Ndoa Kama Ilivyo tafsiri yake kuwa muungano wa watu wawili mwanamke na mwanaume waliokubaliana kuishi pamoja wakishirikishana Kila kitu katika nyanja zote Kwa ajili ya ustawi wa maisha yao.
Ili Kufikia hatua hii ya ndoa lazima watu huanzia Kwenye Mahusiano hivyo ni muhimu tukagusa Kuanzia...
Kichwa cha Habari: "Kuendelea Kwa Teknolojia: Mabadiliko Makubwa na Athari Zake"
Teknolojia imekuwa mhimili muhimu katika maendeleo ya kisasa na imeathiri kila nyanja ya maisha yetu. Leo hii, tuko katika wakati ambapo mabadiliko makubwa yanachipuka katika teknolojia, na athari zake zinaonekana...
Utangulizi:
Ufisadi umekuwa tatizo kubwa nchini Tanzania, na umekuwa ukisababisha athari kubwa kwa maendeleo na ustawi wa taifa. Ili kukabiliana na changamoto hii, kuna haja ya kutafuta njia mpya na za ubunifu za kuzuia na kupunguza ufisadi. Moja ya njia muhimu inayoweza kutumika ni matumizi ya...
Teknolojia imekuwa na faida kubwa katika maendeleo ya jamii na uchumi wa dunia nzima. Sasa hivi, teknolojia imeendelea kuboresha maeneo mengi, ikiwa ni pamoja na utawala bora na uwajibikaji katika taasisi za umma.
Katika makala hii, tutajadili jinsi teknolojia inavyoweza kutumika kuboresha...
Tanzania ni moja ya nchi zenye kilimo kikubwa barani Afrika na inachukuwa kama nguzo moja wapo ya uchumi wa nchi.Takribani asilimia 75 ya Watanzania wanajishughulisha na kilimo kinachotegemea mvua.Mazao yanayo limwa nchini ni pamoja na mahindi,mpunga,maharage,nyanya,viazi,mboga mboga matunda...
Watu wengi husema China iko mbali kiteknolojia na mimi pia niliamini hivyo lakini swali la kujiuliza ni kwa nini teknolojia kama ChatGPT haikuvumbuliwa China na badala yake sasa makampuni ya kiteknolojia ya kichina yanapambana kutoa product kama ChatGPT?
Makampuni mengi ya kichina makubwa...
Usalama ni suala muhimu sana katika maendeleo ya nchi yoyote, na Tanzania sio tofauti. Katika juhudi za kuboresha usalama na kulinda raia wake, serikali ya Tanzania inaweza kutumia vifaa vya usalama, teknolojia ya usalama barabarani, na polisi kwa njia yenye ufanisi.
Kwanza, Kuanzishwa kwa...
Nimesoma, na nimeisikiliza kwa umakini hotuba ya Wizara ya Elimu,Sayansi na teknolojia,sijasikia wala sijaona kipengele kilichozungumzia kinagaubaga maaendeleo ya sayansi na teknolojia nchini,na katika kudadavua mchanganuo wa bajeti waziri ameorodhesha mgawanyo wa bajeti hiyo lakini sijaona...
Mheshimiwa Spika, kufuatia taarifa iliyowasilishwa humu Bungeni na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, ninaomba kutoa hoja kwamba Bunge lako Tukufu likubali kupokea na kujadili Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango na Bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
MBUNGE CONDENSTER SICHALWE AISHAURI SERIKALI KUANZISHA WIZARA MPYA "WIZARA YA TEKNOLOJIA"
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Technologia ya Habari ameishukuru Serikali kwa kujenga Minara...
Mmiliki wa Mtandao wa Twitter, Elon Musk kupitia ukurasa wake wa Twitter ametoa taarifa kwa watumiaji wa mtandao huo kuwa, watumiaji waliothibitishwa na alama ya Twitter Blue (Twitter Blue Verified subscribers) sasa wanaweza kupakia video za saa 2 (8GB).
Utawala bora na uwajibikaji ni mambo muhimu sana katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii ya nchi yetu. Hata hivyo, katika enzi hii ya teknolojia ya habari na mawasiliano, changamoto mpya zimeibuka katika suala la utawala bora na uwajibikaji.
Kwa hiyo, ni muhimu kuchukua hatua za haraka za...
Teknolojia na Uwajibikaji katika Utawala Bora
Katika karne ya 21, teknolojia imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha yetu ya kila siku. Kwa sababu hiyo, teknolojia ina jukumu kubwa katika kuboresha utawala bora na uwajibikaji. Kwa kutumia teknolojia, serikali na taasisi za umma zinaweza kuongeza...
Leo nilikua naangalia Rais wa Uturuki akizindua ndege mpya ya vita yenye teknolojia ya kisasa!
Nikajiuliza..
Mbona huku kwetu tunasikia rais anazindua jengo mara kituo cha afya mara mradi wa maji mbona sijawahi sikia rais anazindua teknolojia mpya?
Au sisi hatuna watafiti/wanasayansi? Je...
I. Utangulizi
Sekta ya teknolojia ina jukumu muhimu katika maendeleo ya Tanzania, ikiwa ni pamoja na kuchochea ukuaji wa uchumi, kuongeza ajira, kuchochea maendeleo na kuboresha huduma za umma. Hata hivyo, kuna changamoto kadhaa ambazo zinakabili sekta hii nchini. Katika andiko hili, nitaelezea...
MBUNGE ESTHER MALLEKO AWASILISHA MAOMBI YA TEKNOLOJIA KWENYE KILIMO CHA NDIZI, KILIMANJARO
"Tanzania tunazalisha kahawa tani 80,000 kwa sasa, huko nyuma tulikuwa tunazalisha tani 61,000 za kahawa, tumepiga hatua. Lakini pia fedha za kigeni tunazoziingiza kupitia mauzo ya kahawa ni takriban dola...
Salama waungwana,
Hakuna anayeupenda, kila mtu anauchukia, Kwa kweli sijawahi kuona hata mtu mmoja anayetaka kuwa Maskini. Kila mtu, jamii na taifa hupigana vita ya umaskini Kwa kila namna wawezavyo. Hii ni kusema vita ya umaskini ni vita inayostahili kuitwa vita kuu ya Dunia. Umaskini...
Picha na Nathan Mpangala (MWONGOZO WA UTAWALA BORA)
UTANGULIZI
Utawala ni matumizi ya mamlaka ya kisiasa, kiuchumi au vinginevyo katika kusimamia masuala ya nchi na wananchi kwenye ngazi zote, Utawala bora ni matumizi ya mamlaka ambayo yanakuwa na uwazi, uwajibikaji, ushirikishaji wa watu...
UTANGULIZI.
Jeshi la polisi na uhamiaji ni miongoni mwa vyombo vya dola ambavyo takwimu zinaonesha ndio vinavyoongoza kwa kukiuka maadili ya kazi kwa kujihusisha na vitendo vya rushwa.
Jeshi la polisi kitengo cha usalama barabarani na askari wa doria ndio vinavyoongoza kwa vitendo vya rushwa...
Habari zenu wana JF, Nikiwa nimejawa maumivu na majonzi ya kisa hivi naandika kwa lengo la kuelimisha tu lakini kiukweli hata navyoandika sasa sina raha kabisa nikikumbuka usaliti huu.
Kipindi hicho kwa muda wa takribani miezi mitatu nilikuwa single, Nikaja kuukwaa kwa binti flani age 26 mimi...