tarehe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kuna kundi kubwa la watumishi ambao bado hawajapata mshahara mpaka leo tarehe 25-10-2024

    Ni kweli taasisi nyingi tu za umma bado hawapata mishahara yao hadi muda huu saa7 kasoro dakika 13 mchana. Naomba Mungu anipe nguvu na huruma ya kuwavumilia watumishi niliowakopesha, nilipatwa na jazba sana kwa hatua ya kuchukua simu zao. Nimetafakarii sana hatua Ile, nimejifunza jambo kama...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Oktoba bado haujatoka, wafanyakazi tunalia njaa

    I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani. Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi. Mshaharaaa uwiii
  3. JamiiForums Tanzania Al Ahly FC Wametufundisha Mpira, Bahati ilitubeba ila marekebisho yafuatayo yakifanyika Simba SC inaweza Kuwatoa AFL tarehe 24 Oktoba,2023

    Ukibisha unataka tu Kubisha ila Al Ahly FC wako dunia yao Kimpira kwani Wanajua na wataendelea Kuujua kutokana na Kujipanga Kwao katika kila Sekta. Kama si bahati jana ( na nahisi hata Babu yetu wa Kiutamaduni namaanisha Mganga wa Kienyeji ) alitusaidia mno kwani tulikoswakoswa zaidi ya mara...
  4. JamiiForums Tanzania Ni Ihefu FC peke yake ndiyo imealikwa na Simba SC kwa Mkapa tarehe 20 Oktoba, 2023

    Kwa Tanzania hii Timu ambayo angalau inakaribia Hadhi ya Simba SC ni Ihefu FC kutoka Highland Estates Mbarali Mkoani Mbeya. Hivyo kwa Kulitambua hilo na Kuitambua Uongozi wa Simba SC umeamua Kuialika Ihefu FC peke yake na kutozialika Timu zingine Tatu ambazo zina Urafiki wa Kinafiki wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini tarehe za 21 hadi 4 Wanajeshi wanakuwa na Furaha tele, ila kuanzia tu tarehe 5 hadi 20 Wanatia mno Huruma na kuwa na Usununu / Hasira?

    Na hapa GENTAMYCINE nawaongelea / nawalenga zaidi wale Non Commissioned Officers ( Wanajeshi wa Ngazi za Chini ) na wala sina shida na wale Wakubwa ( Commissioned Officers ) kwakuwa sijawahi kuwaona wakiwa na hali ambayo huwa naiona kwa hawa Wenzao ninaowajadili wa Vyeo cha Chini wakiongozwa na...
  6. JamiiForums Tanzania Mbunge Martha Gwau: Mkoa wa Singida Umetimiza Miaka 60 tangu Kuzaliwa Kwake Tarehe 16 Oktoba, 1963.

    MBUNGE MARTHA GWAU ANAWAKARIBISHA WANA SINGIDA WOTE KATIKA MAPOKEZI YA RAIS SAMIA MKOA WA SINGIDA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Martha Nehemia Gwau anawakaribisha Wananchi wote wa Mkoa wa Singida katika Mapokezi ya ziara ya kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
  7. JamiiForums Tanzania Rasmi: Maandamano ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023

    Rasmi sasa maandamano yetu ya amani ya kupinga mkataba wa bandari ni tarehe 9 Novemba 2023 kama tamko linavyojieleza. Watanzania anzeni kujiandaa na mvua za manyunyu kabla hatujaanza na mvua za mawe.
  8. JamiiForums Tanzania Percy Muzi Tau awagomea Bafana Bafana kucheza mechi za kirafiki Ili kutunza nguvu za kuwaangamiza Simba tarehe 20/10/2023

    Ili kuonyesha uchu aliyonao dhidi ya wekundu wa msimbazi mshambuliaji muuaji wa mashetani wekundu wa Misri ameamua kuikacha timu ya Taifa ya Afrika Kusini Ili kutunza nguvu za kuja kuwaadabisha wekundu wa msimbazi Chanzo changu kilicho ndani ya timu ya Al Ahyl kimeninyetishia kuwa muuaji Percy...
  9. JamiiForums Tanzania Kama CEO Popat na Msemaji Ibwe watakuwepo Azam FC hadi tarehe 25 Oktoba, 2023 wakicheza na Yanga SC basi Watafungwa

    Kwa 95% Kiongozi wa Azam FC ( ambaye Watu wa Mpira Tanzania tunajua ni mwana Yanga SC lia lia ) CEO Popat ndiyo huwa Silaha Kuu ya Yanga SC kuifunga Azam FC muda wowote na inavyotaka. Na hiyo 5% iliyobaki ni ya Msaliti mwingine mdogo Msemaji Ibwe ( ambaye ni mwana Yanga SC kindakindaki ) hadi...
  10. JamiiForums Tanzania Droo ya Ligi ya mabingwa afrika leo tarehe 6/10/2023

    Upangaji wa makundi ligi ya mabingwa afrika
  11. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kijiji cha Kazuramimba (Uvinza, Kigoma): Mauaji yaliyofanywa 4/10/2023 ninayekemea kwa nguvu zote, Majeruhi wako wapi?

    Wakuu, hii Nchi ya ovyo sana, Kuna wajinga wanapopewa nafasi huwa wanageuka kuwa Miungu watu. Jana tarehe 4/10/2023 Kijiji Cha Kazuramimba, Wilayani Uvinza kulitokea vurugu baina ya Polisi na Raia, zilizopelekea Polisi kutumia Silaha za moto, hali hii ilipelekea Raia kadhaa kufa na wengine...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tunduli Lissu kurejea wakati wowote kuanzia kesho Oktoba 6, 2023

    Msomi Tundu Lissu anatarajiwa kurejea nchi wakati wowote ili aweze kuendelea na ziara zake mikoani ambazo ndio amekuwa akizutumia kama chanzo kikuu cha mapato yanayotokana na michango ya wananchi wanaohudhuria mikutano yake. Imekuwa ni tabia ya huyu msomi kukusanya hii michango na kurejea...
  13. JamiiForums Tanzania Simba Sc yaomba kuondolewa mechi ya Singida tarehe 8 ili ijiandae na mechi ya Al-Ahly ya tarehe 20/10

    CEO wa klabu ya Simba SC, Imani Kajula ameiomba bodi ya ligi iwaondolee mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida fountain gate Liti ili wachezaji wapumzike wajiandae na mechi dhidi ya Al-Ahly 20 October 2023. "Tuna imani na benchi letu la ufundi, tuwape muda watafanyia marekebisho kuhusu maoni ya...
  14. JamiiForums Tanzania Kuhusu mkutano wa Dr. Slaa, Mwanza tarehe 4 Oktober 2023

    Sasa hivi ni very late kuzungumza kuhusu maswala haya. Ukiandika saa hizi zinatokea spelling errors nyingi. We will discuss it the morning. Lakini wale wanasema watafanya mkutano bila ruhusa ya Polisi; hii sasa itakuwa mwanzo mwingine tena wa duru ya sarakasi. Kwa nini Sauti ya Watanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Tarehe 30 mwezi wa 9 kila mwaka ni siku ya utafsiri duniani. Hivi hapa ni vitabu kumi vilivyotafsiriwa zaidi duniani na nchi kumi zinazotafsiri zaidi

    Siku hii ilianzishwa kumuenzi St. Jerome. Huyu alikuwa mtu wa mwanzo mwanzo kutafsiri biblia. Tarehe 30/9 ni siku yake ya kufa. Utafsiri umechangia sana katika kusambaza maarifa duniani. Hata vitabu maarufu na vilivyopendwa na wengi Tanzania kama Alfu Lela Ulela, Hekaya za Abunuwasi, Mashimo ya...
  16. JamiiForums Tanzania DP World kuanza kuendesha bandari ya Dar es Salaam tarehe 01 Novemba 2023

    Kelele za Watanganyika kulilia dhidi ya mkataba mbovu wa bandari, hazijasikilizwa na DP WORLD wanaingia rasmi ofisini tarehe 01 November. Watu walikuwa wanadhani watendaji wa DP WORLD ni Waarabu, hapana, kuna Wazungu, Wahindi, Wafilipino na watu weusi.
  17. C

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Mwekezaji wa Bandari kapewa miaka 5 tu na watareview mkataba, Bara kajifunzeni hata huko

    Inaumiza sana, Mwekezaji wa kuendesha bandari ya Zanzibar kapewa miaka mitano tu ya kuendesha bandari. Mwekezaji huyo kutoka ufaransa ataendesha bandari kwa miaka mitano tu na mkataba utaangaliwa upya kama kafikia malengo ataongezewa muda na kama hajafikia malengo atapewa mwekezaji mwingine...
  18. JamiiForums Tanzania Tuikumbuke 9.11.2001: Tarehe kama ya leo iliyobadilisha historia ya Dunia

    Wengi wetu miaka 21 nyuma tarehe kama ya leo tunaikumbuka siku hiyo tukiwa na umri tofauti na majukumu tofauti. Wengi wengine walikuwa baddo hawajazaliwa au walikuwa wadogo sana kiasi hawajaelewa kilichotokea lakini leo hii hakiwaodoshei kutojuielewa siku hiyo. Binfasi naikumbuka siku hiyo na...
  19. JamiiForums Tanzania Tatizo la network kwa Airtel leo tarehe 05/09/2023

    Nauliza kwa kifupi tu, kuna tatizo gani leo, maana network inapatika kwa dakika chache tu kisa inakata masaa.., whats going on?! ========================= Update: Tatizo linazidi kuwa kali zaidi, masaa mawili mfululizo ‘NO SERVICE’. Ndio network imerudi sasa hivi. ===========================
  20. JamiiForums Tanzania Ratiba ya mkutano wa kumi na mbili wa bunge tarehe 29 Agosti – 08 Septemba, 2023

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…