tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Maadhimisho ya Sherehe za Nane Nane yatatue tatizo la Ajira kwa Vijana wa Vyuo Vikuu Nchini

    Masala sayi 08, August 2021 Chuo Kikuu cha Iringa. Kila ifikapo tarehe 08, August ya kila mwaka Tanzania huadhimisha sikukuu ya wakulima ambapo lengo kuu la sikukuu hiyo ni kuangalia mafanikio ya wakulima, wafugaji na wavuvi kwa mwaka husika, hivyo serikali kupitia wizara ya kilimo huandaa...
  2. JamiiForums Tanzania Tatizo nyota au? Ni wiki sasa Jealous ya Alikiba haijashika namba 1 trending licha ya views nyingi

    Mmakonde kaamua kumkata matumaini kabisa Binafsi nashangaa kuona hii ni video ya pili mfululizo ya kiba haijafika kilele cha trending, Nahisi ni sababu Ali kiba kaanza kulipia matangazo ya kulipia fb na insta ya sponsored (kama la kwenye picha ya chini), haya matangazo unaweza kuchagya...
  3. JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi wa tatizo la figo

    Ni mateso makubwa sana inapokukuta hii msaada wa anayejua nini cha kufanya au kunywa kulinda figo zisifeli
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu kwa wanaume kwa kutumia nguvu za kiroho

    Utangulizi Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume/vijana ni tatizo ambalo limekua likizidi kukua hasa kwa watu walizaliwa miaka ya 80, 90 na 2000. Wahenga wanasema kwamba vita vingi tunavyovipigana ndani ya vichwa vyetu hua sio halisi, Kwamba mambo tunayoyafikiria na kuyahofu kwenye maisha...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Ni kwa namna gani tutapunguza tatizo la ajira kwa vijana kutoka vyuoni

    NI KWANAMNA GANI TUTAPUNGUZA TATIZO LA AJIRA KWA VIJANA KUTOKA VYUONI Elimu ya juu kila mwaka inazalisha vijana wapya wenye taaluma mbalimbali ambao wanakuja kushindana kwenye soko la ajira.Vijana hawa wana zidi kuongezaka mtaani na kufanya tatizo la ajira kuwa suguu Ila kwa elimu...
  6. JamiiForums Tanzania Tatizo la gundi (tapes) katika madirisha ya alluminium

    Nilijenga nyumba ya shambani maeneo ya Mkuranga ambayo nikiwa naenda kufanya kilimo nafikia pale. Tatizo limetokea nilipoweka madirisha ya alluminium yalikuja na zile tapes za kuzuia yasichunike ambazo zina nembo ya kampuni iliyotengeneza. Nilipoyaweka fundi alishauri tusiyabandue mpaka siku ya...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yajielekeza kuondoa kabisa tatizo la usikivu wa radio ifikapo 2025

    SERIKALI YAJIELEKEZA KUONDOA KABISA TATIZO LA USIKIVU WA RADIO IFIKAPO 2025. Mpaka sasa asilimia 66 ya maeneo ya kijeografia yanapata mawasiliano Yafungua milango kwa wadau kutumia miundombinu ya Serikali Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe, Dkt. Faustine Ndugulile amesema...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Tiba la tatizo la low sperm count

    Habari wana Jf. Mimi n Mwanaume mwenye miaka 30, Nipo kwenye ndoa takriban 4yrs. Ndan ya hyo miaka sijabahitika kupata mtoto, nikahamasika kwenda hospital kupata vipimo na mke wngu ndipo ika gunduliko mm ndio mwenye shida nikiwa na tatizo la low sperm count. Kwa takriban 2yrs nahangaika na hili...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Bado hujaona hili ni tatizo tu?

    Ukimsikiliza Ndugai wa leo sio yule wa miezi miwli nyuma kipindi Mama Samia anashika madaraka, huyu wa sasa amerejea kwenye jeuri na kejeri zilezile za utawala wa Magufuli, Anauhakika na anakokwenda. Ukimsikiliza Mwigulu wa sasa, sio yule wa mwanzo wa utawala wa Mama Samia, Mwigulu wa sasa ana...
  10. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo si Mfumo wa Elimu bali ufinyu wa fursa za ajira

    TATIZO SI MFUMO WA ELIMU Kumekuwapo na mjadala kuhusu mfumo wetu wa elimu.Tuliowengi tunasema mfumo wetu wa elimu ni mbovu na kwamba ndiyo maana vijana wengi wanamaliza vyuo vikuu lakini hawawezi kujiajiri. Kelele ziko kila kona ya nchi. Malalamishi haya hayatoki kwa wananchi wa kawaida tu...
  11. JamiiForums Tanzania Nina miaka 43 na nimeshajenga, tatizo ni gari

    Wakuu wangu habari zenu. Ama baada ya kiwasabahi title inajieleza, hata watoto wanasema mama/bana nunua gari. Kiukweli shida kubwa kwangu ni usafiri uwezo wa kununua ninao, ada nalipa mamilioni, tatizo ni woga kuingia road. Woga mwingine ni mahuruma. Mimi nina mahuruma sana, nikikuta mtu...
  12. J

    JamiiForums Tanzania SoC01 Tutumie ubunifu wa vijana kupunguza tatizo la ajira

    AJIRA kwa vijana inaendelea kuwa tatizo kubwa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla. Kila kukicha idadi ya vijana inaendelea kukua na mahitaji ya namna bora ya kupata ajira yanazidi kupungua. Ni imani yangu ya kuwa hakuna suluhisho la moja kwa moja la kutatua tatizo la ajira kwa vijana Tanzania...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Elimu bure iondolewe tupunguze tatizo la ajira

    Janga la ukosefu wa ajira linaloikumba nchi yetu limepelekea kushuka thamani kwa elimu na kudharauliwa wenye elimu. Watu wamefikia kusema huku mtaani kwamba hakuna haja ya kusomesha watoto kama wakimaliza tunaendelea kukaa nao nyumbani na hawaajiriwi. Lakini kwa upande wa waajiri katika sekta...
  14. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Matatizo makubwa yanazaliwa kwa utatuzi mbaya wa tatizo dogo

    Kilichonifanya niandike ujumbe huu ni baada ya kukutana na kisa kimoja kilichonitoa machozi. Ilikuwa kama mida ya saa saba mchana rafiki yangu (jina nalihifadhi) alinifata nyumbani kwangu napoishi, nilimkaribisha ndani bahati nzuri alifika mda ambao nilikuwa napata chakula cha mchana na familia...
  15. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi jamii inavyopata athari kwa kupuuza tatizo la Saikolojia

    Wanasaikologia mpo wapi? Na kama mpo mnafanya nini? Jamii inahitaji msaada kutoka kwenu. Wanasaikolojia ni watu ambao ni muhimu sana katika afya ya kila mtu na hapa nchini huwa tunapokea wahitimu wapya kila mwaka wa masuala ya saikolojia lakini mimi sijawahi waona. Hivi kwanini tusiwatumie...
  16. JamiiForums Tanzania AUDIO: Hili ni tatizo gani kwenye engine?

    Toyota IST ncp61. Huo mlio wa kugonga gonga kwenye engine unasikika baada ya engine kupata joto (warm up). Yaani unapowasha gari hausikiki, ila baada ya muda fulani engine ikiwa imewaka au ukiendesha halafu ukapark at idle ndipo huo mlio unasikika. Gari ikiwa kwenye mwendo hausikiki. Nikisimama...
  17. JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tumesikia malalamiko ya Watanzania kuhusu tozo za miamala na Rais ametoa maelekezo ya kuzitazama upya

    Mhe. Rais naye ameguswa na jambo hili, amesikia maoni ya Watanzania wote, ameshatoa maelekezo kwamba tuyafanyie kazi haya malalamiko ambayo wananchi wanayatoa." - Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba. Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Mwigulu Nchemba, amesema jambo hilo tayari limefika...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Tatizo la ajira kwa wasomi, madhara na ufumbuzi wake

    SABABU ZA TATIZO LA AJIRA KWA WASOMI, MADHARA NA UFUMBUZI WAKE TANZANIA. Utangulizi Tatizo la ajira kwa wasomi ni janga la dunia mzima lakini limeathiri zaidi katika nchi zilizo kusini mwa jangwa la Sahara. Tatizo hili linahusisha kuwa na idadi kubwa ya watu wenye ujuzi, maarifa na uwezi mzuri...
  19. JamiiForums Tanzania Picha kali za Instagram na Facebook ni tatizo kwa vijana wa leo

    Utandawazi umekuwa mkubwa sana. Vijana wanapenda kuwa inspired na vijana wenzao ambao kimuoneokano na picha nzuri za Photoshop wanazo-post mtandaoni na kuonyesha mafanikio fake yanavyo waharibu vijana wengine. Na kuhisi kama vile kila anaepost picha kali Instagram au Facebook basi amefanikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Sanaa ni njia nzuri ya kutatua tatizo la ajira, Tusipuuze

    HIVI UNAJUA MAPENGO YA KINYWA CHA SANAA YANAWEZA KUZIBIKA KAMA TUKIAMUA? 'Licha ya jopo la madaktari kupambana Na changamoto za kinywa hiki, bado tatizo sugu la mapengo limeonekana kuwazidi nguvu, kinywa kinazidi kupata mapengo kila uchwao' Leo nakukaribisha uone muundo halisi wa Kinywa hiki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…