Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
A young man to Provide wisdom to some people ...who will begin to seek wisdom from him...on how the Direction of the Country will be mapped....
The Young Man they will take from one location to another ...and now is sat at the Location now...and they have been listening and asking him... though...
Kama kichwa cha uzi kinavyoeleza... nataka kuunda AI Wrapper itakayoelewa lugha za makabila zaidi ya 125 yanayopatikana Tanzania. Ukweli ni kwamba haitawezekana kwa makabila yote kutokana na aina ya lugha zenyewe, mfano HADZABE.
Kwa wasiofahamu, AI Wrapper kwa lugha nyepesi, ni kuunda mfumo wa...
Prime Mushrooms Tanzania ni kampuni inayoongoza katika uzalishaji wa mbegu bora za uyoga nchini. Tunajivunia kutumia sayansi na teknolojia ya kisasa kuhakikisha tunazlisha mbegu zenye kiwango cha juu, salama na zenye matokeo ya uhakika kwa wakulima wa uyoga.
kwanini uchague Prime Mushrooms...
Leo nitaongea kuwa kulikuwa hakuna Kesi dhidi ya Babu Seya.
Mchezo ule ule wa kitoto ndo bado unaendelea mpaka Leo mahakamani, kufanya Kazi kwa maelekezo.
Babu Seya alihukumiwa kimakosa kwa shinikizo la wanasiasa.
Hapa Tanzania huwa nikiwaangalia Wasomi , unaona kabisa Elimu yao ni kukariri na ya maelekezo.
Kilichomsaidia TAL kuwa na ufanisi wa juu wa sheria ni kwakuwa anajisomea , kujifunza mambo mapya kila siku.
Wasomi wetu hawa tulionao Tanzania , Sifikirii hata Kama wanaweza kushindana katika soko...
Kulingana na report mbalimbali,
Nchi ya Tanzaia ndio nchi pekee africa inayoshikilia record ya kuingiza bidhaa kwa wingi kutoka Japan, na hapo tunazungumzia used cars.
Nitaweka viambatinisho kadhaa, kwa hivyo msione JICA wanajitutumua na misaada yao, wanajua pia sisi Tz ni wateja wao wazuri...
Kuna siku nilikuwa nachat na mdada flani mwenye pesa zake, lakini ana ndoto za kuolewa na mzungu. Hivyo anatumia muda mwingi kwenye online dating platforms akitafuta bwana wa kizungu. Katika kuzungumza akawa amenitajia mtandao flani ambapo kila msg unayotuma inalipiwa. Akaniambia kuanzia mwaka...
Joint Webinar with the Tanzania Embassy in Sweden
Diaspora Banking Offerings by NMB Bank Plc
Date & Time:
Saturday, 23rd August 2025
From 16:00hrs - 18:00hrs (Sweden Time)
Join the meeting via
meet.google.com/ksh-vkow-kxa
KIROHO ili Familia isonge mbele , au nchi isonge mbele , huwa haitajiki MTU mwenye mali na fedha pekee Ila anahitajika mbeba maono.
Ndo maana mmeona yule jamaa alikuwa na Mali hazina idadi , Ila ndugu zake wamechoka na kujikatia tamaa na MAISHA.
Issue huwa sio PESA wala dhahabu na mali Ila...
Tanzania Samia Connect inayotarajiwa kufanyika kuanzia Agosti 21- 23, 2025 inatarajiwa kuwakutanisha katika jukwaa moja wasanii zaidi ya 50 kutoka ndani na nje ya Mkoa wa Arusha, ikiwemo wakongwe wa muziki kutoka Jijini Arusha Fido Vato anayetamba na wimbo wa 'Chuga hiyo' pamoja na JCB aliyevuma...
Nilisoma kwa taabu sana
Hasa upande wa usafiri
Nilipofanikiwa usafiri nkaanza kuwabeba wanafunzi ninaokutana nao na wengi waliishia mwenge ama lugalo shuleni
Siku nikampandisha ndugu yangu mmoja anaenda lugalo kikazi
Akaniambia vitu nikashtuka sana sana
Kaka najua una upendo sana na noah...
Kama ni soko la cider Tanzania tayari liko kubwa sana kwa sababu karibia wadada wote wa mjini kila ukiwagusa kinywaji wanachotaka kwanza ni Savannah, hata wakaka wa mjini wengi tu wanapenda Savannah. Kama ni apples za kutengenezea cider zimejaa tele Njombe na Lushoto, mkitaka mtaletewa za...
Soma hapa chini halafu uniambie. Je, Tanzania hatujakaribia kutawaliwa na familia?
MMFUMO WA UONGOZI WA KOREA KASKAZINI.
North Korea's system of leadership is a hereditary dictatorship, with power concentrated in the Kim family. The current leader, Kim Jong-un, is the third generation of his...
Machozi, majuto na kuchanganyikiwa kwa wasomi wanaomaliza vyuoni kukosa kazi mtaani. Ndoto zao kuishia kuwa simulizi ndani ya nafsi zao ni msiba mkubwa kwa Taifa letu. Ni wakati sasa wa nchi kujipanga upya. Badala ya kushusha kila mwaka kontena la wasomi wasio na pakwenda, nchi itafakari...
Yeah kuna mdau nilikuwa napiga naye stori hapa border,akaniuliza swali la kizushi . Mbona wafanyabiashara wakubwa (business tycoons) na/ sio wajasiriamali. Kwamba mbona almost wote hao wapo upande wa chama tawala?
Ni baada ya kusikia kuna mtu kasapoti chama kwa bilioni 100.. nikamjibu...