tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania KERO MWAUWASA imewaangusha wakazi wa Mwanza tatizo la maji limegeuka fedheha ya kudumu

    Kile kinachoendelea Mwanza si hitilafu ya kawaida, bali ni aibu ya wazi, uzembe wa makusudi na kutowajibika kwa kiwango cha juu kabisa kutoka MWAUWASA. Mwezi mzima uliopita Nyegezi haikuwa na tone la maji. Hakuna taarifa, hakuna maelezo, hakuna uwajibikaji—mpaka wananchi walipopiga kelele ndipo...
  2. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na tatizo la internet usiku wa kuamkia leo? Au mimi pekee ndiyo nimeona

    GT Majira ya sa tisa kama na nusu hivi Internet kama ilikata mpaka saa kumi na moja alfajiri Siyo Internet tu lakini hata simu zilikuwa hazitoki. Niliogopa na kufurahi kwa wakati mmoja nikahisi labda Bi kidude kaenda kusalimia malaika
  3. JamiiForums Tanzania Tukisikia kanisa katoliki limehujumiwa kwa namna yoyote ile au viongozi wao kudhuriwa; tunajua tatizo liko wapi

    Data zimetunzwa!
  4. JamiiForums Tanzania Siku zote mifumo ya kijamaa ina tatizo la uwajibikaji. Tume za Uchunguzi hazisaidii kitu

    Tukubali tukatae, kisiasa na kwa upana wake hata kwenye masuala ya usalama, Tanzania bado ipo katika mfumo wa kijamaa. Ndiyo maana unasikia kelele zisizoisha za Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi. Ni kwa sababu kimsingi, nchi ina mfumo tofauti na ule ambao watu wanaaminishwa unaendesha maisha...
  5. JamiiForums Tanzania Utetezi wa Ridhiwani na asili ya tatizo

    Sikusikiliza utetezi wake kwakuwa kwa asilimia 100 atakana uhusika na blahblah zingine Hapa nataka tujadili asili/chanzo cha tatizo mwendelezo hadi ukomavu na athari zilizotokea sasa Tatizo lilizaliwa kipindi cha Rais Benjamin Mkapa hasa kipindi chake cha 2000-2005 pale aliporuhusu wanasiasa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
  7. JamiiForums Tanzania Tatizo la kuongea sana: Serikali yazidi kujichanganya. Muliro alisema AI, Msigwa asema picha zilizopigwa kwa simu

    Kwa namna Serikali ya Samia inavyozidi kujichanganya ndivyo inavyozidi kuithibitishia Dunia kuwa ni lazima pawepo Uchunguzi huru wa Kimafaifa kuhusu Mauaji ya Maelfu ya Watanzania yaliyofanywa na Samia na wakuu wake wa vyombo vya dola. Wakati anahojiwa na DW, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dar...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza

    Serikali fake: Tatizo ni kubwa haiwezekani kusingizia tena! Kubalini makosa kwanza. Hamtaweza kusingizia TEC, Chadema wala Diaspora. Tatizo la yote ni moja tu HAKI bila kuweka utaratibu wa kupata HAKI yote mnayofanya ni bure. Mazoea ya kujidanganya yamefika mwisho
  9. JamiiForums Tanzania Kwa nini raisa Samia hakubali ukweli kuwa ufisadi na upendeleo wa familia yake na Kikwete ni tatizo kubwa?

    Kuna familia tatu hapa nchini zimegeuza hili taifa kuwa la kisultani. Hili suala linawakera na kuwaudhi watanzania. Hizo familia zinajulikana. Maandamano ya Oktoba 29 watu wengi wamepoteza mali sababu tu zilihisiwa kuwa mali za Ridhiwani Kikwete. Au wataoto wa hayati Mwinyi au Familia ya rais...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Tatizo ni Rais kujiona kama Mungu, Infallible, Omnipotent , Alpha na Omega

    Solution to this ni kidai Katiba pendekezwa ya Warioba. Short of that kuna mauaji mengine yanakuja. TEC wameliweka vema kabisa katika waraka wao, la Katiba mpya na watawala kuwasililiza wananchi. Hatuna haja ya D9, "Rais" Samia tekeleza yakupasayo, na kweli itakuweka HURU
  11. JamiiForums Tanzania Kiini Cha Tatizo... Zingatia Neno "kiini Cha Tatizo".

    Zingatieni.. Kiiiniii... Yani kiinii Oya. Imeisha
  12. JamiiForums Tanzania Hawa nao ni sehemu ya tatizo la Tanganyika

    Wakati tukiendelea kuomboleza , madhira yaliyotukuta katika harakati za kutimiza haki yetu ya kikatiba ya maandamano ya amani. Tuendelee kuwatupia macho yetu watu ambao kamwe abadani sisi kama waTanganyika hatupaswi kuwaunga mkono katika mambo yao ya kisiasa sababu nao wamekua sehemu muhimu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tatizo la huyu mama ni dharau na kiburi cha madaraka

    She must GOOOOOOOOO!!!
  14. JamiiForums Tanzania Fursa za kuwekeza wilayani biharamulo, ardhi sio tatizo ,karibu

    BIHARAMULO REAL ESTATE / INVESTMENT Biharamulo ndio Eneo lenye mvua za kutosha zaidi katika mkoa wa kagera ,ardhi yenye rutuba, miundombinu imara, idadi kubwa ya watu kwa sensa ya kitaifa 2022, na muunganiko wa nchi za burundi Rwanda, Uganda na Mkoa wa Kigoma hadi DRC 📞 +255 763 773 192...
  15. JamiiForums Tanzania Gharama za iPhone mpya kuanzia 2007-2025!

    Hapo mwanzo, iPhone zilikua na bei ya kawaida tu. Ila sahivi.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia 3 zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo

    Kama vyombo vya usalama vitaruhuru familia nne zitawale watanzania milion 65 ! Tatizo ni uzalendo. Tuna vyombo vya machawa sio vyombo vya usalama . familia hizo ni Mwinyi Samia Kikwete
  17. D

    JamiiForums Tanzania Nasumbuliwa na tatizo la low blood pressure

    Tatizo nimekuwa nalo Kwa mwezi mmoja sasa, nilianza kujihisi dhaifu wa mwili kwa wiki kadhaa na pia kuanza kupata maumivu mepesi mepesi eneo la moyo pamoja na bega pamoja na mkono wa kushoto. Katika kujitafakari nilipojipima blood pressure nikagundua kumbe ipo chini, hilo tatizo wiki ya pili...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Tatizo linalokula data za watu bila mtu kufahamu hapa kwenye pagination ya chapisho

    Habari, Pagination ni nini ? kitaalamu pagination ni zile buttons za next and prev hizi zinakuwezesha kuona comment zaidi zilizo hide mfano 1, 2, 3, 4, 5, 7 ambapo hapa jamiiforums zipo pale kwenye comment section tupo pamoja. Mfumo wa pagination unaotumika sasa hivi kwenye JamiiForums (ule...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa Afrika wana tatizo kubwa la ushamba wa kuonesha ubabe kwa raia, kama mtu kakosea akamatwe sio sawa kumpiga au kumdhalilisha hadharani.

    Uvae uniform ya kijeshi hata inayofanana kwa mbali, upite sehemu yao hata kwa bahati mbaya, u overtake gari yao, n.k. wao huona ndio nafasi ya kuweza kuonea raia na kujichukulia sheria mkononi watakufuata bila kutaka kujua sababu yoyote, watakuchangia kukupa kipigo kikali, kukurukisha kichura...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo lipo wapi?

    Huenda linaanzia hapa, Wenye mamlaka hawajui kama wana-mamlaka wanabaki kulalama, Wangetumia mamlaka yao wasingelalama. Waliopewa mamlaka wanahisi wao ndiyo wenye mamlaka, Na kutokana na ufahamu wao wanapambana kuwaaminisha wenye mamlaka kwamba wao ndiyo wenye maamlaka. Kinachofuata ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…