Kama Kipimo kina matatizo wa kuwajibishwa ni Msimamizi wa Maabara au TBS?

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,163
2,000
Mh Ummy, nakuhakikishia Mungu yupo hilo lielewe kabisa.. Najua kama binadamu unafanya mambo ili kumfurahisha anayekupa ugali na tabasamu, ila tambua Mungu alisema, AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU na KUMFANYA KUWA KINGA YAKE.

Hivi tujiulize tu, hao watu wanaokufa na kuzikwa usiku wanakufa na ugonjwa gani??? Kama kweli Mkuu wa kaya na Ummy wangekua wanajali na ni watakatifu kiasi hiki cha kudhalilisha na kunyanyapaa ELIMU za watu walizosotea kwa miaka, KWANINI WASINGEKEMEA HADHARANI na kukutaza watu kuzikwa gizani? Kwanini WASINGETOKA HADHARARI WAKASEMA HAWA WATU WAMEKUFA KWA CORONA ila tutawazika kwa heshima?? Kwanini wao wanaficha kabisa Mambo yaliyoko wazi? na sasa wanamdhalilisha Msomi kisa vimetoka visa 480 ambavyo pia mambo yamefunikwa funikwa sana???? Kwanini hawa watu ni WAKATILI KIASI HIKI?? MUNGU TUNAKUOMBA HEBU TUSAIDIE HILI TAIFA NI LAKO.

Nirudi kweye Mada;

Kama Vilipimo vimeonyesha Fenesi lina Virusi, papai na Mbuzi, ambapo samples zilipelekwa kwa SIRI inamaana kuna shida kwenye Vipimo vyenyewe!! Huyu mtu angejua ni Fenesi labda hata angejiongeza kusema haiwezekani fenesi lisome + lakini maskini ya MUNGU hajui chochote anasoma kilichopo kwenye Mashine!!!!!! SASA KOSA LAKE NININI???? KWANINI ANAYESHUGHULIKA na MASWALA YA UBORA ambaye ni TBS asibebe hizi lawama kuruhusu bidhaa feki tena katika secta sensitive kama afya Ziingie NCHINI???.....Kwanini kila SIKU mambo yakienda vibaya lazima atafutwe MBUZI wa kafara??? Tena mara nyingi anatolewa ISAKA ambaya hana hatia yoyote???..MUNGU NAOMBA UFALME WAKO UJE TANZANIA MWAKA HUU KILA MTU AJUE UPO.......Naomba mwenye moja ya majibu ya mwaswali yangu anisaidie majibu.
 
Slowly

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
3,281
2,000
Kuna mengi nyuma ya pazia....!! Hata kusepa chato kuna watu walipanga apate maambukizi ya korona by any cost, anyway mambo ni meng mda hautoshi , huenda kuna dili nyingi zimefanywa kupitia MSD , maana mkuu wa MSD ana free entry zake amabazo anaweza kufanya bila mamlaka zingine kumgusa
 
May be...only God knows the truth
 
elvischirwa

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
6,922
2,000
Kwani TBS bado ipo! Mbona malalamiko ni mengi kuhusu bidhaa duni lakini zinaendelea kuwepo madukani!
 
YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
23,185
2,000
Hata Mimi hili limenichanganya
Mtumiaji ndie anawajibika sababu ndiye aliyeagiza na kutoa specification kuwa ziwe hivi na hivi na hivi mfano Wewe in afisa Wa wizara ukaagiza gari used Japan kwa ajili ya ofisi TBS watalipitisha kuwa liko sawa kivumbi utakutana nacho ofisini kwako sababu sheria ya manunuzi hairuhusu kununua gari used!!! Hapo sio kesi ya TBS in yako Wewe mtumiaji
 
mwarobaini_

JF-Expert Member
Jan 26, 2020
536
1,000
Vifaa vya maabara viko kwenye kundi la vifaa tiba, TBS hawahusiki navyo bali ni taasisi inayoitwa TMDA ambayo iko chini ya wizara ya afya.
 
Acha upotoshaji..mtumiaji anaweza kuagizi kutokana na specifications zake na bado ikatengenezwa feki...ndo maana kuna mamlaka za kukagua ili kukidhi viwango vya mtumiaji....zikisema kiko sawa basi yeye anapokea na kutumia ..kwahiyo unataka kutambia TBS iko kwaajili ya nini?
 
H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,163
2,000
Vifaa vya maabara viko kwenye kundi la vifaa tiba, TBS hawahusiki navyo bali ni taasisi inayoitwa TMDA ambayo iko chini ya wizara ya afya.
Asante kwa kutupa ufahamu, lakini sasa kwanini analaumiwa mtumiaji???
 
kizaizai

JF-Expert Member
Mar 31, 2010
3,679
2,000
Mh Ummy, nakuhakikishia Mungu yupo hilo lielewe kabisa.. Najua kama binadamu unafanya mambo ili kumfurahisha anayekupa ugali na tabasamu, ila tambua Mungu alisema, AMELAANIWA MTU YULE AMTEGEMEAYE MWANADAMU na KUMFANYA KUWA KINGA YAKE.
Ummy hana makosa, Boss wako akimtuhumu mfanyakazi aliye kwenye idara yako, maana yake na wewe uchukue hatua.
 
MWEMBEKIUNO

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
1,436
2,000
Baada ya kushughulika na kifaa cha upimaji tunashughulika na mpimaji, ninachoamini wale watu wanaofanya kazi maabara wana qualities zote za kufanya kazi humo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom