KARAGOSI KALEWA TEMBO
Naona kama jana vile.
Hata shule ya msingi bado.
Eid imefika na watoto wa mtaa mzima mchana baada ya kupiga pilau tunavishwa nguo zetu tayari kwa safari ya Mnazi Mmoja kwenye mapembea na karagosi.
Kote tutapita kwenye vibanda lakini banda letu lililokuwa likitufurahisha...