TASAF ya Tsh 24,000 kwa mwezi ni utani

TASAF ya Tsh 24,000 kwa mwezi ni utani

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
21,439
Reaction score
38,119
Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June.

TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa.

TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
 
Tasaf fedha nyingi inaishia kwa wafanyakazi wao kulipana posho na mishahara mikubwa na kupeleka wafanyakzi wote semina kila mara..
Utasema wafadhili wanatuma pesa kwa ajili ya haowafanyakazi!
 
Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June.

TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa.

TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
Ukitaka kujua hizo fedha ni ndogo na hazitoshi Jaribu KUZIFUTA, yaani wasipate chochote.
 
Jana nimekutana na Bibi CRDB wa kama miaka 80 kaja kuchukua malipo ya Tsh 24,000 ya mwezi June.

TASAF wana utaratibu wa kusaidi watu au kaya masikini Utaratibu huu ni mzuri ila kiwango cha fedha ni fedhea kubwa.

TASAF tafadhali jitahidini kupandisha kiwango Tsh 24,000 ni ndogo sana.
Kwa hali ya kijijini hizo pesa ni nyingi na zinaweza kumsaidia huyu bibi asogeze siku za kuishi bila mateso,.......neenda vijiji vya Tanzania mawilayani utaona umasikini unao ongea hata sh 5000 watu wako tayari kutoana roho.
 
Kama unahisi hela ni ndogo, aende kutafuta.

Hakuna msaada mdogo, hata kama ni jero.

Halafu pesa ya kupewa Huwa haitoshi.
 
Back
Top Bottom