Mwenye taarifa kuhusu internship zilizotangazwa na TBS 2020

ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
389
500
Wakuu kuna yeyote mwenye update zozote kuhusu intern zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) August 2020 na kusema mwishoni mwa September waliofanikiwa kupata nafasi wataanza.

Kama unafaham lolote tujuzane hapa wakuu.
 
Sep 16, 2019
92
125
Ebana me mwenyewe nliapply Ila naona kimya. Lakini bado hawajatoa majina kwa ajili ya usaili maana hata ukienda kwenye website Yao hakuna mrejesho. Tusubiri
 
Sep 16, 2019
92
125
Wakuu kuna yeyote mwenye update zozote kuhusu intern zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) August 2020 na kusema mwishoni mwa September waliofanikiwa kupata nafasi wataanza.

Kama unafaham lolote tujuzane hapa wakuu.
Ebana me mwenyewe nliapply Ila naona kimya. Lkn bado hawajatoa majina kwa ajili ya usaili maana hata ukienda kwenye website Yao hakuna mrejesho. Tusubiri
nasikia intern wanawalipa elfu40 kwa siku.
Kila la kheri kwenu
Hapana Ni maneno ya watu tu, wanatoa nauli na hela ya lunch. Hyo 40 Ni uwongo mkubwa
 
ilala yetu

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
389
500
Ebana me mwenyewe nliapply Ila naona kimya. Lkn bado hawajatoa majina kwa ajili ya usaili maana hata ukienda kwenye website Yao hakuna mrejesho. Tusubiri

Hapana Ni maneno ya watu tu, wanatoa nauli na hela ya lunch. Hyo 40 Ni uwongo mkubwa
yeah mkuu pale ni nauli tu na kula basi..
 
kinoJR

Member
Oct 31, 2015
49
125
sio kweli
yani upewe nauli na pesa ya kula internship ya mwaka mzima?
piganieni muingie pale ili mlete ushuhuda hapa
 
Sep 16, 2019
92
125
sio kweli
yani upewe nauli na pesa ya kula internship ya mwaka mzima?
piganieni muingie pale ili mlete ushuhuda hapa
Hii sio paid internship labda Kama zamani walikua wanalipa Ila kwa Sasa hakuna malipo Ni kupewa sapoti tu za hapa na pale. Hata kwenye tangazo lao wameandika hvyo.
 
Sep 16, 2019
92
125
Wakuu kuna yeyote mwenye update zozote kuhusu intern zilizotangazwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS) August 2020 na kusema mwishoni mwa September waliofanikiwa kupata nafasi wataanza.

Kama unafaham lolote tujuzane hapa wakuu.
Kaa tayari mambo yamekwiva, Muda wowote kuanzia wiki ijayo yanatoka majina
 
kinoJR

Member
Oct 31, 2015
49
125
Angalieni email zenu au tembeleeni tovuti husika ya shilika.
Inasadikika weekend hii ni interview
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom