teknolojia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Teknolojia mpya ya roboti wa ai kwenye mwc, barcelona

    Upo tayari kujua tunachokuletea leo? TECNO ilitambulisha Dynamic 1, mbwa wa AI roboti, katika MWC pale Barcelona mwaka huu wa 2024 Februari 26. Kwa muundo wake rahisi kutumia na vipengele vya kisasa, inawakilisha dhamira kuu ya TECNO iitwayo "STOP AT NOTHING” Dynamic 1 inalenga kufanya maisha...
  2. JamiiForums Tanzania Picha ya Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990 yajibu hoja ya MBOWE juu ya Rais Samia na Kikwete

    Addis Ababa, Ethiopia July 8, 1990. Rais Mwinyi akiwa na Rais mstaafu Mwalimu Nyerere na waziri wa mabo ya nchi za nje Mkapa. Hoja ya Mbowe na CHADEMA kweney maandamano Arusha inakosa nguvu kabisa , ni ya hovyo, na chuki binafsi. Picha kwa hisani ya maktaba ya Salim Ahmed Salim Digital...
  3. JamiiForums Tanzania Matumizi ya Teknolojia ya 'Deepfake' katika kutengeneza video zenye Taarifa Potofu

    Deepfake ni aina ya ubunifu wa kidigitali unaotumia teknolojia ya Akili Bandia (AI) kubadilisha au kuunda picha, sauti na video ambazo huonekana kama ni za kweli, lakini zimeundwa kwa njia bandia. Jina "deepfake" linatokana na maneno mawili: "Deep learning" (kujifunza kwa kina), ambayo ni aina...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali inashindwa nini kutunga sheria ya mamlaka ya kuendeleza tafiti na bunifu za Teknolojia

    Siyo siri, hatuwezi kuendelea kwa kutegemea ujimba tunaoukumbatia. Tunajua kwamba serikali inajenga hofu kubwa sana kwenye suala la mawasiliano kwa sababu mpaka leo inajiweka mbali kwenye maendeleo ya ukuaji wa teknolojia ya mawasiliano. Dunia inakimbia kwa kasi mno, na sasa akili bandia...
  5. JamiiForums Tanzania Siku hizi teknolojia inasoma akili za watu kuandaa matangazo ya mitandaoni

    Siku ya leo Teknolojia imenishangaza kidogo, nimewaza akilini kuhusu vikombe vile vidogo kwa kufunika na kutembea navyo, nikamuuliza jirani yangu pembeni yangu kuhusu lini anaenda kariakoo nimuagize, hata swali lenyewe halikuwa specific, nimesema tu "Lini unaenda kariakoo nikuagize vile vikombe...
  6. JamiiForums Tanzania ATC yahitimisha mafunzo kwa Wakaguzi wa Magari, waonyesha umahiri katika Teknolojia ya ukaguzi magari

    Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kimehitimisha mafunzo ya ukaguzi wa magari kwa askari wa kikosi cha usalama barabarani nchini ambacho kilihusisha wakuu wa kikosi cha usalama barabarani na wakaguzi wa magari (vehicle inspectors) kote nchini ambacho kilianza februari 19 hadi 20 mwaka huu katika chuo...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu

    Video: Hii Teknolojia ipigwe marufuku kwenye mikusanyiko ya watu Itazua Balaa! 😂
  8. JamiiForums Tanzania Je, jeshini na vyuoni ndio sehemu kubwa za kuleta teknolojia mpya kwa nchi?

    Jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuchangia katika kuleta na kukuza teknolojia mpya kwa nchi, lakini ni muhimu kutambua kwamba sehemu zingine za jamii na sekta zinaweza pia kuchangia kwa njia kubwa. Hapa kuna jinsi ambavyo jeshi na vyuo vikuu vinaweza kuwa sehemu muhimu ya kuleta teknolojia mpya...
  9. JamiiForums Tanzania TANROADS Kutumia Teknolojia Mbadala Ujenzi wa Barabara Nchini

    TANROADS KUTUMIA TEKNOLOJIA MBADALA UJENZI WA BARABARA NCHINI Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), imefanya majaribio ya awali ya matumizi ya teknolojia mbadala katika ujenzi wa Barabara kwa baadhi ya maeneo na inaendelea kutathmini ufanisi wake kwenye mazingira kwa kutumia...
  10. JamiiForums Tanzania Naomba maoni juu ya kilimo biashara na teknolojia katika kilimo

    Habari zenu wakuu. Ningependa nipate maoni/busara yenu katika hili. Mimi natamani sana hapo baadaye niekeze katika kilimo biashara. Najua kila zao lina changamoto zake ila nahitaji kuelewa kutoka kwa wale ambao wana experience katika hili wanisaidie kunijulisha, ni changamoto gani ziko katika...
  11. JamiiForums Tanzania Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    Ukuaji wa uchumi wa nchi ni pamoja na matumizi ya teknolojia mbalimbali ili kuongeza uzalishaji na kuinua uchumi wa nchi na maendeleo kwa ujumla. Katika Sekta ya uvuvi, kilimo cha samaki kimekuwa kikihimizwa kila leo kwa lengo la kuongeza uzalishaji ili kuendana na mahitaji ya soko. Kwa...
  12. JamiiForums Tanzania Faida na hasara za Teknolojia

    Nimekaa nikawaza nikaona kuna mambo mengi hayako sawa. 1. Zamani antenna ya analogy ile masikio ilikuwa inajizungusha yenyewe signal zikipotea unabonyeza tu kitufe. Hizi za sasa mpaka uipandilie huko juu uzungushe mwenyewe. 2. Smartphone ukitumiwa meseji saa 4 asubuhi hauko hewani, ukawasha...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lawa muokozi wa Afrika katika masuala ya sayansi na teknolojia

    Tangu katika kipindi cha katikati ya miaka ya 1990, China imetambulisha tena sera yake ya Afrika, ikiongeza msaada wake wa maendeleo, na kuyataka makampuni ya China kwenda nje na kuzidisha miradi ya miundombinu. Hata hivyo, sera kabambe ya mambo ya nje ya rais Xi Jinping na pendekezo lake muhimu...
  14. JamiiForums Tanzania Kusoma mambo mbalimbali na kufatilia vitu vipya ni chanzo kikuu cha Maarifa

    Hapa duniani kuna madudu ya ajabu sana, tena sana, kuna maviumbe ambayo ukiyaona kwa mara ya kwanza utasema labda unaishi kwenye karne ya pili huko. Ili kwanza uyajue hayo yote, ndugu yangu jitahidi sana kutafuta maarifa. Unajua sisi Waafrika tunashindwa sehemu ndogo sana, tunashikilia sana...
  15. JamiiForums Tanzania China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon

    Source: Bloomberg Subscribe China Secretly Transforms Huawei Into Most Powerful Chip War Weapon The government is increasingly relying on Huawei — the company Washington tried to destroy — to lead the country’s efforts to build an independent semiconductor ecosystem. By Bloomberg News...
  16. JamiiForums Tanzania Kampuni za simu zinazotarajiwa kutambulisha bidhaa mpya

    Kaa mkao wa kula kwa mapinduzi ya teknolojia! Makampuni duniani kote yanajiandaa kuleta vifaa vya kisasa kabisa. Wamevutiwa na makampuni yenye uvumbuzi, na wana hamu ya kuleta msisimko katika eneo la teknolojia, wakiahidi kubadilisha mtazamo wako kidijitali kama kijana.. Miongoni mwa vifaa...
  17. JamiiForums Tanzania Matumizi ya teknolojia ya dijitali yabadilisha upepo wa uchaguzi, Privacy International yatoa mapendekezo kwa wachunguzi wa uchaguzi

    Mwaka 2023: Mabadiliko Makubwa katika Mchakato wa Uchaguzi Kupitia Teknolojia ya Dijitali Katika miaka ya hivi karibuni, mchakato wa uchaguzi na shughuli zinazohusiana nao umepitia mabadiliko makubwa, yaliyosukumwa na maendeleo ya teknolojia ya dijitali. Hali hii imeleta mazingira mapya...
  18. JamiiForums Tanzania Simu zenye teknolojia ya dual speakers na dynamic port

    Katika ulimwengu wa leo wa simu smartphone, zimepelekea makampuni kulenga na kuunganisha teknolojia mpya ya muundo wa kisasa uitwao “sleek design”, huduma za juu kama uwezo mkubwa wa memory katika kuhifadhi vitu, sehemu ya “DYNAMIC PORT”, na umbo jembamba linaloonyesha jinsi teknolojia...
  19. JamiiForums Tanzania Hard disks ni teknolojia ya zama za kale, zina uwezo mdogo wa kufanya kazi kwenye computer / Laptops, weka SSD kwa bei rahisi speed ya radi

    Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks. Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
  20. JamiiForums Tanzania Hii teknolojia ilifaa kuendelezwa

    Uvumbuzi mwingine mzuri kutoka miaka ya 1900 ulikuwa kamera ya bastola. Iliundwa kwa kamera ndogo iliyounganishwa kwenye pipa la bastola ya Colt .38. Wakati trigger ilipovutwa, bunduki na kamera zote ziliwashwa wakati huo huo. Kifaa hicho kiliundwa mnamo 1938 na Shirika la Watchman la New...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…