team

  1. K

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati nendeni UAE kama team ya wataalamu kuomba mabadiliko ya mkataba

    Nashauri wadau badala ya kusubiri serikali kurekebisha mkataba nendeni moja kwa moja UAE na mapendekezo ya marekebisho. Na nina rudia UAE sio Dubai pekee maana tuna uhusiano na UAE kama nchi na sio Dubai. Lakini twende na mapendekezo kabisa ya marekebisho ya mkataba naamini kabisa wataaikiliza...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Hongera timu Wazalendo kwa ushindi wa awali. Tukutane Mahakama ya Rufaa🙏🙏

    Baada ya kusoma HUKUMU ya Leo, nimegundua kuwa team ya Wazalendo under MWAMBUKUSI imeshinda ushindi wa Awali ingawa referee ameonekana kuonyesha kuwa Hana uwezo wa Kutoa ushindi. Hoja zifuatazo ndizo zimenipa kuona ushindi wa team wazalendo: 1. Judge Ndumbari, Amekiri kuwepo dosari katika...
  3. JamiiForums Tanzania Nikiwa kama Referee wa Team Yes DP World vs Team No DP World na Kesi iliyoko Mbeya nashauri Team Yes wawaige Azam FC walichofanya Tunisia jana

    Mpaka muda huu kwa Kesi iliyoko Mkoani Mbeya na inavyoendelea nawaona Team Yes DP World wanaenda Kufungwa ( Kushindwa ) vibaya mno na Kuumbuka. Ushauri pekee ambao GENTAMYCINE nautoa kwa Team Yes DP World huku nikiwana Team No DP World wanavyoupiga mwingi hawa ( Team Yes DP World ) wawaige Azam...
  4. JamiiForums Tanzania Chose your best team member in JF

    Salaam wakuu, naamini kila mmoja ana watu ambao wamekuwa wakimpa kampani au kuichangamsha siku yake hapa JF Kiasi cha kutengeneza muunganiko baina yenu, kama team ya mpira au jeshi. Ambapo wakiwepo mna tengeneza vurugu au furahi day, kwa upande wangu nina team nyingi, ila hi ni imara zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Tumedhihilisha Yanga ni Team kubwa sana Afrika

    Msimu ujao mtaumia sana. Faida mwaka huu tumepata tsh mil 500. Na mmeona matumizi yetu ni mabilion ya fedha.
  6. S

    JamiiForums Tanzania CAF Confederation Cup Team Of the Season

    👏 👏 👏
  7. JamiiForums Tanzania Mnaosifia Simba kuwa ni team kubwa Afrika hamjui Mpira. Mnaijua Atletico Madrid ya Spain?

    Nyuzi Nyingi sana zinaandikwa kuisifia Simba eti ni kubwa Afrika na jana imeonyesha kua ni giant😂😂. Machizi kweli nyie na kama unasoma huu uzi una hilo wazo huo ni uchizi pia. Hivi Team gani ulaya haiogopi Atletico hii ni Moja ya Team ngumu sana ulaya na Match zake hua zakuvutia sana kuanzia...
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais wa Yanga anatembea na team kila kona?

    Najiuliza sipati jibu nikiwa kama mdau wa mpira ni kwanini rais wa Yanga kila timu inakoenda na yeye yupo?
  9. JamiiForums Tanzania Vijana Tukatae ndoa

    Habari za usiku. Ndoa ni utumwa. Ndoa ni umasikini. Ndoa ni source ya mafarakano Ndoa ina leta chuki. Ndoa ni ubinafsi. Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa. Kijana KATAA NDOA FANYA MAISHA
  10. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kwanini alificha jalada la ununuzi wa ndege?

    Sifa kubwa ya madikteta ni usiri na kuficha mambo ya umma kama masuala binafsi. Ndivyo ilivyokuwa kwa Mwendazake wakati anafanya mpango wa kununua ndege. Umewahi kujiuliza kwanini mamlaka ya mdhibiti na mkaguzi mkuu haikuwahi kutoa maoni yao juu ya ununuzi wa ndege? Taarifa zilizopo ni...
  11. JamiiForums Tanzania CHADEMA njia pekee ya kushika dola 2030, unganisheni nguvu na team Magufuli

    Miaka takribani 2 imepita toka afariki Hayati Rais wa awamu ya tano John Pombe Magufuli na juzi tarehe 17/03/2023 tumeazimisha miaka miwili ya kifo chake kwa masikitiko makubwa. Baada ya kufariki kiongozi wa awamu ya 5 nchi imepitia vipindi tofauti ambavyo vimethibitisha na kudhihirisha aina ya...
  12. JamiiForums Tanzania CAF Team of the Week; Chama, Kapombe ndani

    Hii ni official Team of the Week ya CAF Championship. Mnyama ameingiza wawili Show-me the Way na Mwamba wa Lusaka
  13. JamiiForums Tanzania Wasemaji wa team ya Simba na Yanga wamenishangaza sana leo!

    Yaani leo ndio nimejua kumbe mpira wetu nikama siasa zetu tu hatupoki professional kabisa. Wasemaji wote wa simba na yanga wameongea kuhusu mechi za kimataifa zinazokuja. Ajabu wapo bize kwenye press wakijiandaa kwenye kampeni kubwa kuanzia jumatano za kupita mtaa kwa mtaa ili kupata washabiki...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale team kataa ndoa sio wanaume tu hadi wanawake pia wapo

    Hiko kipande cha video hapo juu nimekitoa huko twitter. Sasa huyu binti akutane na mjumbe wa JF huku ambaye hataki ndoa sijui itakuaje hilo penzi(mahusiano). Tukae mbali na mafeminist wakuu.
  15. JamiiForums Tanzania Chadema ni Team Samia kwa ushindi wa 2025

    👉Mtu bingwa kabisa Samia Suluh Hassani,amewafanya Chadema na viongozi wao kugeuka team ya kampeni nzuri sana kuelekea 2025.. 👉Mtu anayeifaham siasa ameyafanya manyumbu yote kuwa Kitu kimoja sasahv mama huna upinzani kwa chadema sijui vyama vyama gani huna.. 👉Umemsafisha Magufuli maana yalisema...
  16. JamiiForums Tanzania Najitambulisha kwenu

  17. JamiiForums Tanzania Looking for reliable and efficient data analysis services? Look no further! Our team of experts is here to help you

    Looking for reliable and efficient data analysis services? Look no further! Our team of experts is here to provide you with top-notch analysis using the latest technologies. We offer a variety of data analysis options to meet your specific needs. Our Excel data analysis services start at just...
  18. JamiiForums Tanzania Wale 'Team Mungu Mtu Chama' niambieni leo amecheza nini dhidi ya Coastal Union FC kwa Mkapa?

    Najua Kocha Mgunda ni Muoga na aliogopa Lawama Kumtoa ila kama kuna Wachezaji ambao leo wamecheza hovyo / vibaya na najua Kocha wangu Mkuu, Fundi na Mtaalam Roberto Olivieira angekuwepo angewatoa hata dakika ya 15 tu ya Mchezo walikuwa ni Clatous Chama na Pape Ousmane Sakho. Ni mpaka uujue...
  19. JamiiForums Tanzania CDM hawataruhusu aina ya Magufuli waingie madarakani, bora waunge mkono timu SSH. Sawa kwa CCM asili pia, ni mchezo mgumu kucheza!

    Yaani Chadema Bora muwaue kuliko team Magu warudi madarakani, na Bora CCM asili muwaue kuliko wakubali team MAGU warudi madarakani. Hard cards to play
  20. JamiiForums Tanzania Karim Benzema astaafu Timu ya Taifa

    Karim Benzema has announced his retirement from international football on his 35th birthday, just a day after France suffered a heartbreaking penalty shootout defeat to Argentina in the World Cup final on Sunday. The 2022 Ballon d'Or winner missed the tournament in Qatar with a thigh injury and...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…