tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mnao fanya maombi ya mkopo kwenye tovuti ya HESLB hili tatizo linasababishwa na nini?

    Nipo nafanya maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu kwenye tovuti ya bodi ya mikopo ya elimu ya juu. Nimefika sehemu ya mdhamini, kila nikijaza taarifa za mdhamini na kusave napata hiyo shida kwenye picha. Je sababu ni nini.
  2. JamiiForums Tanzania Mnao tuma maombi ya mkopo hili tatizo linasababishwa na nini?

    Nipo nafanya maombi yangu ya mkopo wa elimu ya juu. Nimefika sehemu ya mdhamini, napata hiyo shida kwenye picha. Je sababu ni nini.
  3. JamiiForums Tanzania Nina tatizo la dharula Halotel napiga 0 kuongea na huduma kwa wateja hawapokei kuanzia saa 9

    Ndugu zangu mwenye kufahamu namba tofauti na 0 ya huduma kwa wateja halotel anisaidie maana nimepiga hiyo 0 wala haipokelewi tokea saa 9
  4. D

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazosababishwa na pikipiki (boda) kwa jiji la Dar es Salaam

    Tatizo kubwa la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki(boda) katika jiji la Dar es Salaam Andiko langu linahusu tatizo sugu la ajali za barabarani zinazohusisha pikipiki (boda) katika jiji la Dar es salaam linavyoleta madhala makubwa kwa jamii. Dar es Salaam ni jiji kubwa linaloongoza kwa...
  5. JamiiForums Tanzania 'Gynaecologists' mlioko hapa JamiiForums hili tatizo la 'Tamu' nyingi Siku hizi Kutema sana inatokana na nini?

    Na hili tatizo la Tamu nyingi Kutema limeanza hasa hasa miaka hii ya karibuni ila Tamu za miaka ya kuanzia 1999 kurudi nyuma ilikuwa ni Nadra kuzikita "zikitema' ila za kuanzia miaka ya 2000 hata kabla hujazila tayari zinakukaribisha kwa 'Kutema' Kwake. Hebu tusaidieni tafadhali ili litatulike.
  6. JamiiForums Tanzania Mwenye kujua mbegu bora ya hoho yenye matokeo mazuri dhidi ya tatizo la kinyaushi

    Wakuu habari. Naombeni msaada anayeijua mbegu bora ya hoho inayoweza kabiliana na tatizo la kinyaushi. Aise ili tatizo limekuwa changamoto sana kwa baadhi ya mazao ya mbogamboga. Ikiwezekana taja jina la mbegu na bei yake kulingana na gram Nitashukru sana nikipata huo msaada
  7. JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la Ajira Tanzania: Nini Kifanyike

    UTANGULIZI Tatizo la ajira limekua mtambuka duniani Kwa sasa, nchi nyingi duniani zimekua zikikutana na changamoto hii hususani katika kipindi hiki ambacho dunia inashuhudua anguko la uchumi kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo athari za ugonjwa wa virusi vya Corona pamoja na vita...
  8. JamiiForums Tanzania Wenye tatizo la usikuvu hafifu kama langu tukutane hapa kupeana faraja

    Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 kwa sasa naishi iringa mjini, nimeondoka dar february baada ya kula sana msoto nikaamua ngoja niende sehemu ambayo hakuna anaenijua nipate utulivu wa akili, hapa iringa nimepewa hifadhi ya kulala tu na ndugu. Twende kwenye main topic sasa, nina tatizo la...
  9. JamiiForums Tanzania 70% ya Wagonjwa wa Kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya MZRH Mbeya wana tatizo la uti wa mgongo

    Asilimia 70 ya wagonjwa wanaopata matibabu katika kitengo cha Fiziotherapi Hospitali ya Rufani ya Kanda Mbeya, wanasumbuliwa na matatizo ya uti wa mgongo huku chanzo kikubwa kikitajwa ni kukaa kwa muda kwenye viti ambavyo havina teknolojia ya kuepukana na tatizo hilo. Vilevile, imebainishwa...
  10. JamiiForums Tanzania Chalamila, badala ya kuzunguka Mkoa wa Kagera ukilalamika na kuzogoa, tafuta Suluhu, vinginevyo wapinzani unawapa njia, shirikiana ujue tatizo

    Mkuu wa Mkoa wa Kagera, anacheza blame game. Kwa kagera hii itamtoa nje ya mchezo. Ni kweli Mkoa una changamoto, namshauri akae na wadau wa Mkoa. Waone mikakati na mbinu za kuukomboa Mkoa. Muda anaotumia kushambulia na kulalamika, hautasaidia lolote. Kahawa imekufa, sawa, lakini kina zao la...
  11. JamiiForums Tanzania Tatizo la Simba ni lipi haswa?

    Nani alaumiwe kwa yanayoendelea msimbazi?Tafadhali piga kura yako hapa A. UONGOZI B. MWEKEZAJI C. WACHEZAJI D. BENCHI LA UFUNDI Tafadhali piga kura yako hapa
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tatizo la ajira nchini ni taarifa kwa mamlaka husika kupitia upya mitaala ya elimu inayotumika nchini

    Chakula, malazi na makazi ni mahitaji ambayo kila mwanadamu lazima ayapate kila, ndio maana yamewekwa katika mahitaji ya msingi ya mwanadamu. Kila siku mwanadamu anapambana ili kuhakikisha anakua na uhakika wa nini atakula, nini atavaa na wapi atalala. Kabla ya kufikiria ubora wa mahitaji haya...
  13. JamiiForums Tanzania January Makamba: Nikifeli mimi imefeli nchi, kama una matatizo na Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tafuta jambo lingine

    Waziri wa Nishati Januari Makamba amesema "Nikifeli mimi imefeli nchi akifeli rais imefeli nchi" kama una matatizo Mh Samia kuwa Rais na mimi kuwa Waziri tutafute jambo lingine sio mambo ya nchi
  14. JamiiForums Tanzania Asante Serikali kwa kuliona tatizo pale TFF

    Nilisema hapa bila utashi wa kisiasa soka letu haliwezi kusonga mbele kwa kuendelea kuongozwa na watu wa visasi kama kina Karia. Heko sasa Serikali mmeanza kumtafuta polepole mchawi wa soka letu. NB: Karia dalili ya mvua ni mawingu-jiongeze.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mlionitukana niliposema kuwa ndani ya Simba SC kuna tatizo kubwa, rudini tena mnitukane

    Haiingii Akilini Kocha Mkuu umemtafuta Mwenyewe na Dela lako Mchongoko na Miguu yako ya Fito na Mwili wa Fidodido tena Ukatuhakikishia ni bonge la Kocha halafu leo ghafla tu mnaachana nae. Maumivu ya Kutuletea Kocha Mzoa Taka wa Jijini Madrid aliyekuwa akifundisha Real Madrid ya Temeke Mwembe...
  16. JamiiForums Tanzania SoC02 Muziki wa kizazi kipya (Bongo Fleva) unavyoweza kutumika kutatua tatizo la ajira nchini Tanzania

    Utangulizi Leo nitaongelea mada inayohusu muziki wa kizazi kipya na jinsi muziki huo unavyoweza kutumiwa kikamilifu kutoa ajira kwa vijana ili kupunguza tatizo la ajira kwa vijana hapa nchini. Lakini kabla sijaendelea mbele, naomba nielezee mkwamo unaosababisha biashara ya muziki huu usipanuke...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Tatizo la NHIf ni mpango kazi

    Tatizo la NHIF mpango kazi wao hauendani na mapato yao, na hii ni kwa sababu hakuweka watu sahihi katika kutengeneza, mpango kazi katika shughuli zao za kila siku na mipango yao ya muda mfupi na muda mrefu. Pili, inaonyesha pia wajumbe wa bodi pia unamapungufu katika kusimamia na kuthibitisha...
  18. JamiiForums Tanzania Tatizo halikuwa Poulsen bali TFF, mrudisheni

    Ligi yetu inachezeshwa vibaya, ligi yetu Ina wageni wengi mno, timu imejaa wazee, watoto wadogo hawana makocha na TFF inahangaika mno na Simba na Yanga kuliko mpira wenyewe. Tulimbebesha lawana yule Mnigeria tukamfukuza na sasa tunamlaumu Mzungu tumemfukuza lakini vipigo vikabaki palepale. Ona...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Chimbuko la vitambi linatoka wizara ya elimu na afya, siyo jeshi la polisi

    Jeshi la Polisi wamekuwa wakinyooshewa vidole juu ya vitambi. Lakini shida inatoka wizara ya elimu na afya. Shida ya vitambi na msururu wa magonjwa yasiyoambukizwa chimbuko lake ni wizara ya elimu kutoa elimu mbovu kwa watu kwenye chakula na wizara ya afya kutotoa mwongozo sahihi. Tulitegemea...
  20. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Uchaguzi Kenya: Masanduku 9 kati ya 15 ya Kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya hayana hitilafu

    Uchunguzi wa kundi la kwanza la masanduku 9 kati ya 15 ya kura zilizoagizwa kuhesabiwa upya na Mahakama ya Juu haukuweza kuonesha hitilafu zozote za wazi katika matokeo ya uchaguzi wa Urais. Wakati wa kuchapisha, ni masanduku tisa pekee kati ya 15 ya kura yalikuwa yamefunguliwa, kuchunguzwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…