tayari

Tayari Jones (born November 30, 1970 in Atlanta, Georgia) is the author of four novels, most recently An American Marriage, which was a 2018 Oprah's Book Club Selection, and won the 2019 Women's Prize for Fiction. Jones is a graduate of Spelman College, the University of Iowa, and Arizona State University. She is currently a member of the English faculty in the College of Arts and Sciences at Emory University, and recently returned to her hometown of Atlanta after a decade in New York City. Jones was Andrew Dickson White Professor-at-large at Cornell University before becoming Charles Howard Candler Professor of Creative Writing at Emory University.

View More On Wikipedia.org
  1. Yaliyojiri kesi ya Mbowe na Wenzake: Upande wa Mashtaka waendelea kutoa ushahidi. Kesi yaahirishwa mpaka Septemba 24, 2021

    Jaji ameingia Mahakamani. Kesi Na. 16 ya mwaka 2021 inatajwa Kesi namba 16 ya 2021, jamhuri dhidi ya Khalfan Bwire, Adam Hassana Kasekwa (Adamoo), Mohammed Abdalah Ling'wenya na Freeman Aikael Mbowe Jaji anamuita Wakili wa Serikali... Wakili wa Serikali anatambulisha Jopo lake Robert...
  2. M

    Haya haya Kumekucha Wanaijeria wameshaanza tayari Umafia na Kulipiza Kisasi huko Kwao Port Harcourt

    Tafadhali mnapotutumia Picha mlizopiga Uwanja wa Ndege baada ya Kutua hebu tuwekeeni pia na Picha za Mashabiki zenu baadhi Kupigwa Ngumi na Wanaijeria wakijiandaa kupanda Basi. Halafu mbona Picha ya Msemaji wenu Mzungu Pori ya Kujificha jificha hapo Uwanjani kwa Kuogopa Kipigo hamtutumii pia...
  3. M

    2025 Tayari CCM wanatuletea mama Samia na CHADEMA tayari nao wanatuletea Lissu. Je! Mgombea yupi atatuvisha?

    Mama naamini katika chanjo na Lisu pia anaamini katika chanjo. Mama anaamini sana wazungu, Lisu pia wazungu kwake ni kila kitu. Mama hajawai kuwa na bifu na Lisu, na Lisu pia hajawa kuwa na bifu na mama. Mama hajalala sana au kabisa katika dini, Lisu pia hana historia ya kugusa kanisani. Mama...
  4. Kama Yanga itafungwa Champions League kichaka cha kufisha nyuso zao wanacho tayari

    Haitakuwa kazi ngumu kwa kocha, viongozi, wachezaji na mashabiki wa Yanga kujitetea kama ikitokea bahati mbaya wakafungwa na kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa msimu huu. Sababu zao zitakuwa hivi: 1. Wachezaji wao 3 muhimu wamezuiwa kucheza. 2. Timu haikuwa na pre-season nzuri 3. Wachezaji...
  5. Taliban: Tupo tayari kushirikiana na nchi zote duniani isipokuwa Israel

    Uongozi wa Taliban nchini Afghanistan umesema upo tayari kufanya kazi na nchi zote duniani isipokuwa Israel. Msemaji wa Kundi hilo, Suhail Shaheen ameliambia Shirika la Habari la Sputnik News la nchini Urusi kuwa Taliban ipo tayari kufanya kazi na Marekani hata baada ya kusubiri kwa miaka 20...
  6. 70% ya wasiotaka chanjo USA wako tayari kuacha ama kufukuzwa kazi kuliko kuchanja

    Marekani imechanja zaidi ya 50% ya watu wake ambao wanastahili kuchanjwa lakini karibu watu milioni 100 wenye sifa ya kuchanja wamegoma kuchanja ama hawajachanja hadi sasa. Kutokana na covid, makampuni mengi ama taasisi nyingi zinahimiza ama kulazimisha wafanyakazi wao kuchanjwa na mengine...
  7. Serikali iwalipe watumishi mishahara mpaka hapo watakapokuwa tayari kuwalipa pensheni na PSSSF ndio dawa

    Kuna kitu hakiko sawa kwenye mifumo ya serikali, pamoja na bodi inayo shugulikia mikataba FCC kujidani na kuwashauri watu wasitoe mikataba ya unyonyaji na manyanyaso bado tunahitaji sheria zibadilishwe. Tarehe za kustaafu zikifika mtumishi aache kwenda kazini ila mshahara uendelee kulipwa ili...
  8. Zanzibar: Serikali tayari imeshaingiza chanjo ya Johnson & Johnson ili wananchi wapate chanjo kujikinga na maradhi ya Covid-19

    Waumini waliojitokeza kuitekeleza Ibada ya sala ya Ijumaa katika Masjid Noor, Muyuni wakimskiliza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alipowasalimia mara baada ya kutekeleza Ibada ya Sala ya Ijumaa. Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akiwasalimia waumini mara baada ya...
  9. Mawakili wa CHADEMA kama wangekuwa sio wa kujitolea, wangekuwa tayari wamefukuzwa kazi mapema sana.

    Wote wanafanana, wale waliosoma nje na wale waliosoma hapahapa nyumbani - wote wana uwezo mdogo sana. Huwa wanakuwa na uwezo mkubwa wanapokuwa twitter, baada ya kugoogle sheria mtandaoni na kutweet, lakini wakiwa mahakani ni lazima wateja wao walale mahabusu au wapate kifungo kabisa. Lema...
  10. N

    Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  11. T

    Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo

    Leo Jumatano, serikali ya Marekani inatarajia kutangaza kuanza kutoa chanjo ya pili kwa wale waliopata chanjo ya J&J ama ya tatu kwa waliopata chanjo zingine za kukabiliana na covid 19 kwa watu wote waliopata chanjo. Awali, wiki iliyopita, taasisi ya afya na chakula ya Marekani, FDA ilitoa...
  12. Video: Taleban wacheka walipoulizwa na mwandishi wa habari kama wapo tayari kuunda serikali ya kidemokrasia ambayo wanawake watagombea/kupiga kura

    Katika hii video hapa chini magaidi wa Taleban wanaonekana wakicheka na kumwamuru mwandishi wa habari aache kurecodi pale walipoulizwa kama wapo tayari kuruhusu demokrasia ambayo wanawake wataruhusiwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika serikali yao na kupiga kura katika kuchagua...
  13. China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataliban

    Dunia imejaa fitina, wakati Marekani kafungasha virago vyake huko Afghanistan na kuwaachia Wataliban wakijitwalia ushindi mnono na kujiandaa kuunda serikali, China yasema iko tayari kushirikiana na Serikali ya Wataleban. Wakati nchi kadhaa zikiwa kwenye hatihati za kufunga balozi zao, Urusi...
  14. S

    Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

    Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
  15. Usikate tamaa, tumezaliwa tukiwa tayari ni washindi

    TUSIKATE TAMAA. Ukijiona upo duniani basi jua tayari wewe ni mshindi,usiseme huwezi chochote.uwepo wako hapa duniani ni ishara tosha wewe umeshinda ndio maana uko hapa. Wakati baba alipomwaga maji ya uzazi yenye ujazo wa kijiko kimoja basi ujazo huo ulikuwa na seli zaidi ya milioni moja wakati...
  16. Tuache upotoshaji kutumia dini kupinga chanjo ya COVID-19

    Soma hii kwa kumaanisha Tanzania tunachanjo 15 ikiwemo hii tunayoikimbia zote ni za mabeberu,Wameshindwa kukuua kirahisi ukiwa Mchanga leo umepata akili ndio unamkimbia nyoka uliyelalanae mpaka unataka kuvunja mguu,Acha ushamba Wahi chanjo ziko chache usisahau maisha ni yako. Corona sio...
  17. Waziri Mkuu: Chanjo ipo anayetaka akachome

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kwa miaka miwili waislamu wameshindwa kwenda kuhiji kwa kuwa walioruhusiwa ni wanaotoka kwenye nchi zinazofuata taratibu zote za kudhibiti maambukizi Aidha amesema baadhi ya wafanya biashara na wenye ndugu nje ya nchi wamekuwa wakipata changamoto ya...
  18. Wananchi Pemba: Tupo tayari kurudi kulekule kwa kutoshirikiana, ikiwemo kila mtu awe na lake

    Malalamiko ya wananchi kuhusu uchaguzi mdogo wa Konde: "CCM hawana haya, hawaoni vibaya, wameyarudia yaleyale waliyozoea"; Wananchi wa Zanzibar huko Pemba wanasema wapo tayari kurudi kule kule kwa kutotoa ushirikiano kwa upande wa pili… ikiwemo kila mtu awe na lake.
  19. M

    ACT Wazalendo wapewa somo zito, CCM haiko tayari kutenda haki katika chaguzi

    ACT walidhani kuwa maadam wamo katika Serikali ya Umoja wa Kitaifa huko Zanzibar, basi labda CCM wangeanza kuwatreat fairly. Lakini wakasahau kuwa CCM kimeshakuwa chama cha dhulma, kama kiliwadhulumu mara ya kwanza, mara ya pili, mara ya tatu n. k kitaendekea kuwadhulumu mpaka itokee nguvu ya...
  20. T

    Ushauri kwa wito wa waajiri ambao wanatuma matangazo ya ajira ili hali tayari wana mtu wa kujaza nafasi hiyo

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…