tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Tarehe 09 Februari 2026. Twende Mahakamani kwa Lissu

    Twende kwa wingi. Kwa umoja, Kwa amani, Kwa utulivu Kusikiliza kesi ya Lisu kama itakuwepo maana wanaweza kupokea maagizo yoyote kutoka JUU. UPO HAPO MASAJU? USIRUHUSU MAAGIZO
  2. JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Sita, Tarehe 03 Februari, 2026

    Fuatilia LIVE HAPA: https://www.youtube.com/watch?v=wpq88St0dcA
  3. JamiiForums Tanzania Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria

    Watu ambao tunasubiri hotuba ya rais pale mahakamani tarehe 9 tukutane hapa kwanza kutakuwa na darasa la sheria. Akiachiwa tu tutaandamana nchi nzima kushinikiza mabadiliko na wahusika wote wa mauwaji kuwajibishwa. Mwambieni aliye tengeneza kesi hii ya uongo inafaida kwa umma kwani tunapata...
  4. JamiiForums Tanzania Sakata la Interview za Air Tanzania leo tarehe 31 January 2026

    Kama kuna siku vijana wamejisikia kama wako kwenye onyesho la futuhi—lakini lisilo na kicheko chochote—basi ni siku ya usahili wa ajira wa Air Tanzania leo pale DUCE. Kilichotarajiwa kuwa zoezi la kitaalamu, la haki na la kutoa matumaini, kimegeuka kuwa kilio chenye maswali mengi kuliko majibu...
  5. JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Tatu, Mkutano Wa Pili, Kikao Cha Nne, Tarehe 30 Januari, 2026

    Baadhi ya wabunge wakiwasili bungeni jijini Dodoma leo Januari 30, 2026 kushiriki kikao cha nne cha mkutano wa pili wa Bunge la 13. Katika shughuli za leo, kama ilivyo kawaida, kutakuwa na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge watauliza maswali na kujibiwa na serikali. Aidha, Bunge...
  6. Q

    JamiiForums Tanzania Kesho tarehe 29/01/2026 ni siku ya kumbukumbu ya mauaji ya MO29

    Tunawakumbuka waliouawa, waliojeruhiwa, walioumizwa, waliopewa ulemavu wa kudumu na serikali haramu ya Samia siku ya tarehe 29/10/2025. Vijana GenZ na Watanzania wote ili kuwaenzi wahanga itapendeza ukivaa nguo nyeusi ikiwezekana yenye picha za wahanga.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mishahara upoje iwapo kama mwajiriwa akiajiriwa na serikali tarehe za mwisho wa mwezi?

    Habarini wanajukwa? Naomba kujuzwa hivi kama ikitokea mtu ameajiriwa na serikali tarehe 23 mwezi wa nne je anaweza kulipwa mshahara wa mwezi wa nne au inabid aanze kulipwa mwezi wa 5?
  8. JamiiForums Tanzania Wazee wanatoa maazimio yao juu ya kilichotokea tarehe 29 Oktoba

    https://www.youtube.com/live/EJPutwDEwWI MAAZIMIO YA MAZUNGUMZO YAWAZEE KUHUSU UJENZI WA AMANI, UMOJA NA HAKI NCHINI TAREHE: 22 JANUARI 2026 MAHALI: DARES ES SALAAM, UKUMBI WA MWALIMU NYERERE FOUNDATION Imewasilishwa na: Mzee Joseph W. Butiku, M/Kiti Bodi ya Wadhamini,Mwalimu Nyerere...
  9. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29

    Hakuna sababu yoyote inayoweza kuhalalisha mauaji ya tarehe 29.Habari njema ni kwamba Mungu amesikia sauti ya vilio vya watanzania waliouawa pamoja na vilio vya ndugu zao.Hukumu ipo tayari kwa wauaji wote kuanzia juu.
  10. JamiiForums Tanzania Marekani kusitisha kwa muda usojulikana utoaji wa viza kwa nchi 75 Duniani ikiwamo Tanzania rasmi kuanzia tarehe 21 January

    Kitengo cha serikali ya Marekani maarufu kama "State Department" kimetangaza kusitishwa kwa utoaji wa viza za kuingia nchini Marekani kwa nchi zipatazo 75 nyingi zikiwa ni kutoka barani Afrika Tanzania ikiwemo. Sababu ilotolewa na kitengo hicho imesema raia kutoka katika nchi hizo wafikapo...
  11. K

    JamiiForums Tanzania ITV: Waliopigwa risasi na kuuwawa mnamo tarehe 29 Oktoba 2025 hawakuwa waandamaji - Tume ya Jaji Chande

    Nipo hapa napata Moja baridi na Moja baridi nchi jirani huku nikofuatilia ITV HABARI kupitia YOUTUBE, huyu mtangazaji wa ITV anayeitwa Asiraji Mvungi, ameripoti Kwamba Tume ya Jaji Chande imekutana na wahanga na waathirika wa vurugu baada ya uchaguzi, na waathirika hao wamemwambia Jaji Chande...
  12. JamiiForums Tanzania Mungu amesikia vilio vya damu zilizomwagwa tarehe 29

    Kama ambavyo Abel alivyomlilia Mungu damu yake ilivyomwagwa na Cain, ndivyo hivyo damu za watanzania zaidi ya elfu 10 waliokuwa wanadai Tanzania bora vilimlilia Mungu. Kama ambavyo Mungu alivyosikia kilio cha Abel vivyo hivyo kwa watanzania. God'sJustice is inevitable and it is comming.
  13. JamiiForums Tanzania Mrejesho wa Zoezi la Kutoa Tabasamu Tarehe 24 Desemba

    Nilikuja na post Zawadi yangu ya kuzaliwa: Kuwapa wengine tabasamu Jioni ya juzi, tarehe 24 Desemba, nilihitimisha safari yangu ya kuwasaidia familia kadhaa. Ingawa hazikuwa nyingi, familia wachache tulizozitembelea walifurahia msaada wetu. Kila familia ilipokea mchele, sukari, na kuku mmoja...
  14. JamiiForums Tanzania Nini kilitokea Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025? Huu hapa mtazamo binafsi wa Likud.

    Nitaeleza kwa kwa ufupi kabisa na kwa lugha nyepesi ambayo hata kilaza kama popoma anaweza kuelewa. Kilicho tokea Tanzania hiyo tarehe 29 Oktoba 2025 ni UPEPO MBAYA period. Kwa vilaza 👇👇👇 Tanzania ilikumbwa na UPEPO MBAYA hiyo tarehe 29 OKTOBA 2025. Upepo huo mbaya ukawa reflected kwenye...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Vikwazo tulivyowekewa na Marekani kuanza rasmi tarehe 01/01/2026

    Effective January 1, 2026, at 12:01 a.m. EST, in line with Presidential Proclamation 10998 on “Restricting and Limiting the Entry of Foreign Nationals to Protect the Security of the United States,” the Department of State is partially suspending visa issuance to nationals of 19 countries –...
  16. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z watoa taarifa kuelekea maandamano makubwa Desemba 25 (D25) hadi mwaka mpya wa 2026

    Taarifa kwa Vyombo vya Habari Tunasonga Mbele! Kituo #D25 kuelekea #J1 Itolewe kwa Uharaka Dar es Salaam, 12 Disemba 2025 Na. 028 Tunatambua wazi kwamba Samia Suluhu Hassan kwa kushirikiana na vyombo katili vya ulinzi na usalama na tume batili ya uchaguzi wamefanya uhaini wa kupindua mamlaka...
  17. JamiiForums Tanzania Maandamano yanaishaje? Tarehe 25 barabarani

    Yaani Samia na genge lako mnataka tu maandamano yaishe kirahisi rahisi tu? Wakati ujinga na upumbavu bado unaendelea? Maandamano yaishe Lissu akiwa bado gerezani? Maandamano yaishe Polepole akiwa bado anateswa kigamboni kwenye safehouse? Maandamano yaishe kesi na kamata kamata kwa Watanzania...
  18. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ulinzi wa Dola uliotumika Desemba 9, 2025 kwanini usitumike katika kulinda Rasilimali za Nchi na ufisadi usitokee?

    Nilikuwa najiuliza tu huu ufisadi wa kununua Rolls Royce na Mercedes Benz G Wagon kwa vigogo wetu nchini pamoja na hizi Rasimali za nchi tulizonacho zinavyotumika ndiyo sivyo. Kwanini ulinzi wa kuilinda Dola, usitumike kulinda Rasilimali za Nchi na kuzuia ufisadi na mafisadi. Nafikiri Kuna haja...
  19. JamiiForums Tanzania Tukipanga maandamano December 25, watanzania wote tutaanza kuzungumza lugha moja.

    Hio itakuwa Siku ya Christmas, wakiristo watahitaji kutoka kusherehekea. Hakuna namna ya kuzuia mikusanyiko siku hio, na kama wakizuia na ndio lengo letu., Sio tu machawa yataguswa hata watanzania wa kawaida wataanza rasmi kuandamana.
  20. JamiiForums Tanzania LOGIC : Hakuna mtu yeyote aliyepeleka barua polisi ya kuwajulisha kuwa wataandamana tarehe 9 Dec

    Hakuna Kiongozi wa Chama chochote, wa Taasisi yoyote aliyepeleka barua polisi kuwajulisha kuwa wataandamana,kuruhusu jambo ambalo haliko official utakuwa ni uwendawazimu mno. Taarifa za mitandaoni haziwezi kuwa official, kama kuna viongozi fulani walikataa wito wa polisi kwa kudai hawajaitwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…