tbs

  1. Nikusaidie Waziri Faustin Ndugulile kudhibiti TCRA, TRA na TBS juu ya vifaa vya telecom feki

    Jf oyee Kwako Dkt. Ndugulile, vyombo hivyo Hapo juu vimekuwa vikilalamikiwa kwa kutokuwa makini, kweli vyombo hivi vinatumia gharama Kubwa kuwepo huku ufanisi Wa kazi upo chini sana. Nikianza na TRA, hawa wanaruhusu kuingia kwa vifaa ambavyo havina certificate of compliance. Hi yo kuruhusu...
  2. Kushindwa kwa TCRA kudhibiti Simu feki ni ushahidi kuwa TRA na TBS zimesinzia Kabisa

    Wana JF, Vyombo muhimu vya serikali vyote kwa pamoja vimeshindwa kudhibiti Simu feki hivyo kuongezeka kwa uharifu pamoja nakuikosesha serikali mapato. Kazi ya kudhibiti bidhaa feki ni ya TBS kazi ya kukagua uingiaji bidhaa halali kutoka viwanda vinavyotambulika na kutoza kodi ni TRA. Tra...
  3. TBS, TCRA na TRA washindwa kuisaidia Serikali kuondoa spea feki za Simu. Mafundi simu waishia lockup wasijue lakufanya

    Wana Jf Serilikali kupitia ajent zake za kitaifa kwa pamoja wanaungana kuikosesha mapata serikali na kuleta mtafaruku mkubwa kati ya mafundi simu na wateja wao. TBS, TCRA na TRA zilivyoshindwa Nazi zao kila moja nitaelezea makosa yao TBS wameshindwa kuajiri vijana wenye weledi kutambua vitu...
  4. I

    Mwenye taarifa kuhusu internship zilizotangazwa na TBS 2020

    Wakuu kuna yeyote mwenye update zozote kuhusu intern zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) August 2020 na kusema mwishoni mwa September waliofanikiwa kupata nafasi wataanza. Kama unafaham lolote tujuzane hapa wakuu.
  5. TBS na TCRA mmeruhusu wizi, watu wamepata hasara

    Wana JF, Katika serikali makini TBS na TCRA wametuangusha sana kwa kuruhusu wizi wa kichina. Anavyokuwa: watu ambao hawana fani yeyote ya ufundi, wamevamia mitaa na kulaghai watumiaji wa smart phone kuwa wanatengeneza kioo cha simu kwa kuweka liquid ambayo inakifanya kiwe imara, kwamba...
  6. M

    TBS na Usajili wa Hotel, maduka na Posho mills

    TBS imetoa tangazo na muda kwa wenye biashara tajwa hapo juu kujiandikisha. Jambo la kwanza ni kuwa muda waliotoa ni mfupi sana kwa mfano kwa posho mills ambazo zimesambaa mpaka vijijini sidhani kama muda huo utatosha. La pili, ndani ya website yao hakuna application form kwa ajili ya kuomba...
  7. Various Internship Opportunities at Tanzania Bureau of Standards (TBS)

    Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania’s sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was repealed and replaced by the Standards Act No. 2 of 2009. It is a Parastatal Organization under the Ministry of Industry and Trade. TBS introduced internship...
  8. H

    Kama Kipimo kina matatizo wa kuwajibishwa ni Msimamizi wa Maabara au TBS?

    Mh Ummy, nakuhakikishia Mungu yupo hilo lielewe kabisa.. Najua kama binadamu unafanya mambo ili kumfurahisha anayekupa ugali na tabasamu, ila tambua Mungu alisema, AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU na KUMFANYA KUWA KINGA YAKE. Hivi tujiulize tu, hao watu wanaokufa na kuzikwa usiku...
  9. J

    TBS kuandaa viwango vya Mbege na Ulanzi katika kukuza viwanda vidogo vidogo

    Msemaji wa Shirika la Viwango TBS kanda ya kusini amesema taasisi yake inaandaa viwango vya pombe za kienyeji Mbege na Ulanzi ili zitengenezwe na kusindikwa katika ubora unaostahili. Msemaji huyo amesema viwangi hivyo vitasaidia Mbege na Ulanzi ziweze kushindanishwa na Chibuku na hivyo kusaidia...
  10. Hiki ni kipimo kilichothibitishwa na TBS, ukitumia kipimo hiki utajua kuwa mwanamke anakupenda au anakuona ndezi(hakupendi)

    Mpange demu au mchumba wako mukutane mahali fulani, aidha kwake au popote pale. Ukikaribia kufika mahali alipo kwa kuchelewa mpigie simu na kumwambia hivi "Mpenzi wangu daaah hapa nimevurugwa sijui hata la kufanya, nikitoka home nimebeba nauli tu nilijua nitatoa fedha kwenye ATM machine, kumbe...
  11. Je, Serikali kupitia Wizara ya Afya na TBS wana taarifa kuhusu tangazo la ‘kitapeli‘ la Dawa ya Kumfanya Mtu aachane na Ulevi?

    Tangazo hilo linachezwa sana Wasafi fm (sijajua kwa Vituo vingine vya habari). Tangazo hilo linalosema kwamba hii dawa ya Hans Maks (naomba radhi kama nimeiandika vibaya) ukimpa tu Mtu Mlevi wa pombe ambaye ameshindakana kwa kila namna hasa ile ya ‘kimaombi‘ basi ukimpa hii Dawa ndani ya dakika...
  12. Mishahara (Basic Salary) kwa electronics and telecommunication engineering technician, katika mashirika/kampuni hizi(TBC, TTCL, TBS, TANESCO na TPA)

    habari wadau.. Naomba kujua mshahara (basic salary) kwa technician wa electronics and telecommunications engineering katika hayo maeneo: TBS, TBC, TTCL, TPA na sehem nyingine ambazo ana apply. NB: NI technician mwenye diploma, registered as technician II by ERB and soon to become technician I
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…