tatizo la maji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dibwi Method

    Tatizo la maji

    Sababu kuu zinazopelekea shida ya maji inayoendelea Jijini Dar es Salaam na mikoa mingine hapa nchini, ni zao la Watangulizi wa Mama. Hii shida imekuwepo kwa muda mrefu sana, haijaanza mwaka jana mwezi April 2021, tusimnyooshee kidole SSH kwa sababu tu yeye ndiye aliye madarakani kwa sasa...
  2. Rashda Zunde

    Tatizo la maji nchini mwisho 2025, Rais Samia anatekeleza

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amesema Serikali itaendelea kuboresha huduma za afya na maji katika maeneo mbalimbali nchini. Amesema anatambua matatizo yanayowakabili kina mama kutembea umbali mrefu kufuata huduma hiyo muhimu hivyo Serikali...
  3. wanzagitalewa

    Rais Samia na juhudi za kuondoa tatizo la maji nchini

    Na Yohana Mangala, Dar es Salaam Methali moja ya kiswahili inasema ‘Mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe’ ndivyo tunavyoweza kusema kwenye utendaji kazi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa namna ambavyo anafanya kazi kubwa ya kujenga taifa na kuleta...
  4. Sifi Leo

    Tuache siasa kwa maisha ya watu, Rais Samia hajaondoa tatizo la maji Dar na Pwani

    Watanzania tuache siasa za ngiriba ngiba hizi, Hivi mnasema ameondoa tatizo, mnajua kuna sehemu ndani ya wilaya Ubungo tufanye wilaya ya Kinondoni ya zamani hazina maji kabisa? Mfano eneo kama King'azi? Kifuru na Hali ya hewa haya maeneo zamani yalikuwa wilaya ya Kinondoni, kwa ngiriba za...
  5. LUS0MYA

    Tatizo la maji: Mtambo Ruvu Juu na usanii wa Dawasa, Waziri Aweso ingilia kati

    Kwa takribani wiki tatu kumekuwa na tatizo kubwa la maji kwa maeneo yanayohudumiwa na mtambo wa Ruvu Juu hususan Kibaha, Mbezi Luis, kimara nk. Cha kushangaza tarehe 12/01/22 Dawasa wametangaza kukosekana kwa huduma kwa masaa 16 kuanzia tarehe tajwa wakati tayari watu hawana maji kwa muda...
  6. K

    Kwako Waziri wa Maji: Tatizo la maji eneo la Mwananchi jijini Mwanza

    Kwanza nakusalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Leo ni tunasherehekea miaka 60 ya kumbu kumbu ya uhuru wetu. Kwa masikitiko Mhe. Waziri hapa Mwanza maeneo ya Mwananchi tuna siku ya tatu hakuna tone la maji bila hata MWAUWASA kutoa taarifa. Nimesikia likisemwa kuwa wewe ni kati...
  7. Lord Denning

    Tatizo la Maji na Ukame: Lawama zangu zote ni kwa Waziri Lukuvi na Waziri wa Mazingira

    Kuna muda ni lazima ukweli usemwe maana usiposemwa lazima kumbukumbu zitakuwa za upotoshaji Mkubwa Kwenye Tatizo linaloikumba Tanzania la ukame na ukosefu wa Maji kwa sasa lawama zangu zote nazipeleka kwa watu wafuatao 1. William Lukuvi Akiwa Waziri wa Ardhi kuanzia Awamu ya Tano, nchi yetu...
  8. Mparee2

    Kumaliza/kupunguza tatizo la maji safi Tanzania

    Wote tunafaham kuwa kumekuwa na changamoto ya maji safi ambayo pamoja na juhudi kubwa za Serikali inachukua muda kupata suluhu kwani kila wakipunguza eneo moja kuna eneo lingine linaongezeka kwa upungufu Tatizo 1. Visima/chemchem nyingi zimekauka/zinaendelea kukauka 2. Kuchimba kisima kwa...
  9. Mzee

    Tatizo la Maji Wilaya ya Sengerema lina takribani miezi 3 sasa

    Habari za Jioni. Naomba kuwasilisha kilio cha Tatizo la Maji Wilaya ya Sengerema. Ni takribani Miezi mitatu sasa kumekuwa na tatizo Sugu la Maji. Maji yanatoka siku moja, yanakatika Wiki 2. Sengerema ni Wilaya ambayo ipo Jirani na Ziwa Victoria, imezungukwa na Ziwa Victoria. Hakuna sababu ya...
Back
Top Bottom