tasaf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LGE2024 Msidanganyike, Pesa za TASAF si pesa za CCM

    Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo Bara, Ester Thomas, ametoa onyo kali dhidi ya vitendo vya kuwahusisha wananchi wanaoiunga mkono ACT Wazalendo na madai ya kufutiwa msaada wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF). Akizungumza na wananchi wa kijiji cha Masewa, kata ya Masewa, jimbo la Bariadi...
  2. Dkt Doroth Gwajima, tafadhali tufafanulie kama fedha za TASAF: Ni Mali ya chama au Serikali?

    Dkt Doroth Gwajima ni Kipenzi cha watu wa mitandaoni maana anajibu kistaarabu na anachukua hatua Kwa Malalamiko anayoyapata mitandaoni. Aje atufafanulie kama madai ya hawa Wananchi wa Kasulu ni kweli au uzushi? Kama ni kweli, sharti la kuwa na kazi ya chama liko kwenye Sera ya uchumi au sheria...
  3. Wanufaika wa TASAF washauriwa kubuni vyanzo vya mapato ili wapate maendeleo na kutoka kwenye umaskini

    Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), umewezesha walengwa wa mfuko huo kutumia ruzuku wanayopata kushiriki kilimo, hali ambayo imekuwa ikiwaongezea kipato na kuwa na uhakika wa chakula. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF, Shadrack Mziray wakati akizungumza na waandishi wa habari...
  4. Rais Samia amteua Shedrack Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Bwana Shedrack Salmin Mziray kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii - TASAF kuanzia tarehe 03 Julai 2024. Kabla ya uteuzi huu Bwana Mziray alikuwa Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Ndani (TASAF). Bwana Mziray...
  5. TASAF ya Tsh 24,000 kwa mwezi ni utani

    Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June. TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa. TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
  6. SoC04 TASAF iwe ya kujenga fikra za walengwa kujijenga/ kujikuza kiuchumi na siyo kuwa tegemezi

    Mfuko wa maendeleo ya jamii ulioanzishwa mnamo mwaka 2000 katika moja ya lengo lake lake la kuinua kaya masikini kwa kuwapatia kiasi cha fedha za kujikimu kulingana na mahitaji husika mfano kulipia watoto shule , matibabu n.k Ulikuwa ni mpango wenye nia nzuri na kwa kiasi fulani umesaidia sana...
  7. SoC04 Tanzania we Want: TASAF for the benefit of the Society

    The Tanzanian government has received 50.13 billion shillings to fund the Second Phase PSSN II Program for the Survival of Poor Households, which is managed by the Community Development Fund TASAF. The Swiss Government has donated more than 45.09 billion shillings, while the Irish Government has...
  8. Naibu Spika: Kuna watumishi wa TASAF bado wanaingiza ndugu zao kwenye Malipo

    DODOMA: Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu amesema kuna Watu wasio na sifa lakini wameingizwa kwenye Mpango wa Kunusuru Kaya Masikini (TASAF) kinyume na malengo ya mpango huo. Akijibu taarifa iliyotolewa na Naibu Waziri katika Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora...
  9. A

    DOKEZO TASAF kwa sasa haimnufaishi mlengwa. Serikali chunguzeni

    Natambua kuwa nia ya serikali kuanzisha mfuko huu ilikuwa ni kuwapunguzia makali ya umasikini baadhi ya wananchi wasio na vipato kabisa. Kundi hili ni la wazee, yatima, walemavu, nk. Utafiti wangu mdogo umenionesha kuwa TASAF imekuwa ikinufaisha zaid wasimamizi/watendaji wa mfuko kuliko...
  10. Barabara za TASAF ni kuwatesa wananchi halafu mbona hazina usimamizi mzuri kutoka kwa wataalamu wa barabara?

    Habari... Kuna ule utaratibu wa serikali kutoa fedha kwa kaya zisizojiweza maarufu kama fedha za TASAF. Sasa pesa hizo kuanzia mwaka jana nimeona serikali imekuja na utaratibu mzuri ila usimamizi wake utaratibu huu si mzuri kabisa Nimeona vijijini wananchi kuanzia mwaka jana waliambiwa wachimbe...
  11. B

    Ridhiwan Kikwete: Serikali kutowafumbia macho wanaofuja fedha za TASAF

    Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ndg. Ridhiwani Kikwete amewaonya watumishi na waratibu wa mradi wa kuondoa umaskini (TASAF) kuhusu matumizi mabaya ya pesa za mradi na kutofuata maelekezo yaliyotolewa kusimamia mradi huo. Serikali imeeleza haya Bungeni wakati wakijibu...
  12. B

    Ridhiwani Kikwete: Serikali kuendelea kutoa elimu kwa jamii kuibua miradi ya tasaf itakayoondoa changamoto zilizopo

    Serikali imesema miradi yote inayotekelezwa na TASAF (Mpango wa kunusuru kaya maskini) huibuliwa na jamii kwa kutumia utaratibu shirikishi unaohusisha na jamii yote na kwamba serikali itaendelea kutoa elimu kwa jamii nzima nchini kuhakikisha inaibua miradi inayotatua changamoto zao katika maeneo...
  13. Huu ndio utafiti wa TASAF kuhusu maisha ya Watanzania

    Halafu kuna wabunge wanang'ang'ana na picha ya Rais kuwekwa kwenye hela , hii nchi kiukweli aliyeipiga jini ana roho ya kikatili sana ! Kailoga bila huruma kabisa !
  14. Wanaotumwa kuwachukulia fedha za TASAF wazee na wasiojiweza wanawaibia

    Imeibainika kuwa baadhi ya ndugu, jamaa, marafiki na hata majirani wanaowachakulia fedha za mfuko wa TASAF wahusika wa makundi maalumu kama vile watu wenye ulemavu. Vipofu, wazee nk. ambao hawawezi kufuata wenyewe fedha za mfuko huo, wamekuwa wakiibiwa kwa kupewa fedha Pungufu au kutopewa kabisa...
  15. Nikiweka namba ya kitambulisho cha TASAF haikubali, nisaidieni

    Wadau kwa wale wanao appeal loan, pale kwenye kipengele kinachohusu udhamini wa TASAF, pale mimi niki weka namba ya kitambulisho cha tasaf haikubali, msaada plz
  16. Executive Director (ED) at TASAF October, 2023

    Position: Executive Director (ED) Appointing Authority: The President of the United Republic of Tanzania Reporting Relationship: National Steering Committee (NSC) Duration of Contract: Terms of Contract is two (2) years renewable on the basis of performance. Duty Station: TASAF Head Office –...
  17. B

    Ridhiwani Kikwete: Watakaoshindwa kusimamia fedha za TASAF kuondolewa, Rais Samia atoa Bilioni 51

    Naibu Waziri, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Ridhiwani Kikwete amesema katika mwaka huu wa fedha 2023/24, Rais Samia Suluhu Hassan ameelekeza Jumla ya Bilioni 51 kwa ajili ya kwenda kunufaisha Watanzania waishio katika mazingira magumu kupitia Mpango wa kuokoa...
  18. Waziri Simbachawene ashtuka, aagiza uchunguzi fedha za TASAF

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene (wapili kushoto) akielekea kukagua moja ya jengo kati ya majengo matatu ya upasuaji, afya ya uzazi na mahabara yanayojengwa na Tasaf katika Kituo cha Afya Budushi wilayani Kwimba. Picha na Saada...
  19. DOKEZO Baadhi ya Wakazi wa Arusha wailalamikia TASAF kuwapa vijana pesa huku wazee na masikini wakiachwa

    Baadhi ya wananchi wa Jiji la Arusha wamesikitishwa na upendeleo unaofanywa na TASAF kwa kuwapatia vijana wenye nguvu na wenye kujiweza pesa badala ya wahitaji wa mfuko huo ambao ni wazee wasiojiweza, na kaya maskini. Akizungumzia suala hilo Mwenyekiti wa Mtaa wa Olkirowa, Kata ya Lemara...
  20. Ushahidi kuhusu TASAF voice

    Juzi nilileta malamiko kuhusu tafas kuwakandamiza wananchi embu niambieni ninyi mnaweza kuishi kwa 40000 huu ni utapel unaofanywa Bado taasisi zingine next week nakuja nazo Sikilizq mpaka mwisho
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…