Naomba kujua teknolojia ya Encyption imekaaje?

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,344
1,012
Wakuu Nawasalimu,

Hiii teknolojia ya encyption huwa inanipa maswali mengi san. Kuna teknolojia mabalimbali kama MD5 na SHA-256 ambazo unaweza kutengeneza keys mbili.

Moja ni private key ambayo unakuwa nayo mwenyewe na nyingine ni public key. How comes siwezi kupata private key kutoka kwenye public key?

Hii encyption ya public key (hash) hakuna njia ya kuifanyia reverse engineering nikapata private key.

Kila mwanasayansi wa computer ninayeongea naye ananiambia this will need a quantum computer.

Kwa sasa IBM wana facility yao kwenye cloud ya quantum computing. Wajuzi tafadhali tupeane mawazo.
 
Theoretically speaking unaweza pata private kutoka kwa public keys kwa ku reverse algorithms zake ( super complex math relationship/formula ) ie : RSA, ECC au DSA,

practically speaking, sahau

njia ya 2, kidogo yeye matumaini kwa mbaaaaali, ni bruce force attack,

hapa ni mwendo wa 'trial and error' ,

kwa 'SHA-256 ', ambayo ni 256 bit key, possible outcomes ni 2^256 , sawa na billions of billions ... of billions of possible keys, hapa ni mpaka uwe na iyo Quantum Computer , maana izi tulizonazo itachukua karne na karne, na isimalize
 
Siku hizi watu pia wanatumia GPU ku accelerate hio brute force, unaweza kuta Gpu moja ina core 1000 ama zaidi,

Mfano kama Unatumia Best Gpu kama Titan X inaweza kucrack hata password milioni 2 kwa sekunde.

Na sababu siku hizi kuna motherboard za bitcoin unaweza zipanga hata titan x 8 ukapata nguvu zaidi.

Kwa hio Titan X kwa password ya charachter 10 kwa hio sha 265 inaweza chukua hata miezi 2.
 
Theoretically speaking unaweza pata private kutoka kwa public keys kwa ku reverse algorithms zake ( super complex math relationship/formula ) ie : RSA, ECC au DSA,

practically speaking, sahau...
Asante sana. Lakini IBM tayari wanayo quantum computer kwenye cloud. Sijajua kama hii ina capacity hiyo.
 
Siku hizi watu pia wanatumia GPU ku accelerate hio brute force, unaweza kuta Gpu moja ina core 1000 ama zaidi,

Mfano kama Unatumia Best Gpu kama Titan X inaweza kucrack hata password milioni 2 kwa sekunde...
Hii motherboard ya bitcoin ndo nimeisikia leo. Ngoja nitaicheki. Otherwise unaweza kunipa links. Na kwa computer generated private key yenye character 64 sidhani kama GPU acceleration inaweza kumudu. Au??
 
Sha variations & md5 ni integrity algorithm ambazo zinagenerate kinachoitwa message digest ambazo ni one way...bruteforce does apply to them...only collision cryptoanalysis apply to those algorithm...
 
Asante. Classical computers zina uwezo wa kufanya collision cryptoanalysis? Ila kweli nimefurahi sana kwamba humu ndani kuna watu vichwa!
 
Asante. Classical computers zina uwezo wa kufanya collision cryptoanalysis? Ila kweli nimefurahi sana kwamba humu ndani kuna watu vichwa!
Umesema brute force apply to them au ulimaanisha DOES NOT APPLY TO THEM?
 
Asante. Classical computers zina uwezo wa kufanya collision cryptoanalysis? Ila kweli nimefurahi sana kwamba humu ndani kuna watu vichwa!
Md5 n SHA-1 probably you can...tatzo linabaki pale pale kua it's a one way digest...so ht ukifanikiwa on collision attack still doesnt guarantee kua the plain text ndio yenyewe...
 
Asante, Kwa hiyo hata quantum computer haina uwezo wa kunipa the right plain text??
 
Aisee kumbe bado sijui mambo ani huku pananizidi umri
Mkuu encryption ni ile hali ya kubadili data kwenda mfumo mwengine ili isiweze kusomwa na mtu ambae hizo data hazimhusu.

Mfano unachat na mchepuko wako bila encryption mitandao ya simu kama voda wanaweza wakaona unachat vipi, ila kunapowekwa hizo encryption kama Md5 ama zilizotajwa hapo juu bila key mtandao wa simu hawawezi kujua.

Kwa njia rahisi tunaweza fanya encryption rahisi tu kwa kubadili Herufi kuwa namba, A iwe moja B iwe 2, C 3 etc

Mfano naandika "Mambo vipi Crusade" itakuwa

13-1-13-2-15 22-9-16-9 3-18-21-19-1-4-5

Mtu akiona hayo manamba manamba hawezi elewa lakini ukimwambia key ni kubadili namba kwenda herufi ataelewa.

Sasa kwenye hizo ecryption kali kama hio sha 265 ambayo 2 kipeo cha 265 ni ma quadrillion ya possibilities hivyo inakuwa ngumu kutafsiri kwa computer ya kawaida hadi uwe na key.
 
Asante chief Mkwawa. Kwa hiyo hata kwenye zama za quantum computing bado jambo hilo haliwezekani?
 
Thanks. Do classical computers have an ability to decrypt a 64 characters (hexadecimal) private key? Na vipi kuhusu IBM cloud quantum computer?
...unapozungumzia public n private key algorithms unazungumzia certficates...so far no cracking attack that i recall that was succesfull against i...it's easy to try methods nyingine probably ukafanikiwa(Hack the machine which created that key pair) kuliko kupoteza muda kuicrack coz it's impossible. Ila I Stand to be corrected..
 
Hii motherboard ya bitcoin ndo nimeisikia leo. Ngoja nitaicheki. Otherwise unaweza kunipa links. Na kwa computer generated private key yenye character 64 sidhani kama GPU acceleration inaweza kumudu. Au??
Charachter 64 parefu sana mkuu,

Kwa lugha ya kitaalamu ni motherboard za mining wanazotumia kuchimba Cryptocurrecy, zinakuwa kama hivi
59124_05_colorfuls-new-mining-motherboard-pcie-x16-slots_full.jpg

Wanaweka slot nyingi za Gpu.

Na Bei za Titan x zimetulia ukinunua 8 jiandae kama milioni 20 hivi.

Na uhakika wa kupata password pia sio 100%.
 
Nakushukuru Gobole na chief Mkwawa. Nimepoteza private key ambayo nimehifadhi pesa kibao yaani napata wazimu.
 
Back
Top Bottom