Naomba msaada kwa hili tatizo la chafya kwa mtoto mchanga

Mtanzatozo

JF-Expert Member
Mar 2, 2016
972
1,163
Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku!

Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda kiasi cha mke wangu kuwa na wasiwasi.

Shukrani, nawasilisha.
 
akianza kwikwi anasusa ziwa! mwenyewe anamwekea viuzi kwenye paji lakin bado
 
Wakuu habari za kila siku na majukumu ya utafutaji wa kila siku!

Naomba msaada, ushauri au tiba! mwanangu ana chini ya wiki moja tangu tumpokee☺️ ila anasumbuliwa na kwikwi inayodumu kwa muda kiasi cha mke wangu kuwa na wasiwasi.

Shukrani, nawasilisha.

Ndio mtoto wako wa kwanza?
 
mbona mods mmechange uzi wangu? au ndo nimevamiwa/ mimi nimeandika uzi wa kwikwi nyie mnaandika kwikwi imekuwaje tena..
 
Back
Top Bottom