko anayekula ubwabwa.
 
Uko sahihi wa kike wa kigamboni anajua kupika vyakula vyote wa mikocheni hujui kupokea ni kula vyakula cha house girl na out mlimsni city nk

Pili wa kigamboni aweza ishi na watu wengi wa mikocheni ni mtoto wa Geri kila kutwa kuchexa game ndani n.a. kuchezea simu tu

Wa mikocheni uwezo wa kujitegenea zero wa kigamboni aweza pika maandazi vitumbua supu nk akiuza bila s

hida

Pia kwenye mapenzi mtoto wa kike wa mikocheni yuko zero wa kigamboni utamkoma sababu kafunzwa kwenye ngoma

Wa kigamboni aweza dini popote bila shida wa mikocheni hata akipangiwa ukuu wa wilaya mafia aweza kataa kwenda anakuona sio hadhi yake

Mifano yako yote ni duni sana, ni typical uswazi... mara kupika sijui kuishi na watu wengi sijui maandazi sijui kufanya ngono!

Hayo yote ni lipi la maana?
 
Kwa sasa kote kugumu siyo kino siyo mbagala siyo ubungo siyo tabata, siyo ilala kote wimbo mmoja tu
Nitaishi popote kulingana na upepo uvumao
 
Back
Top Bottom