Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 3,382
- 13,382
Kuna kitu sikielewi kabisa, kwanza niwe mkweli mimi napenda sana pisi kali zenye english figure aka models hivi
Kupenda kwangu aina hio ya wanawake kumenifanya niangukie mara kadhaa kwa mabinti ambao ni 'wakoboaji'
Cha kushangaza zaidi wengi wao huwa wana tattoo begani kama hii picha hapa chini
Inaweza kuwa tattoo ya mchoro tofauti ila position ni hiohio.
Hata kwa hawa celebs wenye scandal za kukoboana wengi wao wana tattoo aina hio.
Sasa najiuliza je huo ndio utambulisho wao kwenye jamii ili wajuane?
Nifah cocastic Madame B Dr. Mariposa