Yaani nchi ndogo zimewaonesha wanaojiona miamba ya soka Afrika kuwa hakuna mwamba wa milele wote ni wachumba tu mbele ya underdog (team ndogo zisizo maarufu au kuonekana na uwezo wa soka).
Timu kubwa kama Misri, Ghana, Tunisia, Cameroon zimegaragazwa na underdogs kama Namibia, Guinea, Msumbiji...