tanzia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. X

    TANZIA Mmiliki wa OnlyFans afariki dunia

    Bilionea Leonid Radvinsky, Mmarekani mwenye asili ya Kiyahudi aliyezaliwa Ukraine mmiliki wa mtandao wa OnlyFans (aliyezaliwa 1982), amekufa kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43 mnamo Machi 20, 2026 huko Florida. "Tuna huzuni kubwa kutangaza kifo cha Leo Radvinsky. Leo alifariki dunia kwa...
  2. Damaso

    TANZIA Leung Choi-Sang nyota wa filamu ya kung-fu hustle afariki dunia

    Ndugu wana jukwaa, Leo ni siku ya huzuni tunapopokea habari za kuondoka kwa mmoja wa magwiji wa kweli wa filamu za mapigano kutoka Hong Kong—Leung Choi-sang. Kwa wale tuliozaliwa na kukua tukitazama mikanda ya VHS na filamu za kusisimua za miaka ya 70 na 80, Leung hakuwa mwigizaji tu, bali...
  3. wa stendi

    TANZIA Dereva wa Ofisi ya Makamu wa Rais afariki dunia akiwa anapatiwa matibabu Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

    Ofisi ya Makamu wa Rais imetangaza kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa dereva wake, Bw. Joel Charles Kitundu. Bw. Kitundu alifariki dunia tarehe 15 Januari 2026 katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma, akiwa akipatiwa matibabu. Uongozi na watumishi wote wa Ofisi ya Makamu wa Rais...
  4. Mshana Jr

    TANZIA aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba afariki dunia

    Ndugu Samia Suluhu Hassan, ametoa salamu za pole kufuatia kifo cha aliyekuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Julius Benedicto Mallaba. Note: comments kwenye hii post huko FB zinatisha Sana.
  5. Fascinating

    Mugizaji wa filamu Tagawa AKA kubwa la maadui Amafariki dunia

    Binafsi namkumbuka Tagawa kwenye filamu ya Bridge of Dragons, humu alicheza kama General Ruechang, moja uhusika katili sana, jamaa alikuwa "acheki na wowote" Kwenye hii filamu alimpa mahangaiko sana ndugu yetu Dolph lundgren aliyeigiza kama Warchild Tujikumbueshe hapa kwa kuutazama uhusika...
  6. Heparin

    TANZIA Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia

    Aliyekuwa Balozi wa Baba Mtakatifu nchi mbalimbali duniani Mtanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa amefariki dunia usiku wa Septemba 16, 2025 huko Roma nchini Italia. Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa alizaliwa Oktoba 08, 1957 Mkoani Kagera nchini Tanzania, aliwekwa wakfu katika Daraja...
  7. Inside10

    TANZIA Katibu wa CCM wilaya ya Mkuranga afariki dunia

    Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga. Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Katibu wa CCM, Wilaya ya Handeni, Mayassa Kimbau leo Jumanne Agosti 26, 2025 kupitia...
  8. Doji MD

    TANZIA: MWILAMBA AFARIKI DUNIA

    Mkoa wa Ruvuma umepokea taarifa hii kwamasikitiko sana, Tumepoteza Moja ya Jembe kubwa sana ndani Ya mkoa Apumzike kwa Amani. https://youtu.be/g7nAxHOCc2s?si=bymxm0bROefqmWrZ
  9. Intelligent businessman

    TANZIA: Jaji Frank Caprio afariki Dunia

    Jaji Frank Caprio aliaga dunia kwa amani akiwa na umri wa miaka 88 baada ya vita vya muda mrefu na vya ujasiri dhidi ya saratani ya kongosho. Akipendwa kwa huruma, unyenyekevu, na imani yake isiyoyumba katika wema wa watu, Jaji Caprio aligusa maisha ya mamilioni ya watu kupitia kazi yake katika...
  10. M

    TANZIA Baba Mzazi wa Nikki Mbishi Afariki

    Msanii maarufu wa muziki wa Hip Hop kutoka Tanzania, Nikk Mbishi, amepata pigo kubwa kufuatia kifo cha baba yake mzazi, John Marwa Machuche, kilichotokea tarehe 02 Agosti 2025. Msiba ulihudhuriwa nyumbani kwa marehemu, Mzee Machuche, katika Mtaa wa Kwa Makobe, Ukonga. Ibada ya misa takatifu ya...
  11. U

    TANZIA: Mwanazuoni you mkubwa, Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal afariki dunia

    Kwa kuridhia qadar ya Allah na huzuni kubwa tumeondokewa na Mwanachuoni wetu mkubwa,Mtetezi wa Haki na Twariqa Ahlusunnah Sharif Abdulqadir bin Ahmad bin Muhammad Al-Ahdal Aliyefariki Tawfiq Hospital Malindi,Leo. Ni katika watu waliokuwa wamewekwa karibu sana na Al Imam Muhammad...
  12. Intelligent businessman

    TANZIA Mke wa msanii Mrisho Mpoto afariki dunia

    . Msanii maarufu wa muziki wa asili nchini Tanzania, Mrisho Mpoto, amepatwa na msiba mzito baada ya mke wake kufariki dunia mapema leo kufuatia kuugua kwa muda mrefu. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na msanii huyo marehemu alizidiwa ghafla jana na kukimbizwa hospitalini kwa matibabu, lakini...
  13. L

    TANZIA Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

    Ndugu zangu Watanzania, Ni majonzi , masikitiko na huzuni kubwa sana kwa wana CCM wote wilaya ya Mbozi na mkoa mzima wa songwe. Kutokana na Kifo cha Katibu wa CCM wilaya ya Mbozi ndugu Julius Mbwiga. Alikuwa ni kiongozi mchapakazi,mzalendo na aliyekipenda Chama kwa moyo wake wote. Ni kiongozi...
  14. jamaikatz

    TANZIA Kitundu wa tamthilia ya juakali afariki dunia

    Aliyekuwa muigizaji wa Tamthilia ya JUAKALI maarufu kama Kitundu amefariki dunia jioni ya Leo, Juni 24. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na @lamataleah ambaye ni muongozaji wa Tamthilia hiyo pendwa nchini. Bado chanzo cha kifo cha muigizaji huyo hazijajulikana. Familia ya CROWN MEDIA...
  15. bhachu

    TANZIA Mwanamuziki Regis Touba afariki dunia

    Ni kwa masikitiko makubwa kwa wana tasnia wa miziki ya Kongo, mwanamuziki REGIS TOUBA hatunae tena, amefariki mapema leo akiwa kwa Congo Brazzavile. Atakumbukwa kama sehemu ya Muasisi wa kundi la EXTRA MUSICA Ameshiriki katika kutunga nyimbo zenye mafanikio akiwa katika kundi hili, na...
  16. Mtanzania1

    TANZIA Kanali mstaafu Ayoub Mwinyimvua Simba afariki Dunia na kuzikwa Dar

    Aliyekuwa Kanali mstaafu wa JWTZ Mzee wetu Ayoub Mwinyimvua Simba amefariki siku ya Ijumaa tarehe 9/5/2025 na kuzikwa na tarehe 10/5/2025 katika makaburi ya Kisutu Dar es Salaam. Kanali Simba mbali na kufanya ya kulibadili kesho kuwa la wananchi, alifanya kazi kama msaidizi wa karibu wa...
  17. Daby

    TANZIA Mbunge wa bunge la Kenya Charles Were apigwa risasi na kufariki

    Vyombo vya Kenya Jana usiku vilitoa habari ya kuuliwa kwa Mbunge Were aliyepigwa risasi na mtu aliyekuwa anayeendesha pikipiki. Tukio hili limetokea baada ya Mbunge huyu wa ODM kuliomba jeshi la polisi la Kenya kumpatia ulinzi kutokana na vitisho kutoka kwa watu wasiojulikana kwa wiki kadhaa...
  18. R

    TANZIA Papa Francis amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 88

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo April 21,2025 kwenye Jumatatu ya Pasaka akiwa na umri wa miaka 88 ambapo Vatican imethibitisha na kusema Papa amefariki kwenye makazi yake Vatican na taarifa zaidi kuhusu kifo chake zitatolewa. Papa ambaye alizaliwa mwaka...
  19. Z

    TANZIA Adrian Hillary Stepp afariki dunia

    Habari wanajamvi. Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari, Adrian Stepp @Adrianstepp ambaye alikuwa mtangazaji wa EATV then Azam Tv. Aidha, Adrian Stepp alikuwa mwanachama humu. Jamiiforums pamoja na EATV & Azam Tv wamepoteza mtu muhimu sana. Binafsi niliwahi...
Back
Top Bottom