tatizo la maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Insidious

    JamiiForums Tanzania KERO Ukosefu wa maji zaidi ya mwezi mmoja Tabata

    Kwenu Wahusika, Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama kubwa kupata maji hayo. Bill yetu ya hivi karibuni inaonyesha matumizi ya maji kuwa sifuri, ikionyesha...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso: Bilioni 195 kumaliza tatizo la maji Morogoro. MORUWASA Mkizingua tunazinguana

    Waziri Aweso aunguruma Morogoro Salam za Wizara ya Maji zikitolewa na Waziri wa Maji Jumaa Aweso kwa wananchi wa Manispaa ya Morogoro waliokusanyika katika uwanja wa Jamhuri katika Mkutano wa hadhara wa Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ziara inayoendelea mkoani Morogoro leo terehe 06...
  3. lugoda12

    JamiiForums Tanzania KERO Katizo la maji Kimara Dar es Salaam

    Kwa wakazi wa Kimara mwisho na maeneo yake maji hakuna kabisa, takribani siku 3 mpaka 4 sasa maji hayatoki, haijulikani sababu ni nini. Tunaomba mrejesho toka DAWASCO! ✍🏾 Pia soma - Kero ya maji Dar es Salaam - Watangaze kama kuna mgawo wa maji
  4. R

    JamiiForums Tanzania Meneja Mawasiliano MWAUWASA katoa taarifa ya uongo kuhusu kutokuwepo tatizo la maji jijini Mwanza

    Wananchi wa mkoa wa Mwanza hususani wilaya ya Ilemela na Nyamagana tunapitia katika kipindi kigumu cha upatikanaji wa huduma ya maji licha ya mradi mkubwa wa uzalishaji maji kata ya Butimba kukamilika na kuanza kutoa huduma. Baada ya malalamiko kua makubwa amejitokeza meneja wa mawasiliano wa...
  5. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania SoC04 Changamoto ya Maji Itamalizwa Kwa "Desalination", Teknolojia Ya Kisasa Kwa Nchi Kubwa

    TATIZO LA MAJI LITAISHA KWA NAMNA HII Chanzo Cha Picha: Freepik Tatizo la maji katika nchi yetu hii ya Tanzania ni changamoto kubwa inayokabili nchi, Mijini na vijijini. miundombinu ya maji safi na salama isiyo na ubora ni moja ya sababu kuu. Maeneo mengi hayana mabomba ya maji ya kutosha au...
  6. R

    JamiiForums Tanzania SoC04 Nini kifanyike Kumaliza tatizo la maji na ubovu wa miundombinu hasa ya Barabara vijijini na mijini kuelekea Tanzania tuitakayo

    Kwa miaka mingi hadi Sasa Tanzania imeendelea kukabiliwa na changamoto katika utoaji huduma ya maji Kwa wananchi pamoja na ubovu wa miundo mbinu hasa ya Barabara nchini. Changamoto katika maswala haya zimechangia Kwa namna Moja ama nyingine kufifisha Kasi ya uzalisha Kwa ghrama nafuu, kufeli Kwa...
  7. A

    JamiiForums Tanzania KERO Tatizo la maji kitongoji cha Uuwo Kati, Kijiji cha Uuwo, kata ya mwika kaskazini, Moshi Vijijini Kilimanjaro

    Naandika Tatizo hili nikilia maana ni mwaka na zaidi sasa wazazi wangu wanateseka na maji. Ukiangalia tupo karibu ya vyanzo vya maji alafu watu wachache wanafaidi sisi wa hali ya chini tunateseka. Mwaka jana walifanya kuweka mfumo mpya wa bomba za plastiki mitaani wakasema wakikamilisha wote...
  8. Cheology

    JamiiForums Tanzania KERO Saranga wilaya ya Ubungo ina tatizo kubwa la upatikanaji maji

    Ulikuja ukaagiza maji yawepo, maagizo yalitupwa kapuni. Waziri hawa watendaji wanatusababishia ubakaji kwa watoto na kinamama wakihangaika kutafuta maji. Tusaidie
  9. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Maji shule ya Sekondari Same

    Kwa wasioijua Same Sekondari ni moja ya shule Kongwe za Serikali Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1952. Shule hiyo imekuwa na wanafunzi wa kidato cha kwanza hadi cha sita (boys). Kulikuwa na jitihada kadhaa za kutaka kuleta wanafunzi wa kike (wasichana) ila ikashindikana kutokana na tatizo kubwa...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Matengenezo ya Mtambo wa Ruvu Chini yanakamilika leo, Tatizo la Maji litakwisha

    Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa DAWASA Kiula Kingu amesema matengenezo ya moja ya chujio la kuhifadhia maji katika mtambo wa kuzalisha maji Ruvu chini yatakamilika leo ambapo tatizo la maji lililodumu kwa saa 36 katika baadhi ya maeneo ya Dar es salaam na Pwani litakwisha na Watu watapata maji safi...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa umeme na maji tatizo liko wapi hasa?

    Ni upungufu wa maji? Ni ongezeko la mahitaji? Ni uchakavu wa miondombinu? Ni upungufu wa rasilimali watu? Au haijulikani hasa chanzo cha tatizo ? Wizara husika, TANESCO na idara za maji waeleze kwa upana tatizo ni nini hasa ili raia waelewe na wachangie mawazo ya kujikwamua kutoka matatizo...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tatizo la maji Kibaha Mwanarugali mwezi mzima hayatoki, huduma kwa wateja wanasema tumpigie Waziri Aweso

    Nchi ilipofikia unafokewa hadi na customer care. Bongo now kila mtu boss, wafanyakazi DAWASCO kuna shida gani ya maji mwanarugali hadi mwenzi unapita hamna maji, ukiwapigia wanasema mpigie Aweso aje! Kweli ndio tumefika huko? Tukumbuke wakati tunaomba kazi, Amina.
  13. Mshangai

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Ni aibu Jiji la Mwanza siku 7 bila maji na Ziwa Victoria bado halijakauka

    Hivi hii serikali yetu ipo kwa ajili ya nini? Kweli inakubalije jiji kubwa kama Mwanza ambalo liko pembezoni na ziwa kubwa kuliko yote Afrika la Victoria kukaa zaidi ya wiki na maeneo yake kukosa maji? Nimetembelea hapa na kukuta baadhi ya maeneo mengi wakilalamikia hali hiyo na MWAUWASA wao...
  14. T

    JamiiForums Tanzania MWAUWASA mjitathmini sio lazima kutenguliwa ndipo muwajibike

    Ahsante JamiiForums kusaidia utatuzi wa kero ya maji Mwanza. Kumekuwepo na kero kubwa ya maji katika jiji la Mwanza ingawa kuna ziwa kubwa lenye ujazo wa maji ya kutosha katika jiji hilo. Wiki iliyopita paliandikwa makala hapa JamiiForums kulalamikia mgao wa maji usioeleweka. Baada ya andiko...
  15. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Ni aibu Jiji la Mwanza kuwa na mgao wa maji

    Nianze kwa kusema ukweli kwamba Waziri Juma Aweso, Anafanya kazi kubwa ya kuhakikisha kwamba Tanzania tatizo la maji linakwisha lakini naamini watendaji wake ndio wanaomkwamisha. Ni miezi mitatu sasa Jiji la Mwanza lililozungukwa na Ziwa Kubwa barani Afrika Wakazi wake tunakosa maji wakati ziwa...
  16. sammosses

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji DSM na Pwani ni mkakati wa kudhoofisha nguvu za Rais Samia, au ni tatizo la kiufundi?

    Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana,katika moja ya kampeni za mh. Samia rais wa JMT katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,moja ya kauli mbiu yake katika miradi ya maji ni kumtua mama ndoo kichwanai. Lakini ajabu na kweli kwenye miji iliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji ndiyo inayo ongoza kwa...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwa miaka 61, chama chenye maarifa mengi (CCM), kimeshindwa kutatua tatizo la maji na umeme!

    Sisemi mengi. Hivi inakuingia akilini kuwa CCM ni chama chenye maarifa mengi kama kwa miaka 61 sasa watanzania wanakabiliwa na shida ya maji na umeme wakati nchi imezungukwa na mito, maziwa na hata bahari? Yaani watu walioshindwa kutumia maji ya maziwa (mfano ziwa victoria) katika kupambana na...
  18. Robert S Gulenga

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji limetatuliwa, la umeme litakwisha karibuni na miradi mingine yote inakamilishwa. Watanzania tuunge mkono juhudi za serikali yetu

    Serikali ya awamu ya sita haijawahi kupumzika katika kutatua kero za Watanzania, tatizo la maji lililokuwa limetokea hivi karibuni hasa kwa Wakazi wa Dar Es Salaamu limetatuliwa kwa asilimia 100, tatizo la mgao wa umeme liko mwishoni kuwa historia, kila kitu kinahitaji muda na fedha...
  19. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Rais Samia kuhusu tazizo la huduma ya maji nchini

    Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane! Kwanza kabisa napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru Mungu muumba wa mbingu na nchi kwa kutupatia uhai na afya njema. Pili, namshukuru Mungu kwa kutupatia rasilimali lukuki ambazo kwa kutokufahamu kwetu nadhani tushatumia si zaidi ya asilimia 30%...
  20. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Wachina Wana teknolojia ya upandikizaji mawingu, tuwatumie kuondoa tatizo la maji na ukame nchini

    Ndugu zangu Poleni kwa tatizo la maji na umeme lililopo nchini kwa sasa. Wachina ni marafiki ZETU wa siku nyingi tangu enzi za baba wa taifa. Tuwatumie KWENYE hii teknolojia yao ya cloud seeding tuanze KWA mikoa yenye changamoto ya maji kama Dar es salaam baadae ienee Tanzania nzima...
Back
Top Bottom