Tarehe 26 surprise za Redcross zitaanza

Tarehe 26 surprise za Redcross zitaanza

October 2pm

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2023
Posts
1,148
Reaction score
2,031
Mwekundu kama damu ya ngisi. Msalaba. Mwekundu utaanza kutoa surprise zake 26 kuelekea jioni. Hawa watu tumeshindwaje kuwashika.

Niliwaambia msiwapuuze. Mmemuacha mtu mpaka anatoroka nje ya nchi. Angetakiwa akamatwe ili aseme wengine.

Tupo kenye kitisho hatuwezi nini kipo mbele yetu. Walah! Sijui lakini hatutakubali kupoteza amani kwa baradhuli hawa. Picha zenu tunazo.

Zamu yenu imefika. Two day to go. Na bado.
 
Kidampa wa mafisadi upo hoi! sababu umesahau kumeza Olanzapine zako.

Watu wa tatizo kama lako hilo huwa mnaandamwa na usahaulifu pia maana wewe ndio ulisema mmewadhibiti kikamilifu leo unakuja kutulilia hapa.

Haya haraka nenda kameze dawa zako.
 
Mwekundu kama damu ya ngisi. Msalaba. Mwekundu utaanza kutoa surprise zake 26 kuelekea jioni. Hawa watu tumeshindwaje kuwashika.

Niliwaambia msiwapuuze. Mmemuacha mtu mpaka anatoroka nje ya nchi. Angetakiwa akamatwe ili aseme wengine.

Tupo kenye kitisho hatuwezi nini kipo mbele yetu. Walah! Sijui lakini hatutakubali kupoteza amani kwa baradhuli hawa. Picha zenu tunazo.

Zamu yenu imefika. Two day to go. Na bado.
😄😄 napenda hiyo hashtag yako "Na bado" sasa huu uzi wako unalia, unalaumu, unafurahia au unaneng'eneka?
 
Kuwa specific nani katoroka!!?

Je ni huyo Mzee wa mapich picha mwekundu usoni ama!!?

Funguka!
 
1761282607533.jpg
 
Back
Top Bottom