tatizo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi inakuwaje nchi kama USA na baadhi ya nchi za ulaya hakuna Tatizo la ajira kama nchi zingine?

    Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
  2. A

    DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  3. S

    Kanda ya Ziwa tatizo la Saratani ni kubwa, Wizara ya Afya itoke hadharani iweke takwimu halisi na chanzo

    .
  4. Naomba msaada nina tatizo la Tonsils

    Habari za majukumu wakuu, ndugu zangu nimekuwa nasumbuliwa na tonsils za upande wa kulia mda mrefu. Nimetumia antibiotics hasa amoxicillin kwa muda mrefu lakini zinarudia mara kwa mara. Nilishaacha hata kunywa vitu vya baridi lakini bado. Nina imani humu kuna wataalamu mbalimbali na wenye...
  5. Mixx by Yas kuna tatizo gani? Mbona miamala aitoki

    Mixx by Yas kuna tatizo gani? Mbona miamala aitoki
  6. Je ni kweli kahawa inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba

    Habari wakuu Ivi ni kweli kahawa hua inaongeza hatari kwa mwanaume kupata tatizo la tezi dume kuvimba . Hii ni kutokana na experience niliyoiona kwa sehemu ambazo zinazalisha zao la kahawa wanaume wengi ambao wana umri wa miaka zaidi ya 45 kua na tazizo hili. Kwenu wakuu
  7. Kocha wa Simba ndio tatizo na hakika hatutofuzu, hana plan B kabisa, wachezaji wa kuamua mechi unawaweka benchi

    Ndio sijakosea, ni kocha anaye tabirika, Al Mary sio timu ya kutisha kivile ila wenzetu walishamsoma kocha Hana mbinu mbadala. Hata kikosi chake kinatabirika na nitakutajia Camara KAPOMBE ZIMBWE Chamoue Hamza Ngoma Kagoma Kibu Ahoua Ateba Mpanzu Akibadilisha mchezaji hata mmoja hapo nipo...
  8. Tatizo la macho, jicho kutoa kinyama juu

    Wakuu kwema? Kuna changamoto hapa jicho limetoa kijipu kina takriban miezi mitatu hakiponi wala hakipotei kama kilivyoadiriwa. Ni dawa gan inatibu hili? Cc. DR HAYA LAND
  9. TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
  10. Binafsi nikiona mtu Personality yake imemezwa na ushabiki wa Simba na Yanga huwaga napata mashaka na IQ yake

    Unakutana na Mtu anaamka asubuhi akifika tu kwenye kijiwe cha kahawa au mgahawani lazima itakuwa ndio mada atakayodiscuss kwanza kuliko kingine chochote na bora ingekuwa vitu concrete katika timu yake ya aidha simba au yanga bali utakuta ni udaku Akitoka kwenye kijiwe hicho cha kahawa akasogea...
  11. Tatizo la acid reflux

    Habari za Leo wakuu. Mimi ninasumbuliwa na acid reflux yaani mapigo ya moyo yanaenda Kasi Sana afu tumbo kujaa gesi kiungulia Kwa Sana afu unakuta Koo linakuwa la moto Sana unajikuta unakunywa maji Sana afu ata nguvu za kiume zinakosekana pia chini ya uti wa mgongo karibia na kiuno kunawaka...
  12. Wajuzi nawezaje ku solve hili tatizo

  13. A

    Airtel mna tatizo gani kuanzia saa 9 jioni baadhi ya maoneo video hazichezi

    Nimekutana na rafiki yangu mmoja akasema Huwa hampatikani kwa video play,lkn nimejaribu Leo video hazichezi,naombeni mitandao yote ya simu kupitia Tcra via u - tube mtoe access,watu tumetoka katika kazi ngumu tunataka tuangalie movies lkn haturuhusiwi shida nn,au kodi imetosha
  14. Je ulaji wa ndege aina ya Anhinga una tatizo?

    Anhinga ama kisayansi kwa jina la Anhinga rufa, ni ndege anayepatikana hasa katika maeneo ya kusini mwa Afrika. Ndege huyu ni maarufu kwa uwezo wake mkubwa wa kuvua samaki na hata kula nyoka, akitumia mbinu zake za kipekee katika kuwinda. Hata hivyo, kuna watu ambao hula nyama ya ndege huyu...
  15. Kuna tatizo kubwa na la makusudi kabisa katika hili.

    Wanahamasisha watu wajiandikishe katika daftari la mpiga kura. Wanahamasisha watu wapige kura. Lakini hawa hamasishi uhuru wakati wa kupiga kura na kulinda kura. Hawahamasishi uwepo wa tume huru ya uchaguzi. Hawahamasishi uhuru wa vyombo vya Habari na usawa katika kutoa taarifa. Hawa...
  16. K

    Kukosekana kwa vipaji CCM ni tatizo

    Yaani kupata watu ambao wanapedwa kweli CCM hii ni ngumu sana na ndiyo kitu wanachozidiwa na Chadema na hawapati namna. Viongozi wengi wameingia kwa rushwa na sio kupedwa kama zamani. . Ndiyo maana CCM imechuja na njia pekee ya kushinda ni wizi. Nani leo hii anaweza kufananishwa na majembe ya...
  17. R

    Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  18. P

    Salamu kutoka kwa Trump: Je, vitu kuwa bei nafuu ni Tatizo?

    Katika lawama za wachina kuwepo nchini, reference ya watu wengi ni vitu kuwa bei nafuu. Kwa miaka kadhaa watu wamelalama vitu kuwa bei juu inakuwaje sasa watu wanaanza kulaumu vitu kuwa bei nafuu? Je, wanaolalama vitu bei nafuu ni kwa manufaa ya nani? Suala la soko la ndani hoja nyingine...
  19. Kwa miaka ijayo itakavyokuwa ni kwamba tatizo sio fremu bali kipi utafanya kwenye biashara hiyo

    Miaka ya nyumba sehemu zikufanyia shuguli zilikuwa ni chache ila mda ulipofikia miaka 2000 kusogea biashara nyingi zimeongezeka na kupelekea fremu kuwa chache na wenye nyumba kupandisha kodi kila kukicha. Kwa miaka ijayo kila mmiliki wa nyumba anataka kujenga fremu nyingi kwa sasa unakuta...
  20. Hili tatizo la kukosa usingizi usiku, ninalo peke yangu au?

    Hili tatizo la kukosa usingizi usiku kama hivi haswa nikiwa na bando kwenye simu, hivi ninalo mimi peke yangu au?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…