Gamondi ana nipa wasiwasi na quality yake, I will do background check why he was fired in previous team

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,985
Here are the reasons

1: Substitution: mzito, very late and bad substitution of players?

2 : guede issue : he is bad slow player who affect yanga energy, why ana mtaka I don't know? Why 90mins in egpty match? Why musoda off position?

3 : corruption: guede probably ana deal with Gamondi either he pays him to bring his qualities back. unnecessary minutes in big matches affecting yanga play style?? hii kitu ina uzi wake

4: Too many teams, so little success story: Kwa quality yake so far you have to ask why he was fired everywhere.

5 : yanga aina constituency kabisa.
 
Ongeza na hili...

Huwa hana plan B timu inapozidiwa maarifa, kama ulicheki mwanzo mwisho kwa mechi ya jana alishindwa kabisa kubadili upepo baada ya waarabu kumzidi maarifa.
 
Usituletee taharuki kwenye Klabu yetu tafadhali.
Huyo Guede kama sio lile goli lake unajua kwa matokeo ya jana tungekuwa tunaongea nini hivi sasa?

Kwahiyo akifunga kwenye mechi muhimu ni sawa ila asipofunga mechi nyingine ya kukamilisha ratiba ndio unaleta ngonjera?
 
Huyo ni shabiki wa timu ile ambayo mmiliki wake anajitokeza tu pale ambapo timu yake inatarajia kuingia robo fainali hili kukomba pesa zote za robo.

Sifa yao kubwa ni kuwa mbumbumbu.

Guede kafunga goli muhimu sana mechi na CRB kiasi kwamba zingebaki zile tatu bila zingekuwa hazina maana.

Pia kwa jicho la kimpira Guede sio mchezaji mbaya ana vitu vingi vya ku offer ukiachilia mbali kufunga.

With time Guede ata improve na kufanya maajabu ambayo watu wengi hawatarajii.
 
Usituletee taharuki kwenye Klabu yetu tafadhali.
Huyo Guede kama sio lile goli lake unajua kwa matokeo ya jana tungekuwa tunaongea nini hivi sasa?

Kwahiyo akifunga kwenye mechi muhimu ni sawa ila asipofunga mechi nyingine ya kukamilisha ratiba ndio unaleta ngonjera?
Watu kama hawa ni wakupuuza, mtu akishiba magimbi huko anakuja kuleta ujuaji
 
We mpira hujui,hamna tofauti na wale wazee wanao jiita " wazee wa club.....".
 
here are the reasons

1: substitution : mzito, very late and bad substitution of players.??

2 : guede issue : he is bad slow player who affect yanga energy, why ana mtaka I don't know?? why 90mins in egpty match?? why musoda off position??.

3 : corruption : guede probably ana deal with gamondi . either he pays him to bring his qualities back. unnecessary minutes in big matches affecting yanga play style?? hii kitu ina uzi wake

4: too many teams, so little success story : kwa quality yake so far you have to ask why he was fired everywhere.

5 : yanga aina constituency kabisa.
Ile game ya jana yanga asilaumiwe maana wale wahuni toka kipindi cha pili kianze uwanja uliinama
 
  • Thanks
Reactions: _ly
here are the reasons

1: substitution : mzito, very late and bad substitution of players.??

2 : guede issue : he is bad slow player who affect yanga energy, why ana mtaka I don't know?? why 90mins in egpty match?? why musoda off position??.

3 : corruption : guede probably ana deal with gamondi . either he pays him to bring his qualities back. unnecessary minutes in big matches affecting yanga play style?? hii kitu ina uzi wake

4: too many teams, so little success story : kwa quality yake so far you have to ask why he was fired everywhere.

5 : yanga aina constituency kabisa.
Mi naomba unisaidie kuelewa hiyo namba 5 kwamba "Yanga aina Constituency kabisa" ina maana gani kiongozi?
 
here are the reasons

1: substitution : mzito, very late and bad substitution of players.??

2 : guede issue : he is bad slow player who affect yanga energy, why ana mtaka I don't know?? why 90mins in egpty match?? why musoda off position??.

3 : corruption : guede probably ana deal with gamondi . either he pays him to bring his qualities back. unnecessary minutes in big matches affecting yanga play style?? hii kitu ina uzi wake

4: too many teams, so little success story : kwa quality yake so far you have to ask why he was fired everywhere.

5 : yanga aina constituency kabisa.
Yeyote anayemlinganisha Guede na Mzize ni fala tu, hujui soka kaa kimya.
 
Back
Top Bottom