tanzania

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni nchi inayopatikana Afrika Mashariki. Jina "Tanzania" lilipatikana baada ya nchi mbili; Tanganyika na Zanzibar kuungana.
  1. JamiiForums Tanzania Manguli wa uchambuzi waendelea kumpumulia Polepole, Majjid Mjengwa naye asema gesi ya Tanzania ni bei rahisi kuliko Cuba

    Hakika njia ya mwongo ni fupi, pole pole anaumbuka hadharani.
  2. JamiiForums Tanzania Watu Wasiojulikana mnasubiri nini kumtafuta na kumkamata Vladimir Lopez mpate USD 15M kutoka Marekani?

    Happy Wednesday Guys, Niende kwenye Mada Kwa ufupi (remember this article is full of figures of speech for a purpose) Nimewaza kwa kina sana tena sana kuhusu hiki kikundi cha Utekaji na Kuua - Tanzania, ni kama Taasisi kwa Sasa hapa Nchini. Hawa jamaa wamekuwa wakiteka watu wasio hodari...
  3. JamiiForums Tanzania Secretary at the EU Delegation to Tanzania and the EAC September 2025

    Job Opportunity: Secretary at the EU Delegation to Tanzania and the EAC About the European Union and the Delegation The European Union (EU) is an economic and political partnership of European countries, playing a significant role in international affairs through diplomacy, trade, development...
  4. JamiiForums Tanzania Finance + Administration Officer at Compassionate Carbon Tanzania Ltd September 2025

    Reports to: Operations, Administration, and Finance Manager Department: Finance Position classification: Full-time Location: Lumuma, Kilosa District / Mbuga, Mpwapwa District Preferred Candidate Location: Morogoro/Dodoma Employment type: LOCAL NATIONALS ONLY (sponsorship not available)...
  5. JamiiForums Tanzania Sativa: Familia nyingi zinalia Tanzania hakuna haki

    Edgar Mwakabela maarufu Sativa anadai kutekwa Juni 2024 nchini Tanzania, baada ya kile alichodai kuwa kuikosoa serikali kuhusu masuala ya kikodi na kuunga mkono mgomo wa wafanyabiashara uliolenga kudai haki. Sativa anadai kuwa aliteswa kisha kutelekezwa kwenye msitu baada ya kupigwa risasi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia Kafanya Makubwa na anaelezea kwa uzuri sana Mipango yake Mikubwa na mizuri kwa Tanzania yetu

    Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea. Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya...
  7. JamiiForums Tanzania Polepole: Tanzania tuna kaya 14,152,803 kwa bei ya Cuba mtungi wa gesi wa 10Kgm tunahitaji tzs 28.3B

    Team, Salaam! Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Tanzania ina kaya 14,152,803. Sasa kama tungekuwa na bei ya kununua mtungi wa gesi wa 10kgm kwa tzs 2,000 kama ilivyo nchini Cuba basi kaya zote hapa nchini tungetumia tzs 28,305,606,000/=. Sasa kwa kuwa na gesi inayouzwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kamwaga hakwenda Ubalozi wa Marekani kujiridhisha kama kweli Tanzania ina uchumi mkubwa kuliko USA?

    CCM imezalisha vijana wa hovyo sana Sifahamu kama vijana wengi wa CCM wanalogwa ama vipi Kama suala ni Polepole kasema Uwongo, je hili la Tanzania kuipiku uchumi Marekani ni la kweli?
  9. N

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wanaozalishwa na vyuo mashuhuri Tanzania

    Kwanini wataalamu wanaopata shahada na astashada kwenye vyuo vyeti hapa Tanzania hawapewi nafasi za mbele kwenye miradi nchini? Je ni kweli wamepata ujuzi au sisi wenyewe hatuwaamini na kama ndivyo basi kifanyike nini kurekebisha haya?
  10. JamiiForums Tanzania Muda wa Kufungua Macho: Tukio la Udukuzi la TSh 229.94 Milioni Kenya na Masomo kwa Tanzania

    Habari wadau wa Jamiiforums! Mimi ni mtaalamu wa usalama wa mtandao (cybersecurity) kutoka Tanzania, na leo nataka tuzungumze kuhusu tukio la hivi majuzi la udukuzi nchini Kenya ambalo linapaswa kutufungua macho sisi Wanzania. Hebu fikiria, Kijana mwenye vipaji vya hali ya juu anayetumia ujuzi...
  11. JamiiForums Tanzania Deni la tanzania ukilinganisha na nchi nyingine za afrika mashariki

    Hivi sasa Tanzania imaeanza mchakato wa kampeni kuelekea uchaguzi mkuu wa Tanzania mwezi oktoba 2025 hivi majuzi Mgombea Urais kwa tiketi ya Chama Cha mapinduzi (CCM)na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema kuwa deni la Tanzania mpaka kufikia 2024 ndilo deni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Benki ya Exim Tanzania Yaleta 'Elite Banking' Arusha na Kilimanjaro

    Afisa Mtendaji Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Bw. Shani Kinswaga, akizungumza na wateja wake kuhusu kuisogeza huduma ya Elite Banking kwa wateja wa Arusha na Kilimanjaro, huduma inayowapa wateja fursa za kipekee za kifedha, ushauri wa kitaalamu, na upatikanaji wa huduma za kibinafsi...
  13. JamiiForums Tanzania Exports za Tanzania kwa nchi za SADC zaongezeka kwa zaidi ya mara mbili kwa kipindi cha miaka minne

    Mauzo ya Tanzania katika Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) yameongezeka mara mbili kati ya mwaka 2021 na 2024, yakichochewa na maboresho ya miundombinu ya biashara, juhudi za kiserikali katika kukuza biashara, ujumuishaji wa kikanda, na upanuzi wa wigo wa bidhaa zinazouzwa nje...
  14. JamiiForums Tanzania GE2025 Baadhi ya wagombea urais hawaielewi Tanzania, wala hawajui mahitaji ya watanzania

    Naendelea kufuatilia ahadi mbalimbali za wagombea urais nchini kuelekea Uchaguzi mkuu wa Okt 2025 naona kuna shida nyingi sana kwa wagombea. Wengi hawajui mahitaji ya watanzania ni nini, maana yake wanaleta ndoto ambazo hazina kazi kwa watanzania. Mathalani, mtu analeta ahadi ya kuzalisha...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwenye bomba la mafuta ya Uganda, Tanzania itakwangua kiasi gani kwa kila tone linalofika bandari ya Tanga ?

    Pamoja na madhaifu yetu najua wenye nchi hawakuwa wachovu kwenye ku negotiate. Ni kiasi gani kina Museveni na Muhoozi wanakiacha ili mafuta yao yafike Tanga ?
  16. JamiiForums Tanzania "Regime Change" kwa Tanzania haiepukiki tena!

    Na wanaoipalilia ikue kwa kasi ni hao hao CCM wenyewe. Uchaguzi wa mwaka huu hauna tofauti na wa miaka ya 1970, kipindi tunapiga kura za ndiyo na hapana. Huyo mwanamtandao mkuu ndiye atafanikisha hili, maana mabosi zake huwa wanaangalia zaidi "People's Opinions" kuliko mambo mengine. Tukumbuke...
  17. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma pesa online nikiwa Pakistan kuja nyumban Tanzania?

    Habar za majukumu ndugu zangu,kuna jamaa tunahitaji kufanya biashara ya yeye kununua bidhaa hapa Tanzania na mimi kumtumia kwenda Pakistan, sasa yupo mbali sana na bank maana njia nyepesi ingekuwa ni western union au money gram kwahiyo hatoweza kuwa anaenda huko mara Kwa mara kutuma pesa. Je...
  18. JamiiForums Tanzania Niliahidi Sitacheza Tena Tanzania, Lakini Singida Imenibadilisha – Aucho

    Kiungo wa kimataifa kutoka Uganda, Khalid Aucho, amethibitisha rasmi kuwa ataichezea klabu ya Singida Black Stars, licha ya awali kutangaza hatacheza tena kwa timu yoyote ndani ya Tanzania. Akizungumza kupitia ukurasa wake wa Instagram, Aucho amesema amebadilisha msimamo wake baada ya kuona...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

    Nalilia Taifa langu ila zaidi nalilia idara nyeti za usalama wa Taifa maana hakuna hata anayeona what will be next phase ya hili Taifa tumekimbilia siasa na sasa wenye akili wameshatuweza na niseme hakuna anayeona na kama yupo basi uwenda ushauri wake umepigwa chini ila mkumbuke mchuma janga...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania na Don Bosco wazindua mpango wa kuwainua vijana na kuendeleza mpira wa kikapu nchini.

    Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Zuweina Farah (kulia), na Mkurugenzi wa TEHAMA wa kampuni hiyo, Athumani Mlinga (kushoto), wakimkabidhi tuzo mchezaji wa Don Bosco, Martin Benson, aliyechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Mechi. Tukio hilo, lililofanyika tarehe 29 Agosti katika viwanja vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…