tattoo

A tattoo is a form of body modification made by inserting ink, dyes, and/or pigments, either indelible or temporary, into the dermis layer of the skin to form a design. The art of making tattoos is tattooing.
Tattoos fall into three broad categories: purely decorative (with no specific meaning); symbolic (with a specific meaning pertinent to the wearer); and pictorial (a depiction of a specific person or item). In addition, tattoos can be used for identification such as ear tattoos on livestock as a form of branding.

View More On Wikipedia.org
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mama ajichora tattoo ili aweze kuwasiliana kirahisi na Mwanawe mwenye usonji

    Baadhi ya akina mama huwabeba watoto wao. Mama huyu amebeba maneno ambayo mwanawe hawezi kuyasema. Hunter Fletcher ana tawahudi (autism) na hawezi kuzungumza kwa maneno, lakini kama mama yake Jessica anavyosema kwa uwazi, kutoweza kuzungumza hakumaanishi kwamba hawezi kuwasiliana. Huwasilisha...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ni dhambi kuchora tattoo kwenye mwili

    Ni dhambi kuchora tattoo kwenye mwili Maandiko katika kitabu cha Mambo ya Walawi 19: 28: “Msichanje chale yo yote katika nyama ya miili yenu kwa ajili ya wafu, wala MSIANDIKE ALAMA MIILINI MWENU; mimi ndimi Bwana”. Bwana alikataza watu kuchanjwa chale kwa sababu chale zote zinahusiana na ibada...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo bro umekaa ukatafakari kabisa na kuona uko sahihi kumuoa huyo mwanamke mwenye Tattoo kiunoni na sehemu nyeti?

    Umeangalia vigezo vyako kwamba ni kweli Hana mtoto ila kwenye kipengele Cha Tattoo akakuambia ujana , ulimbukeni na kuiga nawe ukakubali? NI SAWA BRO. Kitu muhimu uelewe visivyokuwa na shaka kwake huyo. 1: Hana bikira 2:Katoa mimba shazi 3:Amelombwa na wengi mno akiwemo na mchora Tattoo. 4...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Unadate na Mwanamke au mmama ambaye amechora tattoo ya jina la la ex wake kwenye paja. Wewe utakuwa na matatizo

    Unapata wapi nguvu za kupiga tako? Kwenye paja la huyo mwanamke kuna tattoo ya ya moyo na mshale. Alafu kuna jina mpenzi wake ambaye yeye anakuambia walishaachana. Alafu kwa upuuzi na ujinga unapiga tako kwa bidii kama unaendesha mtumbwi. Are you insane?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Huu utamaduni wa wasanii wa Bongo Flavour kutoboa pua na masikio na kuchora Tattoo: Ni Ushamba au Ujanja?

    Mimi sielewi huu utamaduni wameutoa wapi Hawa wasanii wa kiume wa Bongo Flavour. Sikuhizi naona ndiyo fashion Kila msanii wa kiume lazima atoboe masikio aweke helleni kubwa masikioni kama Mwanamke na lazima aweke kipini kwenye pia. Hii mambo imekaaje wajuba??? Au ndiyo tuseme Ma-Anko...
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke aliyechomwa kwa kuchora Tatoo ya Rais Ruto afariki

    Mwanamke wa nchini Kenya aliyefahamika kwa jina la Rachel Wandeto, ambaye aliwahi kusambaa mitandaoni baada ya kuchora tattoo ya Rais William Ruto kifuani mwake, ameripotiwa kufariki dunia akiwa anapatiwa matibabu kufuatia shambulio la kuchomwa moto kwa petroli. Rachel Wandeto alidaiwa...
  7. S

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha hii ya Uhuru akiwa na tattoo ya Freemason ni halisi?

  8. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Tattoo zinawapendeza wenye pesa tu, nyie maskini mnaonekana hatarishi kwa jamii

    Change my mind!
  9. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Je aina hii ya tattoo ndio signal yao?

    Kuna kitu sikielewi kabisa, kwanza niwe mkweli mimi napenda sana pisi kali zenye english figure aka models hivi Kupenda kwangu aina hio ya wanawake kumenifanya niangukie mara kadhaa kwa mabinti ambao ni 'wakoboaji' Cha kushangaza zaidi wengi wao huwa wana tattoo begani kama hii picha hapa...
  10. Sakwe

    JamiiForums Tanzania JE KUJICHORA MICHORO MWILINI(TATTOO)KUNA FAIDA GANI ?

    Habari wanajamvi! BIla ya kupoteza muda twende kwenye hoja ya msingi , kumekuwa na kasumba ya wanawake kwa wanaume hususan wanaoishi katika mikoa ya Dar, Pwani na hata Zanzibar kujichora tattoos. Wengine watu wazima tena michoro isiyokuwa na maana kabisa wanajamvi nielewesheni bira kuni karipia...
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ila wachambuzi wa Soccer wa bongo😂, mnakumbuka kipind kile Shaffih Dauda alikuwa anatuambia kuwa Rashford jina lake halisi ni Rashid na ni Mtanzania

    Kumbe mwamba asili yake ni Jamaican na Saint Kitts. Hadi leo sijui Dauda alitoka wapi na zile habari na alifikiria nini kutumezesha matango pori😂
  12. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hegseth, waziri wa Ulinz mtarajiwa U.S: “Nilijitolea kulinda uapisho wa Biden na nikakataliwa kwa sababu ya kuwa na tattoo ya msalaba wa kikristu"

    Jana Pete Hegseth alipokuwa anahojiwa na kamati ya bunge, alisema alitambulika kama mwenye "msimamo mkali" hivyo kukataliwa nafasi hio ya kulinda sherehe ya uapisho wa Rais Biden. Lakini cha kushangaza jeshi la Marekani linaluhusu ushoga wa kupindukia katika uongozi wake.
  13. Trainee

    JamiiForums Tanzania Mbona kama wazungu kujichora miili yao ni jambo la kawaida sana kwao?

    Nimeona kwenye movie nyingi za kileo wengi sana wamejichora miili yao. Nilidhani labda ni maigizo tu wameamua kutokeza kwa staili hiyo lakini nashangaa hata matukio mbalimbali ambayo ni halisi bado nawaona hawa watu wakiwa wamejichora chora miili Hivi hili jambo lina maana gani kwa wenzetu...
  14. Zero Competition

    JamiiForums Tanzania Mwanamke akiwa amechora Tattoo sijisumbui hata kumuomba namba yake ya simu

    Binafsi hii ni moja ya red flag kubwa sana ambayo inaniogopesha toka kwa mwanamke, hii ni kwangu mimi lakini sijajua kwa wanaume wenzangu wanachukuliaje jambo hili. Just imagine mwanamke amechora Tattoo kwenye maziwa au kwenye makalio na sehemu zote hizo wakati anachora Tattoo Artist amezishika...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nina tattoo makalioni, mume wangu kuniambia nitafute mwanaume mwingine

    Wakati niko chuo nilikuwa na rafiki zangu wawili ambao tulikuwa tunaaka chumba kimoja. Ni watu wa kujirusha, na kipindi hicho tulikuwa wazuri sana. Mambo yalikuwa mengi na tulifanya ujinga mwingi. Kuna mambo mengi nilifanya kipindi hicho ambayo mpaka leo najutia, lakini kuna hili moja ambalo...
  16. NITAKUKAMATA TU

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mabinti (wanawake) waliochora tattoo sehemu mbalimbali za miili yao, nini tatizo? Haliwezi kuhatarisha makuzi ya mabinti wa kesho?

    Habari ndugu wana jamvi, Leo nimekuja na jambo ambalo linaweza kunipa wasiwàsi kwa namna moja au nyingine. Kama jamii hivi Sasa ,kumekuwa na wimbi kubwa La wadada ,wasichana na wanawake kujichora tatoo Katika miili Yao. Na tattoo hizo mara nyingi uchorwa sehemu ambazo inakuwa rahisi kwa MTu...
  17. Bonsipele69

    JamiiForums Tanzania Nilijua nimeona vyote mpaka pale nilipoona Msukuma amechora tattoo ya ugali

    Kweli tembea uone kila siku utaona mapya na hutoyamaliza mengine ya kuelimisha kuburudisha na kusisimua hakika dunian ni sehemu ambayo unapata full package kujifunza, kuburudika n.k Mchana mwema ndugu zanguni.
  18. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Watu wenye Tattoo ni waongo kinoma

    Anasema kuwa anajuta kuchora Tattoo kwenye mwili wake lakini cha kushangaza ni hataki kuzifuta hizo Tattoos. Wengine sasaivi wamegeukia upande wa dini lakini bado wanazo hizo Tattoos na hawataki kuzifuta. ACHENI UNAFIKI AISEE!
  19. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana mwanamke mwenye tatoo, kipini na kikuku kwa pamoja

    Tatoo ni utamaduni kama utamaduni mwengine, na wala sikatai mtu kuchora tatoo kama anaona inafaa hata mimi nimechora ila kwa wanawake kuna mambo nimenote:- Ogopa sana mwanamke mwenye hizi sifa na vitu hivi kavaa kwa pamoja 1. Tatoo zaidi ya moja moja na sanasana ogopa sana mwanamke mwenye...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Wanawake Hawa kujichora tattoo ya Nabii Geo Davie, ni mahaba au kutafuta fursa?

    Hapo chini ni mgongo wa mwanamke kwa Jina la Elizabeth Benjamin aliyejichora tattoo ya Jina la Geo Davie, na kupelekea Ndoa yake kuvunjika. Lakini alipofika kanisani kwa Nabii Huyo aliweza kuvuta mkwanja kama hongera kwa kujichora tattoo hiyo. Na Sasa msanii Amber Rutty Naye amefuata kwa...
Back
Top Bottom